PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu
Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hiii ni Ajabu Ndugu zangu!!.

Hawa watu kichwani wako Sawa ?.

Wanasema, Ilikua ni sahihi Kwa Vyombo vya Dola vya CCM na Mamuluki wao, Kutumia Risasi za Moto kuua Waandamanaji Et 'Kuleta Aman'.




BAKWATA mtumiwe, ilwe ni uchawa , Moto mnaouwasha, HAMTAKAA Kuuzima.
 
Sawa BAKWATA, haya kachukueni mabikra 72 kila mmoja maana mmeshinda. Mpeni na huyo chawa Luca na yeye walau bakra mmoja aonjemo.
 
Abdulkarim Juma: Uislam Ungekuwa vilemba na kanzu basi dunia ingekuwa hatari sana. Ila kwakuwa Hawa ni kikundi cha magaidi wa ccm ambao wamechomekwa Ilo kujifanya wanausemea uislam ndio shida ipoanzia
 
Hicho ni kikundi cha kigaidi na bibi yao CCM ni cha kuangamiza na kukifuta kwenye uso wa dunia,na Masalia yake yasionekane
 
Katika kitu cha kipumbavu mwanadamu kuletewa ni DINI. Dini ni ulevi mbaya sana.

Mtu kama huyu hata tofauti ya Mungu na dini hajui na bahati mbaya ameipa kipaumbele dini akimsahau Mungu.

Na cha kusikitisha zaidi anasahau hata maovu yanayopingwa kwenye QURUAN, QURUAN inayohubiri haki, quruan inayohubiri upendo.

Muislamu ndugu yake Muislamu anaamini hivi, wameuwawa vijana kibao wa Kiislamu walioandamana kwa wasioandamana ambao wamenyang'anywa HAKI yao ya kuishi.
Lakini hajali kwa kuwa Rais ni Muislamu.

Wazee huu kama sio umatako ni nini?
Vifo vyao wale totally vimekuwa justified na matendo Yao.. na tarehe 9 wakifanya kama vile watakufa Tu. Kelele za mnakolia hazitushtui kulinda utulivu wa Taifa letu.
 
Screenshot_20251103-215106~2.png
 
 
Back
Top Bottom