taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Tupime Pombe na Madawa ya Kulevya kwa Wafanyakazi Taasisi za Serikali na Bunge

    Mimi kama Mtanzania mwenye nia nzuri na malengo na hii nchi japo nimetamani kuikimbia na nimepata nafasi kadhaa ila nikaamua kubaki naomba kupendekeza ofisi za serikali na bunge zianze kupima pombe na madawa ya kulevya. Hii itasaidia kuondoa wafanyakazi na wabunge ambao wanafanya maamuzi ya...
  2. Dar: Rais Samia akabidhi magari 123 kwa Mamlaka za Maeneo ya Utekelezaji kwa Shughuli za TASAF

    AMOS MAKALLA, MKUU WA MKOA WA DAR Kwanza niseme hali ya mkoa ipo salama, hali nishwari tunaendelea na shughuli zetu. Kwahiyo, hata ile operesheni ya panya buku na panya road imefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Kimya kabisa! Lakini, nikuahidi kuwa ni operesheni endelevu. …juzi tulipata matukio ya...
  3. R

    Wapi naweza kununua vitabu vya Taasisi za Serikali?

    Habari wadau, Naomba kuuliza wapi naweza pata vitabu hard copy vya serikali sio PDF soft copu ivo vipo online naweza kuvipata all time mm nataka hard copy mfano TPA tarrifs nk. Shukrani.
  4. Mbunge asema migogoro ya ardhi inachangiwa na taasisi za Serikali

    Akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi Bungeni leo Mei 26, Dkt Joseph Kizito amesema “sehemu kubwa ya migogoro katika maeneo yetu inachangiwa na taasisi zingine za serikali, inapotokea mwananchi ana matumizi na ardhi na Serikali kupitia idara zake wanaihitaji hiyo ardhi, wizara ya ardhi isimame...
  5. N

    Taasisi za dini, zinazoomba zisitozwe kodi ni wezi, Serikali msikubali kwa hilo

    Mara kwa mara, taasisi za kidini zimekua zikiomba serikali kutowatoza kodi kwenye huduma wanazotoa, wakidai kwamba wao hawafanyi biashara bali wanatoa kusaidia jamii, Huu ni wizi fatilia shule, hospitali na vyuo vya kidini wanatoza gharama kubwa kuliko hata vya watu binafsi, vyuo vingi vya...
  6. Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani

    Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
  7. Hakuna taasisi yenye pesa kama Bodi ya michezo ya kubahatisha

    Wakuu Wafanyakazi kwenye hii Bodi wanalipwa kuliko taasisi nyingine kubwa mnazozifikiria. Ni katika bodi inayozalisha pesa nyingi kwa nchi.
  8. Serikali punguzeni utitiri huu wa Taasisi ni mzigo kwa walipa kodi

    Nawasalimu kwa jina la JMT..na Kazi iendelee. Ifike wakati serikali ichukue maamuzi magumu na yenye tija kwa Taifa kwa kupunguza utitiri wa Taasisi zake zilizo chini ya Wizara mbalimbali. Ukiacha kwamba hazina tija kwa Nchi bali ni mzigo mkubwa sana wa walipakodi wa Tanzania kwani zinaongeza...
  9. D

    Nashauri magari yote ya Serikali na Taasisi za Umma yapakwe rangi za nembo zao kupunguza ukiritimba

    Ukiondoa magari ya IKULU na yale ya Viongozi wa kitaifa; Naishauri ofisi ya waziri mkuu ikiongozwa na Mh Majaliwa Kassimu kwa kushirikiana na Tamisemi chini ya Bashungwa! Waelekeze magari yote ya serikali yapakwe rangi ya nembo ya taasisi husika kama ilivyo kwa taasisi chache kama...
  10. Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma lisiwafanye muingie mkenge kukopa kwenye taasisi ndogo ndogo za kifedha

    Asilimia 23.3 la ongezeko la mshahra kwa kima Cha chini si haba, japo baadhi wanakejeli ongezeko Hilo Ila ukweli ni kwamba kheri ya kitu kidogo kuliko kutokuongezewa kabisa. Napenda kuwashauri watumishi wa umma ambao hupendelea kukopa katika taasisi za fadha kuwa makini na taasisi ndogo ndogo...
  11. J

    Shaka amezitaka taasisi za umma zenye miradi mikubwa ya maendeleo kuwa na bajeti maalum ya kuhudumia miradi hiyo

