taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord denning

    Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji. Najua mnajua namna gani nchi hii...
  2. Roving Journalist

    Watoto 13 wafanyiwa upasuaji wa Kunyoosha Kibiongo katika Taasisi ya MOI

    Dkt. Bryson Mcharo, Daktari bingwa wa mifupa kwa watoto- MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13 wamefanyiwa upasuaji huo kwa mafanikio makubwa. Kaimu Mkurugenziu Mtendaji wa MOI, Dkt. Laurent Lemeri...
  3. R

    Taasisi zinazohitaji tujaze fomu za karatasi taarifa zetu nyeti za NIDA ni hatari, taarifa zinaweza Kutumika kwenye utapeli, wizi, kuomba mikopo, n.k.

    Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA. Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
  4. JanguKamaJangu

    Taasisi ya ZAMHSO yatembelea Iringa Girls, yaelezea kuguswa na ushirikiano wanaopata wenye mahitaji maalum

    Sisi Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO)Tulipata nafasi ya kutembelea Iringa Girls, shule ya mjumuisho inayowakaribisha Wanafunzi wa kawaida na wale wenye mahitaji maalum. Ni jambo la kuvutia kuona jinsi shule hii inavyokuza usawa na mshikamano kupitia elimu. Wakati wa kutoa...
  5. Yoda

    Elon Musk awa mbogo kwa watumishi wakaidi wa serikali kukaidi kumtumia kwa email taarifa zao za kila wiki kuhusu kazi zao!

    Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha! Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao...
  6. M

    Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Habari wadau, Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi? Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
  7. middle east

    TAASISI ZA UMMA ZENYE MASLAHI

    Habari za wakuu, Naomba niende kwenye mada moja kwa moja tunafahamu kwamba taasisi hizi zipo vizuri kwenye maslahi je ni wapi kuna maslahi zaidi ikiwa mtumishi anataka kuhamia huko. TBS, NSSF, TMDA, EWURA, MSD, WCF, TPDC, TIRA Maslahi zaidi ya posho na safari kidogo. Naomba msinishambulie kwa...
  8. I

    Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

    Hamjambo humu? Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali. Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected. Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
  9. MBOKA NA NGAI

    M23 yazitaka taasisi za kiserikali kuendelea kutoa huduma

    Jeshi la M23(siliiti kundi tena, kwa walivyofanya, wana hadhi ya kuitwa wanajeshi), huko Kivu kusini, limezitaka taasisi zote za kiserikali kuendelea kutoa huduma kama kawaida. Kuna taasisi ambazo, wafanyakazi walikimbia na kwenda mikoa au nchi jirani, wengine wakienda Kinshasa jijini. Baada tu...
  10. A

    DOKEZO Viongozi wengi wa taasisi hawana busara ya kuongoza watumishi wa Umma

    Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali. Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao wa taasisi wanavyowafanyia yanafanana karibu kila taasisi. Viongozi wanafanyia kazi habari za...
  11. L

    Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amesema ya Kuwa...
  12. Mwalimu Novath

    Uanzishwaji wa taasisi ya kusaidia jamii

    Niko kwenye prosses za kusajili taasisi ya kusaidia jamii hasa wanafunzi na vijana walioko kwenye mazingira magumu. Taasisi hiyo itaitwa NOVA INUA ORGANIZATION (NIO) yenye lengo la kusomesha wanafunzi na kuwapatia mahitaji muhumu na kuendeleza ustawi wa jamii kwa kutoa elimu ya afya bora na...
  13. The Watchman

    Mbozi: Taasisi za elimu zahimizwa ubunifu wa miradi ya maendeleo ili kujiendesha

    Viongozi wa Taasisi za Elimu wakiwemo Wakuu wa Shule, wilayani Mbozi, wametakiwa kuwa wabunifu wa miradi ya kimaendeleo, katika maeneo yao ya shule, hali ambayo itawasiaidia wanafunzi kujifunza stadi za maisha pamoja na kuwapatia kipato ambacho kitasaidia kuendesha shughuli za shule ikiwemo...
  14. Amani Ne

    Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?

    Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati? Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
  15. Mshangazi dot com

    Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

    Mjomba alifia gesti Dodoma akiwa na mchepuko ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Huyu baba alikua mtu maarufu kwenye siasa na alivyofariki, ilitangazwa kwamba alifia njiani wakati akikimbizwa hospitali kwa mshtuko wa moyo. Ukweli ni kwamba alifia lodge, msichana aliyekua naye akampigia simu uncle wetu...
  16. C

    Ugumu wa mawasiliano, Taasisi na Ofisi za Serikali

    Ni bahati mbaya sana kuona mawasiliano mengi ya Ofisi na Taasisi za Umma zitumii namba za simu walizoweka katika mtandao hasa za TTCL. Simu nyingi hazipatikani kwa kuwa hazijalipiwa hivyo kuleta usumbufu mkubwa sana kwa mtu mwenye kuhitaji huduma katika Taasisi husika. Kama namba...
  17. D

    Kama USA Urais ni taasisi mbona Trump anajifanyia anavyotaka?

    Mara afukuze wafanyakazi anavyotaka, Mara aajiri anavyotaka, Mara ayafute mashirika anavyotaka, Mara aifute mikataba ya watangulizi wake hovyohovyo, Leo tena ameamuru sarafu flani isitengenezwe tena. Sasa hii imekaaje?!! Kumbe uraisi Raha sana.
  18. Ojuolegbha

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
  19. The mission 2017

    Uzi wa kutoa Maoni Juu ya Taasisi Zilizoshindwa kusimamia Misingi ya kuundwa kwake hivo unatamani zifutwe.

    Habari wana bodi. Kutokana na Anachoendelea kukifanya Trump huko USA, Nimepata tafakuri ya hapa kwetu Tz. Tuko na baadhi ya taasisi zilizo shindwa kabisa wazi wazi kutekeleza matakwa ya kuanzishwa kwake hivyo ni sawa na hakuna. Uzi huu ni wa kupendekeza hizo taasisi, Na kupendekeza zifutwe au...
  20. K

    Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

    Wakuu, Rafiki yangu, ambaye baba yake ni Shekhe wa mkoa, ameajiriwa katika taasisi kubwa ya serikali bila kufanyiwa usaili.
Back
Top Bottom