Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu nchini zimelaani vikali vurugu zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025, zikisema kuwa matukio hayo yameleta majonzi na machungu kwa familia mbalimbali, jamii na taifa kwa ujumla. Viongozi wa taasisi hizo wamesema wanaendelea kuwaombea faraja wote waliopoteza...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
abdulkarim
bakwata
kati
maelfu
mauaji
mkono
novemba
oktoba
oktoba 29
rais
rais samia
samia
samia suluhu hassan
serikali
serikali ya rais samia
taasisizakiislamu
uchaguzi mkuu 025
watanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.