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM taifa Shaka Hamdu Shaka amezitaka taasisi za umma zenye miradi mikubwa ya maendeleo kuwa na bajeti maalum ya kuhudumia miradi hiyo. Shaka alisema hayo leo wakati alipotembelea hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Manyara mjini Babati. “Nitoe wito kuwe na bajeti maalum...
  12. B

    Hili la wanasiasa kushambulia taasisi ni wazi kuwa hakuna mifumo Tanzania

    Imeibuka hulka ya wanasiasa kushambulia taasisi na watendaji majukwaani. Ni dhahiri kwamba mifumo ina mapungufu. Hivi PM anashambulia taasisi au mtendaji ambaye juu yake kuna bodi, katibu mkuu na waziri, hii ni hulka gani? Micromanagement sio ideal. Yupo mmoja alihangaika na principal officers...
  13. Y

    Wadau naulizia benki au taasisi gani za fedha zinazotoa mikopo ya riba nafuu kwa wafanyabiashara wa kati na wajasiliamali

    Wadau naulizia taasisi gani au benki gani inayotoa mikopo ya riba nafuu kwa wajasiliamali au wafanyabiashara wa kati
  14. Kuwezesha Ufikiaji Stahiki wa Elimu ya Digitali Katika Taasisi za Elimu ni Utekelezaji wa Haki ya Msingi ya Watoto, Vijana

    Katika zama hizi za digitali, moja ya mambo yanayoibua mijadala sana ni pamoja na suala la ‘ujumuishaji wa digitali’ au mfumo jumuishi katika masuala ya kidigitali (digital inclusion). Hii inatafsiriwa kama dhana inayoshughulikia masuala yanayohusiana na ujuzi wa kidigitali na ufikiaji wa...
  15. SOFTWARE Jipatie tovuti na mifumo ya biashara ama taasisi kwa bei poa

    Nb; bei iliyopo kwenye tangazo ni bei elekezi. Pia tunafundisha programming language za web app na Android. PHP, PYTHON, JS, JAVA, KOTLIN. LARAVEL, FLASK, REACR. Kwa bei za mafunzo itategemea na unachotKa, Location mwanza , remotely tunafanya kwa uaminifu kabisa. Maswali pm ipo wazi
  16. Unapotuma e-mail kwa Mkurugenzi inamfikia yeye au sekretari wake?

    Habari za muda huu ndugu zangu, naomab kujua endapo nitamtumia email mkurugenzi wa taasisi flani ya serikali, je email iyo mfano dg@tcra.go.tz je inamfikia yeye mwenyewe mkurugenzi wa iyo taasisi moja kwa moja na anaisoma au inafikia kwanza kwa msaidizi (secretary wake) the yeye mwenyewe...
  17. S

    Niliomba nafasi ya uongozi katika Taasisi ya Serikali wakati Rais Magufuli aliposhika madaraka, kuna viongozi walinisihi sana nisirudi nchini

    Niseme wazi. Mimi ni mhanga wa mabadiliko yaliyotokea pale Raisi Magufuli alipoingia madarakani. Nilikuwa nikifanya kazi nje ya nchi kama mtaalamu katika sekta fulani. Nikaambiwa taasisi fulani ya serikali hapa nchini ilihitaji watu kama mimi. Nikaomba nafasi hiyo ili nirudi nchini kutumikia...
  18. Eti kabla hujaomba zabuni kupitia mfumo wa GPSA ni lazima ujisajili kama mzabuni kwa taasisi unayoomba zabuni?

    Masahihisho: Nimeandika GPSA kwenye kichwa cha habari kimakosa, neno sahihi ni TANEPS. Nimesikia kwamba unaweza omba zabuni kwa taasisi yeyote ya serikali kwa kutumia mfumo wa TANEPS, lakini kwanza hakikisha wewe ni kati ya wazabuni waliosajiliwa na taasisi husika. Hivi hii kitu imekaaje? Kuna...
  19. Tuziombe nchi rafiki na taasisi za fedha hususani World Bank na African Development Bank waahirishe au kutusamehe baadhi ya madeni wanayotudai

    Rais wetu anakubalika sana kimataifa na ameweza kutufungua kimataifa. Ni rais pekee, executive president, mwanamke barani Afrika na wengi wako tayari kumsaidia ili kuonesha ulimwengu hasa wa Afrika kwamba wanawake wanaweza, tena sana tu kuliko wanaume wengi. Wengi wanapenda kuona rais wetu...
  20. Salamu za pasaka kutoka katika taasisi za Serikali zinasikitisha

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…