Skyworth
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 480
- 275
Kwahiyo solution ni kuchoma mali za watu sio…!Chanzo cha Machafuko ni Utesi manyanyaso uonevu wa maccm kwa wananchi
Kwahiyo solution ni kuchoma mali za watu sio…!Chanzo cha Machafuko ni Utesi manyanyaso uonevu wa maccm kwa wananchi
Mashehe ubwabwa wa Bakwataccm ni mashetani wote kazi yao ni kufuga majini kuwaroga Mashehe wasitaarabu wasiopenda upumbavu wao, tarehe 9 mandamano yataanzia Bakwataccm ili wapate cha kujifunzaView attachment 3501608
View attachment 3501609
View attachment 3501610
View attachment 3501611
View attachment 3501613
View attachment 3501612
View attachment 3501607
Hawa mashehe ubwabwa waneendekeza njaa na uchawa mpaka wanatia kichefuchefu, yaani wamejitoa ufahamu kabisa kwa sababu ya vihongo vidogovidogo na kumlinda muuaji na mporaji wa haki ya uchaguzi kisa pia ni mwezao katika imaaaan ya Subhana wa Ta'Allah hata kukiwa na utekaji, ufiraji na uuaji ni sawa tu huku wengine justifications zao ni kwamba eti mbona Pemba walifanyiwa hivyo na Mkapa so is this the revenge of what Mkapa did back in the day?
The best thing hapa ni kuvunja muungano hayo mengine yafuate nyuma yake.
No president since independence has ever done this kinda atrocities, the straight out massacre.
Nani katekwa na kulawitiwa?..wewe mbona hujatekwa?Haki ni kuteka, kulawiti na kuua according to you kwa hayo ndiyo chanzo cha unayoyakalamikia, unalalamikia repercussions badala ya yaliyosababisha hizo repercussions.
That's being extra stupid.
Wewe ndugu yako kauawa kapigwa Risasi unaona anakufa hasira zako utazifikishia wapi kama huna Bunduki ya kuwarudishia risasi? Mali na Roho za watu kipi kina thamani?Kwahiyo solution ni kuchoma mali za watu sio…!
Acha kuvuta Bangi hapo ghetto kwa Abdul umejitoa fahamu zote umesahau yule Dada wa Uganda na yule mkenya uliwafanya nini? ebu mrejeshe mdude polepole na wote uliowateka kwanza ndipo uendelee kuvuta bangi zakoNani katekwa na kulawitiwa?..wewe mbona hujatekwa?
Bakwataccm kitovu cha kufuga majini uchawa kulia lia njaa kali ndipo vilaza wamerundikana kama kunguniHuko upande wa pili hakuna watu akili inafanya kazi kama akina Bagonza, Kitima nk. Huko kuna vilaza haswa.
Shekhe alikufa na waislam wengi wameuawa kwa kupigwa Risasi na PolisiccmHao mashekh ubwabwa hawana 'fuse'
Mpaka siku shekh mwenzao akibakwa kupotezwa kutekwa na kuuwawa ndo watakuja na tamko rasmi
Hili ni swala la kitaifa tuwe pamoja tuweke udini kando...
Invinsible amekuwa akitoa slogan ya "ficha upumbavu wako na onyesha weledi wako".Kuchoma mali za umma na binafsi,kuzuwia/vuruga uchaguzi ni uhalifu,siyo haki
Walifata nini tz?Acha kuvuta Bangi hapo ghetto kwa Abdul umejitoa fahamu zote umesahau yule Dada wa Uganda na yule mkenya uliwafanya nini? ebu mrejeshe mdude polepole na wote uliowateka kwanza ndipo uendelee kuvuta bangi zako
Sifa ya kuwa sheikh ni kujua kusoma na kuandika lugha ya kiaaarabu tu hata kama kaishia darasa la pili B anakuwa sheikh,Sifa ya kuwa shekhe ni nini? Tatizo linaanzia hapo.
Uwongo,wengi waliouawa waliuawa nje ya majumba,mna-push hiyo narrative kwa agenda yenu mahsusiInvinsible amekuwa akitoa slogan ya "ficha upumbavu wako na onyesha weledi wako".
Hivi unajua kuwa mamia ya watu walio uwawa wakiwamo Wanawake na watoto wamepigwa risasi majumbani?
Sasa soma hilo Kisha tafakari na ujinga ulioandika!
Bangladeshi!
Chanzo cha mandamano ni wewe kuwanyima Haki wananchi, kuwateka, kuwaua, kuwabambikia kesi za uongo kufanya uchaguzi feki wa maigizo kuiba kura, ufisadi, Udikiteta wako na mambo yako mengi ya hovyoNdio maana mnaambiwa maandamano ni haramu yanasababisha wanaingia wasio kuwepo na wasio kuwepo
BAKWATA ni chombo cha waislamu kilichoundwa na serikali.....Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko hayo.
Katika tamko lililotolewa siku ya Alhamisi, viongozi wa taasisi hizo wamesema tukio hilo limeacha majonzi makubwa kutokana na vifo vya watu wasio na hatia, ulemavu wa kudumu, na uharibifu wa mali na miundombinu ya umma na binafsi.
Viongozi hao wameeleza kuwa kabla ya uchaguzi mkuu, walifanya jitihada kubwa kuhimiza utunzaji wa amani, wakisisitiza kuwa kudai haki ni jambo la msingi, lakini lisifanywe kwa njia zinazohatarisha usalama wa taifa.
BAKWATA imeiomba serikali kuwa na jicho la huruma kwa familia zilizopoteza ndugu zao, waliojeruhiwa au kuathirika kwa njia yoyote katika machafuko hayo, huku ikiitaka pia kuchukua hatua dhidi ya wale ‘waliowachochea vijana kujiingiza kwenye vurugu’.
Aidha, tamko hilo limehimiza serikali kuzingatia suluhu na maridhiano pale inapobidi, kwa maslahi mapana ya taifa. Hata hivyo, viongozi hao wameonya kuwa maridhiano yasitumike kama zawadi kwa watu waliotenda uhalifu, wakisema vitendo vya namna hiyo havipaswi kufumbiwa macho.
Aidha viongozi wa Kiislamu hao wamempongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo wa uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo huku wakimtakia heri katika utekelezaji wa majukumu yake.
Wewe utakuwa shetani kwani umeua wengi fahamu zimekutoka mpaka kubishana na ukweli kuwa watu wengi waliuawa wakiwa ndani majumbani mwao piaUwongo,wengi waliouawa waliuawa nje ya majumba,mna-push hiyo narrative kwa agenda yenu mahsusi
Waislam wenye weledi utu ubinadamu wapenda haki huwa wanaichukia Bakwata, hawaitaki kabsa kwani wanajua Bakwataccm ipo uvunguni mwa ccm inaishi na nyokaBAKWATA ni chombo cha waislamu kilichoundwa na serikali.....
Hivi ni kweli masheikh hawajui / hawaoni kuwa tume ya uchaguzi si huru??
Waislamu tunajidharirisha sana!
Bakwataccm ni mashetani watupuMasheikh na BAKWATA ni wanafiki sana Ally kibao ni muislamu alitekwa mchana kweupe na kuuwawa hawakutoa tamko lolote.
Kwani Tz ni sayari wasipofika watu?Walifata nini tz?