tabora

  1. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Katibu Mkuu Wa CCM na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa Mikoa Ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora

    ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA MIKOA YA GEITA, KAGERA, KIGOMA, KATAVI NA TABORA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo atakuwa na Ziara ya Kikazi Mikoa ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora akiambatana na Wajumbe wa...
  2. Mpekuzi Tanzania

    Tabora: Katibu wa CHADEMA Igunga aunga mkono juhudi na kuhamia na CCM

    MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM ATUA IGUNGA, AONGEA NA WANACHAMA NA KUKAGUA UJENZI WA WODI YA MAMA NA MTOTO "Katibu wa CHADEMA Jimbo la Igunga, aunga mkono juhudu za Mama Samia na kuhamia CCM" Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Tabora Ndg. Afadhal Taibu...
  3. T

    Nakuomba Waziri Mbarawa ukajionee wizi na uozo unaolitafuna Shirika la Reli ya Kati kipande cha Tabora - Mpanda

    Ni jumapili iliyopita nilipojaribu kusafiri Kutoka kijijini Ukumbi kakoko kilichopo mpakani mwa mikoa ya Katavi na Tabora kuelekea Tabora mjini, ambapo kwa bahati mbaya siku hiyo treni ilichelewa kupita hivyo nikalazimika kusafiri kesho yake yaani jumatatu. Nilichokishuhudia kwenye hii...
  4. Tanzania Railways Corp

    Mradi wa SGR Makutupora – Tabora, Tabora – Isaka kuanza hivi karibuni

    Shirika la Reli Tanzania – TRC linatarajia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya kisasa - SGR kipande cha Makutupora – Tabora (KM 371) na Tabora – Isaka (KM 162), hivi karibuni ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Ujenzi wa SGR...
  5. DOTHRAK

    Nipo Tabora mjini nipe kibarua chochote halali nitafanya

    Ndio wakuu Mdogo wenu nipo Tabora huku Field, mambo magumu pesa sina naunga unga maisha, nipeni kazi yeyote ndugu zangu. Natanguliza shukrani
  6. Analogia Malenga

    RC Tabora aagiza kuwe na benki za matofali

    MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani ameagiza Halmashauri zote kuwa na Benki ya Tofali kwa kila Kijiji. Alisema hatua hiyo itasaidia kukabiliana na upungufu wa vyumba vya madarasa pindi muda wa wanafunzi wanapotakiwa kijiunga na Darasa la Kwanza ama Kidato cha Kwanza. Balozi Dkt...
  7. Chizi Maarifa

    Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

    Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen. Siku hiyo nikapata lidada la Kiarabu. Mashallaah....lina tembea na...
  8. Nuraty J

    Uyui, Tabora: Atuhumiwa kumuua aliyemuoa mkewe

    By Mwandishi Wetu Tabora. Mkazi wa Kijiji Cha Nyangahe, kitongoji cha Lungu ,wilayani Uyui, Mhonyiwa Mwanagwalila. anatuhumiwa kumuua Mgogo Gwahendwa ambaye alimuoa mke aliyemuacha. Akizungumza na waandishi wa habari, leo Jumatano Agosti 11, Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Safia...
  9. Miss Zomboko

    Tabora: Baba na mtoto wadaiwa kumuua mama kwa kuchoka kumuuguza

    Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 57 mkazi wa kata ya Puge wilaya ya Nzega mkoani Tabora ameuawa na kisha kuning'inizwa kwenye kamba ili aonekane amejinyonga. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Tabora ACP Sophia Jongo amesema tukio hilo limetokea Agosti 4, 2021 katika kijiji cha Isalalo tarafa ya...
  10. Jacobus

    Tabora vituo vya mafuta havitoshi

    Wakuu, pamoja na kupanda bei ya mafuta ya magari lakini kwa Tabora ni shida kama hupo mjini kati. Mjini kati pana vituo kama vitano hivi karibu karibu hivo kukufanya kama unaishi mfano Ipuli, kilometa takriban 5 kwenda mjini, kupata shida ya kuongeza mafuta mjini. Nashauri, mie uwezo sina...
  11. GENTAMYCINE

    Je, Injinia Hersi Said wa GSM leo 'Kazindua' Tawi la Yanga SC huko Tabora kama nani na je, Katiba ya Yanga inaruhusu hilo?

