Mfanyabiashara na mkazi wa Tabata Mawenzi, Mohamed Masoli (34) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, akikabiliwa na shtaka moja la usafirishaji haramu wa binadamu.
Masoli amefikishwa mahakamani leo, Oktoba 31, 2022 na kusomewa shitaka lake na wakili wa Serikali, Caroline Materu...