Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora .
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
========
Wananchi wa...
Wakuu bado tunaendelea kuwaletea taarifa za Mh Tundu Lissu kutoka popote anapopita kuomba kura.
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.
=========
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu, akiambatana na mkewe, Bi. Alicia Magabe, akimjulia hali Ndugu...
Wahamiaji haramu 32 raia wa Burundi wamekamatwa Mkoani Tabora wakitokea Mkoa wa Kigoma kuelekea Mikoa ya DSM na Mbeya katika upekuzi watatu wamekutwa na vitambulishio vya kupigia kura vya Tanzania na sita wakiwa na barua za utambulisho kutoka kwa Watendaji wa Kata za Mkoa wa Kigoma na DSM...
Maeneo yote wanayochagua CCM ni maskini wa kila kitu, CCM ikishachaguliwa ukimbilia kupigania maendeleo ya maeneo ya majimbo ya upinzani ili yarejeshwe kwao UCHAGUZI ujao. Hakuna fadhila wanayopata wanaowachagua na ndiyo maana nchi haipigi hatua.
Mwanza waliwachagua lakini wabunge wote walibaki...
Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora imeungua kwa moto usiku wa kuamkia leo Septemba 27. Hakuna madhara yoyote kwa binadamu yaliyotokea kwa tukio hilo.
=====
Shule ya Awali na Msingi ya Taasisi ya Kiislamu ya Istiqaama iliyopo mkoani...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi.
"Kwenye mchakato...
Umati wa watu uliofurika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni ya CCM mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020
Baada ya kuwasili na kukaribishwa, awasifia wana Tabora kwa ushiriki wao katika kutafuta uhuru. Amesifia Tabora ya leo kwa kuwa na nyumba nzuri nzuri...
Sekretarieti ya Mkoa wa Tabora imependekeza kuugawa Mkoa wa Tabora ugawanywe na kuwa mikoa miwili ,kutokana na ukubwa kuliko yote nchini,kwa lengo la kutoa huduma kwa wananchi kwa urahisi na ufanisi zaidi.
Akisoma mapendekezo hayo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora , Bibi Kudra Mwinimvua...
TABORA KASKAZINI HATUJAPATA MBUNGE MAKINI WA KUTATUA CHANGAMOTO ZETU, NICHAGUENI OCTOBA 28 NIPIGE KAZI
"KAPASHA HAJJI KAPASHA"
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Kaskazini, Kapasha Hajji Kapasha amesema tabora kaskazini tupo nyuma kwa kila kitu kwa sababu hatujapata mbunge makini wa kutuwakilisha...
Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora
=====
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja...
Katibu wa CCM wilaya ya Tabora mjini ndugu Mrema amemtaka mkuu wa wilaya hiyo mh Komanya kuacha mara moja tabia ya kuwavamia wajasiriamali akiwa na polisi na kuwataka wanunue vitambulisho kwa lazima.
Mrema amesema wamempa onyo DC Komanys kwa sababu kila wakimwita kwenye vikao anapiga chenga...
Leo kampeni zinaendelea na mwenyekiti na mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, John Magufuli yupo Nzega mkoani Tabora akinadi sera na ahadi ya nini atafanya katika kipindi chake cha pili endapo atachaguliwa.
Kuwa nami kukujuza kitachojiri kutoka wilayani Nzega.
=======
7:50 Mchana...
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Philemon Sengati, ameagiza kushushwa vyeo kwa walimu wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika matokeo ya mitihani.
Alitoa kauli wilayani Urambo wakati wa mkutano na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kwenye ziara ya kikazi.
Dkt...
Wakuu salaaam.
Nimepita Tabora nikakaa kama wiki moja na nusu. Nimekuta changamoto kubwa ya Polisi wale wanaotembea na pikipiki maarufu kama tigo, wanakamata pikipiki kila sehemu hata kama imepaki, yaani wanatafuta makosa kama huna kabisa watakuuliza barakoa ipo wapi.
imekuwa ni kwero kubwa...
Nikiwa kama mwanachama wa muda mrefu naandika kwa masikitiko makubwa sana, mambo yanayofanywa na uongozi wa CCM mkoa wa Tabora wakiongozwa na katibu wa CCM mkoa.
Naamini jukwaa hili ndio njia pekee ya kufikisha malalmiko ambayo yataweza kufika kwa urahisi kwenye uongozi wa CCM Taifa na hatimaye...
Logistics & Marketing Coordinator
Company:
Pyxus International, of which Pyxus Agriculture Tanzania Limited (PAT) is a subsidiary, is a global agricultural company united behind a common purpose – to transform people’s lives so that together we can grow a better world.
With 145 years’...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Irene James mwenye miaka 36 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Tabora kwa tuhuma za kuwafanyia unyanyasaji wa kingono watoto saba (7) wa kike wenye umri kati ya miaka Minne (4) hadi Saba (7) ambao ni watoto wa majirani zake.
Akisoma maelezo ya...
Rais Magufuli leo anawaapisha wakuu wa mikoa ya Tabora na Kigoma, Ikulu jijini Dodoma. Kadhalika Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri watakula viapo vya maadili.
Tukio hilo litarushwa mubashara na TBC na Channel ten
Up dates;
===
Leo Julai 6, 2020, Rais MagufuliJP anatarajia...
Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki.
Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na wazazi wake kisa ni mke wake waliyezaa nae watoto wawili.
Tangu ahamishiwe kituo cha kazi Tabora kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.