Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.
Mimi kama Mtanzania mwenye nia nzuri na malengo na hii nchi japo nimetamani kuikimbia na nimepata nafasi kadhaa ila nikaamua kubaki naomba kupendekeza ofisi za serikali na bunge zianze kupima pombe na madawa ya kulevya.
Hii itasaidia kuondoa wafanyakazi na wabunge ambao wanafanya maamuzi ya...
AMOS MAKALLA, MKUU WA MKOA WA DAR
Kwanza niseme hali ya mkoa ipo salama, hali nishwari tunaendelea na shughuli zetu. Kwahiyo, hata ile operesheni ya panya buku na panya road imefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Kimya kabisa! Lakini, nikuahidi kuwa ni operesheni endelevu.
…juzi tulipata matukio ya...
Habari wadau,
Naomba kuuliza wapi naweza pata vitabu hard copy vya serikali sio PDF soft copu ivo vipo online naweza kuvipata all time mm nataka hard copy mfano TPA tarrifs nk.
Shukrani.
Akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi Bungeni leo Mei 26, Dkt Joseph Kizito amesema “sehemu kubwa ya migogoro katika maeneo yetu inachangiwa na taasisi zingine za serikali, inapotokea mwananchi ana matumizi na ardhi na Serikali kupitia idara zake wanaihitaji hiyo ardhi, wizara ya ardhi isimame...
Mara kwa mara, taasisi za kidini zimekua zikiomba serikali kutowatoza kodi kwenye huduma wanazotoa, wakidai kwamba wao hawafanyi biashara bali wanatoa kusaidia jamii,
Huu ni wizi fatilia shule, hospitali na vyuo vya kidini wanatoza gharama kubwa kuliko hata vya watu binafsi, vyuo vingi vya...
Nawasalimu kwa jina la JMT..na Kazi iendelee.
Ifike wakati serikali ichukue maamuzi magumu na yenye tija kwa Taifa kwa kupunguza utitiri wa Taasisi zake zilizo chini ya Wizara mbalimbali.
Ukiacha kwamba hazina tija kwa Nchi bali ni mzigo mkubwa sana wa walipakodi wa Tanzania kwani zinaongeza...
Ukiondoa magari ya IKULU na yale ya Viongozi wa kitaifa;
Naishauri ofisi ya waziri mkuu ikiongozwa na Mh Majaliwa Kassimu kwa kushirikiana na Tamisemi chini ya Bashungwa!
Waelekeze magari yote ya serikali yapakwe rangi ya nembo ya taasisi husika kama ilivyo kwa taasisi chache kama...
Asilimia 23.3 la ongezeko la mshahra kwa kima Cha chini si haba, japo baadhi wanakejeli ongezeko Hilo Ila ukweli ni kwamba kheri ya kitu kidogo kuliko kutokuongezewa kabisa.
Napenda kuwashauri watumishi wa umma ambao hupendelea kukopa katika taasisi za fadha kuwa makini na taasisi ndogo ndogo...
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM taifa Shaka Hamdu Shaka amezitaka taasisi za umma zenye miradi mikubwa ya maendeleo kuwa na bajeti maalum ya kuhudumia miradi hiyo.
Shaka alisema hayo leo wakati alipotembelea hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Manyara mjini Babati.
“Nitoe wito kuwe na bajeti maalum...
Imeibuka hulka ya wanasiasa kushambulia taasisi na watendaji majukwaani.
Ni dhahiri kwamba mifumo ina mapungufu. Hivi PM anashambulia taasisi au mtendaji ambaye juu yake kuna bodi, katibu mkuu na waziri, hii ni hulka gani? Micromanagement sio ideal.
Yupo mmoja alihangaika na principal officers...
Katika zama hizi za digitali, moja ya mambo yanayoibua mijadala sana ni pamoja na suala la ‘ujumuishaji wa digitali’ au mfumo jumuishi katika masuala ya kidigitali (digital inclusion).
Hii inatafsiriwa kama dhana inayoshughulikia masuala yanayohusiana na ujuzi wa kidigitali na ufikiaji wa...
Nb; bei iliyopo kwenye tangazo ni bei elekezi.
Pia tunafundisha programming language za web app na Android.
PHP, PYTHON, JS, JAVA, KOTLIN.
LARAVEL, FLASK, REACR.
Kwa bei za mafunzo itategemea na unachotKa,
Location mwanza , remotely tunafanya kwa uaminifu kabisa.
Maswali pm ipo wazi
Habari za muda huu ndugu zangu, naomab kujua endapo nitamtumia email mkurugenzi wa taasisi flani ya serikali, je email iyo mfano dg@tcra.go.tz je inamfikia yeye mwenyewe mkurugenzi wa iyo taasisi moja kwa moja na anaisoma au inafikia kwanza kwa msaidizi (secretary wake) the yeye mwenyewe...
Niseme wazi. Mimi ni mhanga wa mabadiliko yaliyotokea pale Raisi Magufuli alipoingia madarakani. Nilikuwa nikifanya kazi nje ya nchi kama mtaalamu katika sekta fulani. Nikaambiwa taasisi fulani ya serikali hapa nchini ilihitaji watu kama mimi. Nikaomba nafasi hiyo ili nirudi nchini kutumikia...
Masahihisho: Nimeandika GPSA kwenye kichwa cha habari kimakosa, neno sahihi ni TANEPS.
Nimesikia kwamba unaweza omba zabuni kwa taasisi yeyote ya serikali kwa kutumia mfumo wa TANEPS, lakini kwanza hakikisha wewe ni kati ya wazabuni waliosajiliwa na taasisi husika.
Hivi hii kitu imekaaje? Kuna...
Rais wetu anakubalika sana kimataifa na ameweza kutufungua kimataifa. Ni rais pekee, executive president, mwanamke barani Afrika na wengi wako tayari kumsaidia ili kuonesha ulimwengu hasa wa Afrika kwamba wanawake wanaweza, tena sana tu kuliko wanaume wengi.
Wengi wanapenda kuona rais wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.