Habari za muda huu ndugu zangu, naomab kujua endapo nitamtumia email mkurugenzi wa taasisi flani ya serikali, je email iyo mfano
[email protected] je inamfikia yeye mwenyewe mkurugenzi wa iyo taasisi moja kwa moja na anaisoma au inafikia kwanza kwa msaidizi (secretary wake) the yeye mwenyewe...