    Dkt. Mshindo Msolla kwakuwa huna tena Kauli mbele ya Yanga SC baada ya Kukubali 'Kumezwa' na GSM chini yake Injinia Hersi Said nashauri 'jiuzuru' kwani hakuna unachokifanya ( ulichokifanya ) pia.
  12. T

    Inakuaje Tabora ambayo si tegemezi kwa kila kitu inakuwa na barabara nzuri kuliko Mbeya tegemeo la chakula?

    Nianze kwa kuipongeza serikali kwa kujenga barabara nyingi na nzuri sana hapa Tabora manispaa. Kwa wale waliofika tabora miaka ya karibuni watakubaliana na mimi kwamba serikali imewekea pesa nyingi kuijenga hii manispaa. Naomba nieleweke kwamba sina tatizo kabisa na ujenzi wa miundombinu...
  13. Ngamanya Kitangalala

    Ni mabadiliko sahihi yanayoenda kuboresha utendaji ndani ya mikoa hiyo

    Ni mabadiliko sahihi yanayoenda kuboresha utendaji wa kazi ndani ya mikoa yao na serikalini kwa ujumla Mheshimiwa mkuu wa Mkoa Albert Chalamila, mara kadhaa amekuwa ni mtu wa kutoa kauli tata sana kwa lugha nyepesi ni mropokaji, kwa nafasi yake kama mkuu wa mkoa sio busara sana kuwa mropokaji...
  14. v0il0r

    INAUZWA Asali ya jumla inauzwa

    .
  15. Erythrocyte

    Freeman Mbowe aongoza Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tabora Mjini

    Jimbo la Tabora Mjini ni miongoni mwa Majimbo ambayo yametoa wasaliti wa Covid 19 , Hawa Mwaifunga anatokea Jimbo hili , hivyo ni lazima kuwekwe mikakati maalum kwenye jimbo hili , na ndio maana Mwamba Mwenyewe ameombwa kuongoza kikao hiki na amekubali
  16. Erythrocyte

    Tabora: Mamalishe wamzuia Mbowe kwa muda, waomba kupiga naye picha ya Ukumbusho

    Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao...
  17. Kamanda Asiyechoka

    Tabora: Freeman Mbowe kuongoza Oparesheni Haki Kanda ya Magharibi

    Maandalizi ya kikao cha Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tabora Mjini yamekamilika, ambapo leo Juni 06, 2021 mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe ataongoza kikao hicho. Hii ikiwa ni mwendelezo wa Oparesheni Haki Kanda ya Magharibi.
  18. Erythrocyte

    Freeman Mbowe asimikwa kuwa Mtemi Isike huko Tabora

    Hii ni baada ya Wazee wa Tabora kumfananisha na Wapigania Uhuru wa enzi zile za kumng'oa Mkoloni , jambo hili lina maana kubwa sana kwa mwanasiasa yeyote. Mbowe yuko Mkoani Tabora kama sehemu ya Ziara ya Kanda ya Magharibi katika Mkakati wa Chadema wa Operesheni haki , ambayo inapigania Katiba...
  19. J

    Mkoa wa Tabora wapokea vitambulisho vya Mjasiriamali 69,000, mkuu wa mkoa asema vitaisha vyote

    Mkuu wa mkoa wa Tabora amesema mkoa wake umepokea vitambulisho vya mjasiriamali 69,000 na ameahidi vyote vitachukuliwa na wajasiriamali. RC amesema mwaka juzi walipewa vitambulisho 71,000 vikaisha vyote wakawa wa kwanza kitaifa na mwaka jana walipokea vitambulisho 65,000 vikaisha wakawa tena wa...
  20. rosemarie

    Kwanini aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri hashutumiwi?

    Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora. Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote? Huyu ni mtu wa aina gani?
Back
Top Bottom