taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. PSSSF moja ya taasisi za Umma zenye Customers care bora kabisa nchini

    Wakati nafikiria kuanza michakato ya kufuatilia michango yangu kwa hawa jamaa nilikuwa nafikiria sana kwa kuwa taasisi nyingi za umma zinasifika kwa kuwa na customer care mbaya sana kwa wateja. Lakini nimefuatilia,nimeingia ofisi tofauti tofauti na itoshe tu kusema jamaa ni wakarimu na...
  2. Shirikisha Watu Wafuatao Kwenye Utafutaji wa Fedha Kwa Ajili ya Taasisi Yako

    Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza miradi, kugharamia shughuli za uendeshaji n.k. Jukumu la utafutaji wa fedha kwa Taasisi nyingi za...
  3. Wananchi wamepoteza imani kwenye taasisi zote za Serikali. Kama Taifa tunafahamu hatari iliyo mbeleni?

    Wananchi wanapopoteza imani kwenye taasisi za serikali huwa kuna uwezekano mkubwa kwa nchi husika kuingia kwenye korongo. Haijalishi idadi ya hao wananchi, madhara ni lazima yawepo tu. Ukisoma historia, mifano iko mingi mno. Wananchi wakikata tamaa kuna kitu huzaliwa ambacho wengi kifalsafa...
  4. Tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani

    Ili kuokoa muda na gharama za kuajiri, tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani. Utaratibu wa kuitumia Sekretarieti ya Ajira kushughulikia ajira za taasisi zote zilizopo Tanzania ni kupoteza muda wa kuajiri na kuita watu kwenye usaili. Kuajiri kunachukua muda mrefu sana.
  5. Ni kitu gani ulifanyiwa na mtu, kikundi cha watu au taasisi mpaka ukajiuliza hawa watu wananichukuliaje?

    Salaam wana JF, Dunia uwanja wa fujo na kila mtu anafujo zake, lakini kuna baadhi ya watu wanazidisha fujo na kuanza kuona wao ndiyo wanapaswa kuishi peke yao duniani. Hawa huwa wanajiribu kufikiri kuwa binadamu wengine walikuja duniani kwa bahati mbaya. Mtu au kundi kama hili hudiliki...
  6. Taasisi ip inayotoa mikopo kwa wastaafu

    Kuna mtu anauliza taasisi ipi inatoa mikopo kwa wastaafu na terms zikoje.
  7. L

    Taasisi ya China-Afrika kufungua vituo vitano Afrika

    Gianna Amani Taasisi ya China-Africa (CAI) ambayo inajihusisha zaidi na utafiti wa masuala yanayohusu uhusiano kati ya China na Afrika imesema inatarajia kufungua vituo vitano barani Afrika ili kusogeza huduma karibu kwa Waafrika. Akizungumza na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika...
  8. Bunge kuihoji Bodi ya Mikopo sakata la upendeleo utoaji wa Mikopo

    Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda. Prof. Mkenda ameituhumu HESLB kukataa kutoa ushirikiano na taarifa kwa Kamati yake kuhusu uwepo wa upendeleo wa utoaji Mikopo...
  9. Kuna taasisi za serikali watumishi wake wananuka madeni kama wamelaaniwa

    Habari! Katika pilikapilika za hapa na kule nilifika ofisi moja ya umma (Shirika la umma). Watumishi wamejaa madeni sio poa, mtumishi anadaiwa na Bank mpaka tatu, au benki moja kuna deni juu ya deni. Hapo kuna mikopo ya wakopesha pesa kwa riba, yaani pesa za mkononi. Akipata posho analipa...
  10. Ni muda wakuziacha taasisi ziajiri zenyewe ili kuokoa muda wa kuajiri

    Kumekua na utaratibu ambao unazilazimisha taasisi zote za serikali kuwatumia sekretarieti ya ajira kufanya mchakato mzima wa kuajiri kila wakati ambao taasisi hizo zinahitaji kuajiri. Lakini mfumo huu una mapungufu makubwa sana. Kwanza unachelewa sana kuajiri wafanyakazi wapya kwasababu...
  11. M

    Aibu kubwa kwa taifa letu kuwa na taasisi kama Tahliso ambayo haijui kuwa Chadema wana haki kikatiba kukubali au kukataa hoja za kikosi kazi

