Rafiki yangu mpendwa,
Baba wa taifa la Tanzania, Mwl J. K. Nyerere, baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni aligundua hii nchi ni ngumu sana kuiongoza.
Baada ya tafakari ya kina, akagundua licha ya wakoloni kuondoka, bado kulikuwa na maadui wakubwa watatu walioendelea kuwepo na ambao ndiyo...