tabora

  1. Mtoa Taarifa

    Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali ya Lori na Hiace mkoani Tabora

    Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya abiria dogo aina ya Toyota Hiace kuligonga lori kwa nyuma wilayani Nzega mkoani Tabora leo Alhamisi Novemba 7, 2024. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. ================ Watu 14 wamefariki...
  2. The Watchman

    Tabora: Marufuku kuuza majeneza hadharani

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora ametoa miezi mitatu kwa halmashauri zote mkoani hapo, kutenga maeneo yatakayokuwa na miundombinu ya kujificha ya kutengeneza na kuuzia masanduku ya kuzikia maiti (majeneza) kwani kwa sasa wauzaji wa masanduku hayo wanayauzia hadharani kando na hospitali hali inayoongeza...
  3. Roving Journalist

     TANESCO Tabora: Kulikuwa na hitilafu ya transfoma, imetatuliwa, kuhusu Uyui umeme utakatika tena kwa ajili ya matengenezo

    Siku chache baada ya baadhi ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika maandiko ya kulalamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tabora ikiwemo Kata ya Tura Wilayani Uyui na maeneo mengine ya Manispaa...
  4. Nyendo

    KERO Tabora Manispaa, hasa Ipuli umeme unakatwa kila siku bila mpangilio, TANESCO tuambueni kama kuna mgao tujue

    Tabora Manispaa umeme unakatika sana bila mpangilio na hakuna taarifa yoyote, wanakata mchana na usiku, mjini kati, Ipuli, Isevya na maeneo mengine umene unakatwa ovyo ovyo. Siku haiishi bila kukatika umeme, tena zaidi ya mara moja kuna siku umeme unashinda siku nzima haupo, na hakuna taarifa...
  5. JanguKamaJangu

     Meya Tabora asema ukimuona mtu anatupa takataka mkamate, utalipwa

    Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa. Chanzo: ITV Pia soma ~ Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu
  6. J

    Tatizo la umeme mkoani Tabora

    Hivi hili tatizo la umeme mkoani Tabora litaisha lini? Hawatoi taarifa kwa wananchi nini kinachoendelea, wanaukata wanavyotaka na wanaurudisha wanavyotaka, mbaya zaidi ukipiga simu makao makuu Tanesco. Watoa huduma hawawi wazi, wanajibu tu ooh kuna hitilafu, hatukatai hitilafu kutokea ndo...
  7. Torra Siabba

    LGE2024 Wakazi Isawima Tabora wataka kura za Maoni Zirudiwe

    EBigambo Byaba Bingi Muno hahaaaa Masenior wenzangu, Nilikua kwenye pita pita zangu hapa Kaliua Eneo maarufu kama Isawima nikakutana na Malalamiko ya wananchi ambao wanalalamikia wanafunzi kuchukuliwa na kisha kupigishwa kura kwenye kura za maoni zilizofanyika Octoba 24 Mwaka huu. Hali...
  8. Torra Siabba

    Viongozi wa Manispaa ya Tabora wekeni Taa za Barabarani, muonekano wa Usiku Mitaani ni aibu

    Wanajamvi, Leo naomba nilete kwenu giza hili la Tabora, kiukweli nimesikia mara kadhaa baadhi ya Viongozi wa Tabora kupiga kampeni ya kwamba, Tabora linatakiwa kuwa Jiji, kwa Giza hili hadhi ya jiji watapata wapi? Viongozi wa Manispaa ya Tabora, Mkoa wa Tabora hili la Taa walichukue kama...
  9. fogoh2

    Naombe location viwanja vya Tabora vya kula bata

    Wanajamvi nipo Tabora Muda huu ,ndio mara yangu ya kwanza ,kwa wenyeji wa huku nipe location ya viwanja vilivyochangamka vyenye watoto wakali ,Sina usingizi kabisa
  10. mpenda pombe

    KERO Tatizo la umeme ni Tabora Mjini pekee au huko kwenu?

