Habari za wakuu,
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja tunafahamu kwamba taasisi hizi zipo vizuri kwenye maslahi je ni wapi kuna maslahi zaidi ikiwa mtumishi anataka kuhamia huko.
TBS, NSSF, TMDA, EWURA, MSD, WCF, TPDC, TIRA
Maslahi zaidi ya posho na safari kidogo.
Naomba msinishambulie kwa...