    Mtu upo chuo kikuu unashindwa kutambua kuwa haki za kimsingi zimeanishwa wazi kabisa kuanzia ibara ya 13 - 29 ya katiba ya JMT Unabaki kubwabwaja hovyo kama unahara. Sio kila kinachofanywa na serikali hakitakiwi kupingwa inategemea. Ndio maana ibara ya 18 ya katiba ya JMT inatoa haki ya...
  12. Waziri balozi Dkt. Pindi Chana akutana na wakuu wa Taasisi za Utalii na Maliasili

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana, Jijini Dodoma, amekutana na Menenjinenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi za Uhifadhi za Wizara ya Maliasili na Utalii kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Uhifadhi na uendelezaji wa Utalii nchini.
  13. Changamoto ya upatikanaji kwa njia za mawasiliano zitolewazo na Taasisi za Umma, makampuni na sehemu zote zitoazo huduma

    Habari wadau kwa ujumLa.Naimani mu wazima wa afya. Ni jambo la kawaida kwa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kuhakikisha tunaenda sambamba na mataifa yalioendelea kupitia nyanja hizo. Changamoto imekua kubwa na kama wahusika hawaioni au hufanya makusudi yasio na sababu yeyote ile basi...
  14. Napendekeza taasisi binafsi ziruhusiwe kufanya uchunguzi katika Cyber Crimes

    Serikali kupitia wizara husika inapasa kufanya mabadiliko kidogo katika sheria ya uhalifu wa kimtandao ya mwaka 2015 yaani Cyber Crimes Act , 2015 kwani tangu ilipoanzishwa na kupitishwa na Bunge tarehe 22 .05.2015 polisi ndio wamepewa mamlaka ya kufuatilia uhalifu na uchunguzi juu ya masuala ya...
  15. T

    Kwa hiyo ccm wameanzisha taasisi ya kumbukizi ya mwalimu chini ya paul kimiti ili kuyeyesha uzito wa hoja za taasisi ya Butiku?

    Kama ccm ndio hawa, basi upinzani una safari ndefu sana kuchomoza katika nchi hii. Nilijiuliza nini kiliwasukuma hawa watu kuanzisha taasisi nyingine kwa jina na malengo yanayoelekeana, ila nilipowaona aina ya wageni walioalikwa kutoa mada na ukumbi uliotumika nikajua ccm ni wajanja wajanja...
  16. H

    Taasisi za makanisa karibuni mtumie mfumo wa kidigitali kusimamia taarifa za kanisa

    Habarini! Tunazikaribisha taasisi za makanisa kutumia mfumo wa kidigitali wa ChurchMIS kusimamia taarifa za kila siku za kanisa kama vile Kuhifadhi taarifa za waumini Kuhifadhi na kufuatilia taarifa za fedha Kuhifadhi taarifa za miradi ya kanisa Kuhifadhi na kusimamia taarifa za idara...
  17. S

    Shirika gani au Taasisi gani inayolipa vizuri.

    Niombe ajira shirika gani au Taasisi gani inayolipa vizuri na wanatoa matangazo mara kwa mara ya procurement.
  18. S

    Taasisi au Mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?

    Habari wana jf, Hivi ni taasisi au mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?
  19. J

    Waziri Bashungwa: Serikali imetatua changamoto za ubia na Taasisi za Dini

    SERIKALI IMETATUA CHANGAMOTO ZA UBIA NA TAASISI ZA DINI- BASHUNGWA Eliud Rwechungura - OR TAMISEMI Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imeimarisha Ushirikiano na Taasisi na Mashirika ya kidini zinazotoa huduma ya Afya msingi kwa wananchi kwa kutatua changamoto zilizokuwepo baina ya...
  20. S

    Serikali kuhamia Dodoma: Serikali imefanya makosa kuruhusu taasisi zake kujenga ofisi katikakati ya mji

    Manispaa ya Dodoma ilipima viwanja vingi tu katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma hasa baada ya Makao Makuu ya Nchi kuhamishiwa Dodoma. Sio Manispaa tu, bali hata makampuni binafsi yamepima na kuuza viwanja vingi tu. Maeneo hayo ni pamoja na Mtumba, Nata, Ihumwa, Nzuguni, Michese...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…