tabora

  1. Pre GE2025 Tabora: Kamati ya Bunge yaridhishwa ujenzi Bwawa la Kizengi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson Kiswaga, imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika Kijiji cha Kizengi, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora. Pia soma Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa...
  2. DOKEZO Kuna Maafisa wa Ardhi wanataka kutuondoa kwenye maeneo yetu Wakazi wa Masimba kwa kisingizio tupo eneo la Airport (Tabora)

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio maeneo yote ya Uwanja huo. Lengo lao kuu ilikuwa ni kuweka angalizo ili Wananchi wasije wakaingilia...
  3. A

    Kufelishwa kwa wanafunzi wa Utabibu TCOHAS - Tabora.

    Wanafunzi wa chuo cha afya na sayansi shirikiri Tabora, wamekua wakipitia changamoto ya kupewa matokeo yasiyo sahihi kwa muda mrefu sasa, hali ambayo imepelekea wengine kupewa barua za kusitishiwa kuendelea na masomo (DICO),,, wakifuatilia matokeo yao wanaambiwa hawakufeli bali walikua na...
  4. Tabora: Maadhimisho siku ya wanawake waahidiwa majengo mapya kwa ajili ya kujifungulia

    Katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani huko Mkoani Tabora wilayani Kaliua wanawake wilayani humo wamepata tumaini la kupata majengo mapya kwa ajili ya kujifungulia
  5. Picha Adimu za Mkutano wa Kura Tatu Tabora 1958

    Athmani Kondo ni mmoja wa Wazee Mashuhuri na Maarufu wa Tabora walionialika kuzungumza katika Kongamano la CCM kuhusu mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Nilizungumza Ukumbi wa Chuo Cha Uhazili Tabora. Athmani Kondo ameniletea picha hizo hapo chini zikionyesha mambo kama...
  6. Pre GE2025 Wakuu wa wilaya Tabora: Nyumba tunazoishi haziendani na hadhi yetu

    Wakuu wa wilaya za mkoa wa Tabora wameiomba serikali kuwajengea nyumba za kuishi pamoja na ofisi zao, wakieleza kuwa kwa sasa wanatumia majengo chakavu na ya zamani. Baadhi ya majengo hayo hujaa maji pindi mvua zinaponyesha, hali inayodhoofisha mazingira yao ya kazi na kuonyesha kutokuwepo kwa...
  7. KERO Tabora yafurika harufu ya majitaka – Uongozi upo wapi?

    Sura ya mji wowote hujionesha kwenye maeneo makuu ya kibiashara (business center), soko kuu na stendi kuu ya mabasi... Kwa wakazi wa Tabora na wasafiri kama mimI mnaofika ktk mji huu wa Tabora mara kwa mara kwa njia ya barabara kwa kutumia usafiri wa bus, mnaweza kuthibitisha hili, kwamba...
  8. Ujenzi wa kituo cha polisi kwa milioni 81 wakamilika Nkinga Tabora

    Wananchi wa Kata ya Nkinga, katika Tarafa ya Simbo, wilayani Igunga, mkoani Tabora, ambao awali walikuwa hawana uhakika wa Kituo cha Polisi na kulazimika kupeleka malalamiko ya uhalifu umbali wa zaidi ya kilomita 80 wilayani Igunga, adha hiyo imeisha baada ya kituo kipya cha polisi kilicho...
  9. Pre GE2025 Jacqueline Kainja Atumia Milioni 14.7 Kukarabati Ofisi ya CCM Wilaya ya Urambo Tabora

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa Shilingi 14,700,00 (Milioni 14.7) Mbunge Kainja amesema kuwa, ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwaka 2023...
  10. CCM Tabora yaamua kuboresha uwanja wa Ali Hassan Mwinyi baada ya kufungiwa na TFF

    Siku moja baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, kuufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kutumika katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukosa vigezo na kanuni za mpira wa miguu, wamiliki wa uwanja huo ambao ni Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tabora wameanza kuufanyia...
  11. NIDA yatoa majibu ya changamoto zinazolalamikiwa katika Uandikishaji Vitambulisho vya NIDA Wilayani Uyui Mkoani Tabora

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea changamoto zinazojitokeza kwenye mchakato wa Wananchi kujiandikisha kwa ajili ya kupata Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika Wilaya ya Uyui, Mkoani Tabora, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka hiyo. Awali mdau alilalamikia changamoto ya foleni kubwa...
  12. Padre Josephat Jackson Bududu ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Tabora

    BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ .
  13. DOKEZO Waliofanya Uandikishaji Vitambulivyo vya NIDA, Nsololo - Uyui hawajakamilisha kazi, bado watu wengi hawajakamilisha mchakato

    Zoezi la uandikishaji Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambalo limefanyika kwa siku mbili katika Wilaya ya Uyui hapa Tabora lilipokelewa vizuri na Wananchi na inawezekana mwitikio umekuwa mkubwa kuliko walivyotegemea. Watu walikuwa wengi kiasi cha kusababisha changamoto kadhaa ikiwa ni pamoja na...
  14. R

    Chuo cha Afya Tabora EA polytecnic kinalazimisha wanafunzi kumaliza ada semester ya kwanza

    CHUO Cha TABORA EA polytechnic kimekuwa JANGA kwa wanafunzi wanaosoma hapo kwani wanachuo wanalazimishwa kumaliza ada ya mwaka mzima ndani ya semester ya kwanza na bila hivo wasiomaliza hawafanyi mtihani hata kama wamebakiza elfu mbili tu. Tunajua kwamba ada ndo inalipia gharama mbalimbali...
  15. Steven Muro ateuliwa kukaimu nafasi ya Meneja GPSA Tabora. Baada alikuwepo kutoa lugha ya matusi kwa wateja

    kiwa ni siku nne zimepita mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha kuagiza kuondolewa kwa Meneja wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) mkoa wa Tabora, Mayala Mburi kwa tuhuma za kutoa lugha za matusi kwa Mkuu wa Mkoa na watumishi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu ambao walikwenda...
  16. Rais Samia, Ondoa RC Tabora na DC Nzega, Hawajitambui

    Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao. Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa...
  17. DC Nzega aagiza kukamatwa kwa mkuu wa chuo cha madini kwa kumdharau RC Tabora

    Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai ameliagiza Jeshi la polisi kumkamata na kumuweka ndani Abraham Lwakajunguti ambaye ni mkuu wa chuo cha mmDadini Lusu kilichopo wilayani Nzega kwa madai ya utovu wa nidhamu akishindwa kutoa majibu mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati walipokua kwenye...
  18. RC Tabora aagiza kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake cha Mkombozi

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake kinachojulikana kwa jina la Mkombozi ambacho kina leseni halali ambayo imetolewa kwa ajili ya kikundi...
  19. K

    Ninakubali sana utendaji kazi wa mkuu wa mkoa wa Tabora

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ndugu Chacha ni mfano wa kuigwa. Anafanya kazi kwa manufaa ya wananchi wote wa Tabora. anaenda kila Wilaya kusikiliza kero za wananchi na kutolea majibu au suluhisho. Mfano hai ni ufuatiliaji wa magunia ya kuwekea tumbaku...
  20. Mkuu wa mkoa Tabora awawashia moto watendaji, kisa vibarua wa ujenzi kutokulipwa, aagiza mkandarasi kukamatwa

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ametoa siku moja kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Shani Mdamu ahakikishe kukamatwa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa majengo Kituo cha Afya cha Itetemia kilichopo Manispaa ya Tabora kutokana na tuhuma za kutowalipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…