    Hivi ni Nchi nzima au ni Tabora tu hii adha ya Umeme hapa Tabora MJINI?
  11. Torra Siabba

    Waziri Gwajima, sikia kilio cha Watoto wanaofanyiwa ukatili, Ubakaji, mimba, ndoa za Utotoni Uyui (Tabora)

    “Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze kuingia kwa ajili ya kufanya mapenzi wakati yeye bado ni mwanafunzi.” Ni sehemu ya simulizi ya...
  12. Waufukweni

    Martin: Mwigulu tueleza ongezeko la Sh 1.85 Trilioni kwenye Mkataba wa Ujenzi wa SGR Tabora hadi Kigoma kabla ya kuomba fedha China na Benki ya Dunia

    Wakuu nimekutana na huu mjadala kuhusu zabuni ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Tabora hadi Kigoma ambao umeibua maswali muhimu kuhusu mchakato wa manunuzi na ufadhili wa mradi huo. Ingawa TRC ilitangaza makubaliano ya ujenzi na kampuni ya CCECC Desemba 2022, kuna maswali juu ya tofauti ya bei...
  13. Torra Siabba

    LGE2024 Tabora: Jamaa wanasa Madaftari ya Kupiga Kura Kituo cha Kujiandikisha yakiwa na Majina lakini hayana Saini

    Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 kumebainika kasoro ambazo zinalengo la kuharibu uchaguzi huo kwa baadhi ya wanaoandikisha kujaza majina ambayo wahusika hawapo na kuandika Watu ambao hawajafikisha umri wa miaka 18. Baadhi ya ambao wameandikishwa ni Wanafunzi wa...
  14. Dkt. Gwajima D

    Ziarani Tabora uzinduzi miradi ya Maendeleo

    Hodi hodi Tabora. Mulé mpola?! Wabéja. Haya, tuendelee sasa kuzindua miradi ya maendeleo na kuyatangaza maendeleo ya Tabora. Ikumbukwe, mkoa wa Tabora tayari umeshapokea takribani Trilioni 1.1 kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya sekta mbalimbali tangu kuingia madarakani kwa Serikali ya Awamu...
  15. Pfizer

    Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  16. ndege JOHN

    Naomba kujuzwa Maghorofa yaliyopo Tabora

    Nimeishia sana Nzega na Igunga sijawahi fika Tabora. Sijui ni ushamba wangu ila kipimo cha mji kuwa mzuri kwangu mimi ni majengo mazuri marefu. Kwa Tabora kupoje maghorofa marefu ni ya nini yana floor ngapi? Ofisi gani za serikali mpya na je mitaa ya kishua ni ipi huko Tabora kuna...
  17. Pfizer

    Tabora: Dkt. Philip Mpango aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Bukene Nzega, unaogharimu shilingi bilioni 29.3

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kuendelea na kasi ya usambazaji maji kutoka Ziwa Victoria ili kutatua adha ya ukosefu maji waliyopata wananchi kwa muda mrefu. Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi...
  18. Torra Siabba

    KERO Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu

    Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri. Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha ya Kaki nikahisi kuteleza kumbe ndani ilikua na Jivi (Mavi) nikasogea kumpeleka bwana mdogo apande...
  19. Sir John Roberts

    Sanamu ya Baba wa Taifa yavunjwa na kuharibiwa Tabora, msako waanza.

    Katika Hali isiyo ya kawaida watu wasiofahamika wameivunja na kuharibu sanamu ya Baba wa Taifa mwalimu Nyerere iliyopo katika kituo cha wanafunzi " student center" eneo la nje . Serikali imesema tayari vyombo vya Dola vimeingia mtani kuwasaka wahusika wa tukio hilo na nia Yao.
  20. M

    Ni lini wale Wazee Wastaafu wa Tabora watapata haki zao?

    Baba yangu alikuwa mwaliimu, alistafu mwaka 2014 baba yangu mdogo wa hiari alifuata akastaafu 2015. Kimbembe ni kwamba tangu walipostaafu miaka ile mpaka tunapoongea muda huu hawajapata hata Senti tano sio pspf wala pension sijui kiinua mgogo hawajapata mpka leo. Kuna vitendo ambavyo...
Back
Top Bottom