taasisi za kiislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jumuiya ya taasisi za Kiislamu: Tunalaani vikali vurugu za Oktoba 29, Shughuli za upigaji kura zilienda vizuri kuanzia asubuhi hadi jioni

    Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu nchini zimelaani vikali vurugu zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025, zikisema kuwa matukio hayo yameleta majonzi na machungu kwa familia mbalimbali, jamii na taifa kwa ujumla. Viongozi wa taasisi hizo wamesema wanaendelea kuwaombea faraja wote waliopoteza...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…