Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.
Wakati nafikiria kuanza michakato ya kufuatilia michango yangu kwa hawa jamaa nilikuwa nafikiria sana kwa kuwa taasisi nyingi za umma zinasifika kwa kuwa na customer care mbaya sana kwa wateja. Lakini nimefuatilia,nimeingia ofisi tofauti tofauti na itoshe tu kusema jamaa ni wakarimu na...
Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza miradi, kugharamia shughuli za uendeshaji n.k. Jukumu la utafutaji wa fedha kwa Taasisi nyingi za...
Wananchi wanapopoteza imani kwenye taasisi za serikali huwa kuna uwezekano mkubwa kwa nchi husika kuingia kwenye korongo. Haijalishi idadi ya hao wananchi, madhara ni lazima yawepo tu. Ukisoma historia, mifano iko mingi mno. Wananchi wakikata tamaa kuna kitu huzaliwa ambacho wengi kifalsafa...
Ili kuokoa muda na gharama za kuajiri, tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani.
Utaratibu wa kuitumia Sekretarieti ya Ajira kushughulikia ajira za taasisi zote zilizopo Tanzania ni kupoteza muda wa kuajiri na kuita watu kwenye usaili.
Kuajiri kunachukua muda mrefu sana.
Salaam wana JF,
Dunia uwanja wa fujo na kila mtu anafujo zake, lakini kuna baadhi ya watu wanazidisha fujo na kuanza kuona wao ndiyo wanapaswa kuishi peke yao duniani. Hawa huwa wanajiribu kufikiri kuwa binadamu wengine walikuja duniani kwa bahati mbaya.
Mtu au kundi kama hili hudiliki...
Gianna Amani
Taasisi ya China-Africa (CAI) ambayo inajihusisha zaidi na utafiti wa masuala yanayohusu uhusiano kati ya China na Afrika imesema inatarajia kufungua vituo vitano barani Afrika ili kusogeza huduma karibu kwa Waafrika.
Akizungumza na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika...
Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda.
Prof. Mkenda ameituhumu HESLB kukataa kutoa ushirikiano na taarifa kwa Kamati yake kuhusu uwepo wa upendeleo wa utoaji Mikopo...
Habari!
Katika pilikapilika za hapa na kule nilifika ofisi moja ya umma (Shirika la umma). Watumishi wamejaa madeni sio poa, mtumishi anadaiwa na Bank mpaka tatu, au benki moja kuna deni juu ya deni.
Hapo kuna mikopo ya wakopesha pesa kwa riba, yaani pesa za mkononi. Akipata posho analipa...
Kumekua na utaratibu ambao unazilazimisha taasisi zote za serikali kuwatumia sekretarieti ya ajira kufanya mchakato mzima wa kuajiri kila wakati ambao taasisi hizo zinahitaji kuajiri.
Lakini mfumo huu una mapungufu makubwa sana.
Kwanza unachelewa sana kuajiri wafanyakazi wapya kwasababu...
Mtu upo chuo kikuu unashindwa kutambua kuwa haki za kimsingi zimeanishwa wazi kabisa kuanzia ibara ya 13 - 29 ya katiba ya JMT
Unabaki kubwabwaja hovyo kama unahara.
Sio kila kinachofanywa na serikali hakitakiwi kupingwa inategemea. Ndio maana ibara ya 18 ya katiba ya JMT inatoa haki ya...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana, Jijini Dodoma, amekutana na Menenjinenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi za Uhifadhi za Wizara ya Maliasili na Utalii kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Uhifadhi na uendelezaji wa Utalii nchini.
Habari wadau kwa ujumLa.Naimani mu wazima wa afya.
Ni jambo la kawaida kwa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kuhakikisha tunaenda sambamba na mataifa yalioendelea kupitia nyanja hizo.
Changamoto imekua kubwa na kama wahusika hawaioni au hufanya makusudi yasio na sababu yeyote ile basi...
Serikali kupitia wizara husika inapasa kufanya mabadiliko kidogo katika sheria ya uhalifu wa kimtandao ya mwaka 2015 yaani Cyber Crimes Act , 2015 kwani tangu ilipoanzishwa na kupitishwa na Bunge tarehe 22 .05.2015 polisi ndio wamepewa mamlaka ya kufuatilia uhalifu na uchunguzi juu ya masuala ya...
Kama ccm ndio hawa, basi upinzani una safari ndefu sana kuchomoza katika nchi hii.
Nilijiuliza nini kiliwasukuma hawa watu kuanzisha taasisi nyingine kwa jina na malengo yanayoelekeana, ila nilipowaona aina ya wageni walioalikwa kutoa mada na ukumbi uliotumika nikajua ccm ni wajanja wajanja...
Habarini!
Tunazikaribisha taasisi za makanisa kutumia mfumo wa kidigitali wa ChurchMIS kusimamia taarifa za kila siku za kanisa kama vile
Kuhifadhi taarifa za waumini
Kuhifadhi na kufuatilia taarifa za fedha
Kuhifadhi taarifa za miradi ya kanisa
Kuhifadhi na kusimamia taarifa za idara...
SERIKALI IMETATUA CHANGAMOTO ZA UBIA NA TAASISI ZA DINI- BASHUNGWA
Eliud Rwechungura - OR TAMISEMI
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imeimarisha Ushirikiano na Taasisi na Mashirika ya kidini zinazotoa huduma ya Afya msingi kwa wananchi kwa kutatua changamoto zilizokuwepo baina ya...
Manispaa ya Dodoma ilipima viwanja vingi tu katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma hasa baada ya Makao Makuu ya Nchi kuhamishiwa Dodoma. Sio Manispaa tu, bali hata makampuni binafsi yamepima na kuuza viwanja vingi tu.
Maeneo hayo ni pamoja na Mtumba, Nata, Ihumwa, Nzuguni, Michese...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.