Sehemu ambayo ni Sports bar naweza angalia mpira wa ligi kama England /
Achana na hizi bar za kawaida ukienda wanaweka mziki unaangalia gemu ya mpira kama vile unaangalia pilau. Sauti zero.
Mi nataka sebemu mpira unausikilza na kuungalia ukiwa umetulia.
Achana na vibanda umiza full joto...
Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani.
Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo...
Habari wakuu,
poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu samahani, natafuta chumba kimoja cha kupanga maeneo ya ilala au Tabata.
Budget line ni kuanzia 30,000 mpaka 70,000 kwa mwezi.
Payment iwe kila baada ya miezi 3.
Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane.
Hii mvua itasaidia kupunguza vumbi kwa muda mrefu Jiji hili halikua na mvua.
Lakini pia Mvua hutuonyesha kwamba Mji wa Dar na miji mingine Mikubwa inatakiwa ipangwe hata kama Sio mji mzima lakini Maeneo yotr ya Miji hii Mikubwa Yanatakiwa kuwa Na...
NYUMBA INAUZWA TABATA KIMANGA
Nyumba ina sebule, jiko, mahala pa kulia chakula, Choo na bafu la jumuiya, vyumba viwili na master bedroom kimoja pia nyumba ina nyongeza ya chumba vya nje.
Kiwanja kina ukubwa wa 500 sqm
Kiwanja kina ofa na kimepimwa
BEI 50 million (negotiable)
Mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.