Wajasiriamali wadogo waliopewa eneo la gati la maji nje ya soko la Kachoma, Kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora ili wafanyie biashara zao kwa muda huku serikali ikiwatafutia maeneo mapya na sahihi ya kufanyia biashara, wamelalamikia kuvunjwa kwa vibanda vyao usiku wa manane pasi na kutafutiwa...
Aisee habarin Wapamabanaji
Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur tu, kule kuna fursa nyingi sana wanakijiji wamelala sana, fursa za biashara za mazao, maduka...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la Polisi limesema linafuatilia.
Awali Mdau alieleza kuwa taarifa ya matukio ya Wanafunzi na raia...
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College ambacho kipo Ipuli, hapa chuoni kwetu pamoja na mitaa ya karibu na hapa kuna kundi la Vijana wanaojiita Mabamzi ambao ukikutana nao barabarani hasa majina ya usiku au jioni badi tambua kazi ipo.
Hawa vijana wamekuwa wakipiga watu...
Mtoto mmoja anayekadiliwa kuwa na umri wa Miaka 15 Ally Amani mkazi wa kijiji cha Igoko ameuawa na kufukiwa porini na watu wasiojulikana kando ya barabara ya Nzega kuelekea Tabora katika kijiji cha Igoko Kata ya Isikizya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora.
Mwili huo umepatikana Alhamisi January 16...
Ndugu zangu wana JF, mimi huwa najiuliza ni vigezo gani vilitumika kuipa hadhi ya Manispaa hii Wilaya ya Tabora maana ni aibu kuona kuna manispaa ambayo ina vijiji havina shule za msingi kama hapa kwetu Kakulungu.
Kijiji chetu kipo Kata ya Uyui, Manispaa na Mkoa wa Tabora, kilianzishwa Mwaka...
Ndugu zangu wana JF salaam, kuna jambo ambalo limekuwa kikwazo kwetu sisi wakazi wa Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora na Mkoa wa Tabora ambapo kama lisipofanyiwa kazi basi tutaendelea kuishi kwa kutaabika na wakati mwingine wenzetu kupoteza maisha kila kukicha.
Iko hivi, sisi wakazi wa Malolo...
Nilikuwa nasafiri hivi karibuni nikitoka Shinyanga kwenda Igunga, nikiwa kwenye gari sikuamini macho yangu, kama kilometa mbili kabla ya kufika Stendi kuu ya mabasi Nzega, barabara imeliwa na vile mvua zinanyesha kila wakati kila dereva anapita anakojua.
Kama Barabara itaendelea kuwa vile kuna...
Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu.
Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja.
Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma.
Mfano mtu nataka kujua salio anaweza kutumia lisaa limoja mpaka mawili anasubiri wahudumu, Lakini wahudumu hakuna yupo mmoja tu...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili mkoani Tabora kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora, na kupokelewa na wenyeji wake, waliiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndugu Said Juma Nkumba, Balozi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata watu tisa kwa tuhuma za kumwozesha binti mwenye umri wa miaka 13, Faudhia Mwinyi, mkazi wa Kazaroho, Kata ya Mbugani, kwa mwanaume Issa Ndambile (24), mkazi wa Geita. Ndoa hiyo ilikuwa ikifungishwa katika Msikiti wa Kazaroho, Manispaa ya Tabora...
Hivi huu Mkoa wa Tabora viongozi wa Wakala ya Barabara za Mjini na Vijijini TARURA wapo kweli?
Maana Barabara ya Madaraka iliyopo Mtaa wa Madaraka Manispaa ya Tabora imeharibika na inazidi kuharibika kila siku, kuna mashimo lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.
Nimeshuhudia zaidi ya mara...
Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo.
Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonya juu ya ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji, akiwataka wakristo kote nchini kufunga na kuomba kwa dhati ili kutokomeza matukio hayo.
Akizungumza jana, Desemba 8, 2024, katika maombi ya...
Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka.
Iko hivi, sisi wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.