PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu
Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko hayo.

Katika tamko lililotolewa siku ya Alhamisi, viongozi wa taasisi hizo wamesema tukio hilo limeacha majonzi makubwa kutokana na vifo vya watu wasio na hatia, ulemavu wa kudumu, na uharibifu wa mali na miundombinu ya umma na binafsi.

Viongozi hao wameeleza kuwa kabla ya uchaguzi mkuu, walifanya jitihada kubwa kuhimiza utunzaji wa amani, wakisisitiza kuwa kudai haki ni jambo la msingi, lakini lisifanywe kwa njia zinazohatarisha usalama wa taifa.

BAKWATA imeiomba serikali kuwa na jicho la huruma kwa familia zilizopoteza ndugu zao, waliojeruhiwa au kuathirika kwa njia yoyote katika machafuko hayo, huku ikiitaka pia kuchukua hatua dhidi ya wale ‘waliowachochea vijana kujiingiza kwenye vurugu’.

Aidha, tamko hilo limehimiza serikali kuzingatia suluhu na maridhiano pale inapobidi, kwa maslahi mapana ya taifa. Hata hivyo, viongozi hao wameonya kuwa maridhiano yasitumike kama zawadi kwa watu waliotenda uhalifu, wakisema vitendo vya namna hiyo havipaswi kufumbiwa macho.

Aidha viongozi wa Kiislamu hao wamempongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo wa uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo huku wakimtakia heri katika utekelezaji wa majukumu yake.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia anaendelea kupokea na kumiminiwa pongezi kutoka taasisi mbalimbali ndani na nje ya Nchi. Kutokana na ushindi mnono na wa kishindo alioupata katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Mwezi uliopita . Ambapo Taifa lilishuhudia Rais wetu kipenzi cha watanzania akiibuka kidedea kwa kupata ushindi wa 98% wa kura zote.

Ushindi ambao ulichagizwa na uchapakazi wake na kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake. Ambapo kila mtanzania mamilioni kwa mamilioni waliamua kumpigia kura za ndio ili aendeleze kazi njema aliyoianza katika awamu yake ya kwanza ya uongozi wake.

Embu soma Hapa 👉Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko hayo.

Screenshot_20251114-085909_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Aidha viongozi wa Kiislamu hao wamempongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo wa uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo huku wakimtakia heri katika utekelezaji wa majukumu yake.View attachment 3501584

Taasis za ubwabwa hizo, what else they can do?
 
Taasis za ubwabwa, what else they can do?
 
Mashehe ubwabwa. Hao wape ubwabwa tu
 
Huyu sio rahisi wa dini ya kislam waislam wajinga wananishangaza hapo kwa hiyo na wakatoliki akiingia Rais mkatoliki waanze kumpogeza
 
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko hayo. Katika tamko lililotolewa siku ya Alhamisi, viongozi wa taasisi hizo wamesema tukio hilo limeacha majonzi makubwa kutokana na vifo vya watu wasio na hatia, ulemavu wa kudumu, na uharibifu wa mali na miundombinu ya umma na binafsi.

Viongozi hao wameeleza kuwa kabla ya uchaguzi mkuu, walifanya jitihada kubwa kuhimiza utunzaji wa amani, wakisisitiza kuwa kudai haki ni jambo la msingi, lakini lisifanywe kwa njia zinazohatarisha usalama wa taifa.

BAKWATA imeiomba serikali kuwa na jicho la huruma kwa familia zilizopoteza ndugu zao, waliojeruhiwa au kuathirika kwa njia yoyote katika machafuko hayo, huku ikiitaka pia kuchukua hatua dhidi ya wale ‘waliowachochea vijana kujiingiza kwenye vurugu’.

Aidha, tamko hilo limehimiza serikali kuzingatia suluhu na maridhiano pale inapobidi, kwa maslahi mapana ya taifa. Hata hivyo, viongozi hao wameonya kuwa maridhiano yasitumike kama zawadi kwa watu waliotenda uhalifu, wakisema vitendo vya namna hiyo havipaswi kufumbiwa macho. Aidha viongozi wa Kiislamu hao wamempongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo wa uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo huku wakimtakia heri katika utekelezaji wa majukumu yake.
 
Hawa mashehe ubwabwa waneendekeza njaa na uchawa mpaka wanatia kichefuchefu, yaani wamejitoa ufahamu kabisa kwa sababu ya vihongo vidogovidogo na kumlinda muuaji na mporaji wa haki ya uchaguzi kisa pia ni mwezao katika imaaaan ya Subhana wa Ta'Allah hata kukiwa na utekaji, ufiraji na uuaji ni sawa tu huku wengine justifications zao ni kwamba eti mbona Pemba walifanyiwa hivyo na Mkapa so is this the revenge of what Mkapa did back in the day?
The best thing hapa ni kuvunja muungano hayo mengine yafuate nyuma yake.
No president since independence has ever done this kinda atrocities, the straight out massacre.
 
Siku hizi hata viongozi wa dini, wengi wao ni machawa wa watawala, njaa kali, kujikomba komba sana, haki inapotoshwa, uchawa tu ndo umewajaa, hamna dini hapo yote ni magenge ya wahuni na wachumia matumbo.
Kuchoma mali za umma na binafsi,kuzuwia/vuruga uchaguzi ni uhalifu,siyo haki
 
Back
Top Bottom