tabora

  1. Miss Zomboko

    Tabora: Serikali kuanza msako kwa wasio na vitambulisho vya ujasiriamali

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa onyo kwa wajasiliamali watakaokaidi kuchukua vitambulisho vya wajasiliamali wasije wakalalamika kufuatia hatua zitakazochukuliwa na Serikali wakati wa kufanya msako wa vitambulisho hivyo kwani watakuwa wamekiuka agizo halali la Serikali. Mwanri ametoa...
  2. The Transporter

    Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

    Nakumbuka mwaka 2015 Mwezi 9 baada ya kujichanga changa kidogo nikawa nimesave pesa kiasi nikasema hizi hizi Boxer BM 150 wakati huo ndio zimeanza kushika kasi nikaenda niaenda kuinunua pale mitaa ya Tazara. Kwa mjini hapa matumizi yake nilikiwa naogopa kidogo maana wakati huo kulikuwa na...
  3. SAID kisa

    INAUZWA Milango inauzwa Tabora

    Mlango unauzwa TSH 300000 wasiliana nasi kupitia 0689344774 au WhatsApp number 0656783090. TUNAPATIKANA TABORA pia tunachukua Oda kutoka sehem mbalimbali Tanzania.
  4. J

    Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

    Diwani wa CCM mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana. Watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi hadi sasa na OCD amesema idadi hiyo inategemewa kuongezeka Mkuu wa mkoa wa Tabora mh Mwari ameagiza msako mkali uanze mara moja ili kuwanasa wauaji. Nao...
  5. Influenza

    Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora Wapelekwa Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma Kulima Michikichi

    Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora wamepelekwa katika Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma ikiwa ni mkakati maalumu wa Serikali kuliteua gereza hilo kuwa Kituo Kikuu cha Uzalishaji wa zao la mchikichi nchini. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  6. Biashara2000

    Mizinga 6 ya nyuki kutoka Tabora inauzwa

    Mizinga ya nyuki inauzwa kwa bei nzuri. Mzinga tsh 90000. Kwa mawasiliano 0758 308193 ipo Dar lakini unaweza ukapangwa utaratibu ikasafirishwa poote ulipo nchini.
  7. beth

    Tabora: Sita washtakiwa kwa wizi wa Tsh. 119 Milioni

    Watumishi sita wanaokusanya ushuru wa serikali katika halmashauri ya wilaya ya Kaliua mkoani Tabora wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za wizi wa shilingi milioni mia moja kumi na tisa baada ya kuharibu mfumo wa ukusanyaji wa mapato kupita mfumo wa mashine maalumu zinazotumika...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Tuhuma za Kutoa Rushwa kwa Wakuu wa shule Wawili wa Halmashauri ya Tabora Wilaya ya Uyui!

    Habari za kuaminika kutoka Uyui zinasema Mahead master wawili wametoa Laki tano tano kwa Afisa elimu taaluma (jina nalihifadhi) ili wabaki kuwa wakuu wa shule sekondari Kinyume na kiwango cha elimu yao ambayo ni diploma!!!Wakuu hao kwa wakati tofauti wametoa rushwa hiyo ili kubaki madarakani...
  9. Suley2019

    Tabora: Wauguzi Waliosababisha wakinamama kujifungulia mapokezi watakiwa kuchukuliwa hatua

    Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge wamewaagiza Afisa Utumishi na Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO) kuwachukua hatua Wauguzi wote walisababishia baadhi ya wakinamama kujifungulia mapokezi wakiwa wanasubiri huduma. Azimio hilo limetolewa jana na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo kwenye mkutano...
  10. Kajabila

    Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

    Amani iwe kwenu!! Tutumie thread hii kupendekeza wale wanaofaa kugombea 2020, Tetesi za watu watakaogombea Mimi naanza na Dr. Tulia, Huyu dada amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule...
  11. F

    X-Mass in pictures Moshi, Arusha, Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tabora, nk

    Heri ya Xmass wana JF! Karibuni tusherehekee xmass japo kwa picha. Share picha za shamra shamra za xmass hapa kutoka popote ulipo, pamoja wana JF.
  12. N

    DC wa Tabora Mjini anafanya kazi kwa kufuata miongozo na maadili ya kazi na kiapo cha maadili ya utumishi wa umma

    Ndugu wana JF Mitandao ya kijamii ,hasa mtandao unaoheshimika Tanzania wa Jamii Forums ,umekuwa ukitumika na watu mbalimbali wenye nia njema na watu wenye nia ovu, lakini tuhuma zinapotokea lazima zijibiwe ili kuweka rekodi sawa dhidi ya upotoshaji na uchafuaji wa viongozi unaofanywa na...
  13. Suley2019

    Tabora: Wakulima wa Pamba wakaidi agizo la Mkuu wa Mkoa wataka walipwe fedha zao

    MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, aliagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Igunga kuwachukulia hatua za haraka wakulima wote wa pamba ambao wamekataa kung’oa miti ya pamba ya msimu uliopita. Wakulima hao wamekaidi kufanya hivyo kwa madai ya kutaka kulipwa fedha zao za mauzo...
  14. BASIASI

    Mkuu wangu wa mkoa wa Tabora punguza utani hasa ukiwa kikaoni wa chini watashindwa kutekeleza uliyotoa

    Awali ya yote shikamoo afande WANGU mkuu WANGU WA mkoa Kiufupi tu nimekusikiliza kwa millardayo NAAMINI akuwepo kikaoni ila kama alikuwepo mwakiloishi nalo jema Kiufupi naomba nishauri tupunguze utani zaidi hasa pale unapokuwa na watu kama madiwani wakitoka hapo wanatakiwa kutimiza majukumu...
  15. Analogia Malenga

    TABORA: Mtu mmoja afariki baada ya kupokonywa hirizi zake

    Michael Paschal mwenye umri wa miaka 33, mkazi wa Uhemeli Ndala, Nzega, mkoa wa Tabora, afariki baada ya kuporwa hirizi zake na polisi akifanyiwa upekuzi. Kijana huyo ambaye ni bodaboda alifikishwa kituoni mara baada ya kumkaba na kumchania sare CPL Lucas aliyekuwa katika majukumu ya usalama...
  16. moto ya mbongo

    Kupotea kwa Jabiri Timbula wa mwongozo-Tabora

    Naomba kuomba msaada wenu wanajamvi wa JF kuna kijana ametoweka wiki 2 sasa anaitwa JABIRI TIMBULA. Alikuwa ameajiriwa kama VEO kijiji cha Mwongozo Tarafa ya Ulyankulu Wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora. Pamoja na kuajiriwa alikuwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza wa chuo kikuu huria (OUT) tawi la...
  17. Komeo Lachuma

    Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

    Wadau, Kutokana na mikasa mingi ambayo nimewahi kuipata na pia kusikia kwa ndugu, jamaa na marafiki nawashauri sana kuna mikoa msikanyage kabisa hizi ni story za kweli na nimezikatisha sana ili isiwe kero kwa wavivu wa kusoma kwa waliokuwa ndugu zangu hasa wale ambao wanatumia vichwa vidogo...
  18. M

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

    The regional commissioner of the Tabora Region Ukiwaona Ditopile Mzuzuri has been arrested under suspicion of shooting dead in the head a Dala-Dala Driver last night. News that reached TZUK.net from a very credible source in Tanzania say that Ditopile's vehicle was hit by the DalaDala that sped...
Back
Top Bottom