Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana.
Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
SHAKA ATUMIA KIJIWE CHA KAHAWA TABORA KUELEZA MWELEKEO WA RAIS KATIKA KILIMO
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, (NEC) ya CCM, tikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea kijiwe cha Kahawa Lumumba kilichopo Tabora Mjini na kunywa kahawa na wananchi na kutumia fursa hiyo kuelezea hatua...
Tabora wanafuraha sana kumuona Katibu Mwenezi ndg. Shaka Hamdu Shaka mapokezi ni Makubwa sana hata Freeman Mbowe hapokelewi kwa shangwe hivi pale Hai kwao pamoja kuwa ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Kweli CCM chama kubwa mkubali hapo kaja Mwenezi tu Hali ipo hivyo.
Hivi CHADEMA Mwenezi wa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuanzia tarehe 16-20 Agosti, 2022 yenye lengo la kuimarisha uhai wa chama, kufuatilia na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama hicho ya mwaka 2020-2025 pamoja...
Mkuu
Pole KWA majukumu
Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha!
Kuna kasoro nyingi kama hizi;-
1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Agosti 4,2022 amefungua mashindano ya umoja wa michezo na taaluma kwa shule za msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora.
Source: 2eyezmedia
Uteuzi wa Chalamila umetoa Funzo kubwa sana kwa vijana, Baada ya kutenguliwa Chalamila aliendelea kuwa na heshima ndani ya chama chetu cha CCM.
Chalamila aliendelea kuheshimu mamlaka ya uteuzi na aliendelea kuishi maisha ya kawaida ya kujichanganya na watu.
Vijana lazima mjifunze kuheshimu...
Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amesema pamoja na mambo yote yanayofanywa na Wizara ya Nishati lakini wananchi wa Tabora wanataka umeme. "tuongeee yote wanataka kuona umeme ni umeme ni umeme
Naye Mbunge wa Urambo, Margareth Sitta amesema nishati ya umeme kwa wananchi ni uchumi na ni...
TABORA HOTEL MAHALI ALIPOHOJIWA SHEIKH BILAL REHANI WAIKELA BAADA YA "MGOGORO" WA EAMWS 1969
''Kilichobakia baada ya kuvunjika kwa EAMWS ilikuwa ni kujaribu kuiweka BAKWATA katika mikoa kama jumuiya inayowakilisha Waislam wote wa Tanzania Bara.
Mwaka mzima wa 1969 Adam Nasibu na kamati ya watu...
AMOS MAKALLA – RC DAR ES SALAAM
Mh. Rais SGR itategemea sana bandari. Nikushukuru sana kwa kutoa fedha bilioni 210 za kuboresha Bandari.
- Bandari zimeboreka, mizigo kibao
Fedha zile ulizozitoa zimeleta manufaa makubwa. Hapa Dar es Salaam wanasema Bandari sasa ni mgodi – yaani ni mgodi kama...
Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo!
Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni). Wakati tunajua umewapa kandarasi CCECC.
Katika mfumo wa...
TAARIFA KWA UMMA
TRENI YA ABIRIA KUTOKA KIGOMA YAPATA AJALI TABORA
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linautaarifu umma kuwa Treni ya abiria namba Y14 yenye injini namba 9019, iliyokuwa ikisafiri kutoka Kigoma kuelekea Dar es Salaam, imepata ajali majira ya saa 5:00 asubuhi eneo la Malolo...
Mwanaume mmoja wilayani URAMBO Mkoani Tabora amemuua mke wake kwa kumchoma visu na kisha kujiua kwa kunywa sumu na kuacha ujumbe wa barua kwa familia ya mke wake. "Nilimuoa siku moja na tutakufa siku moja, mtuzike pamoja".
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mwenyekiti wa kitongoji cha...
Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe.
Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM, sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo tarehe 19 Mei, 2022.
Ria Samia yupo mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi kwa siku 3, tangu aanze ziara hii amefanya uzinduzi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Tabora - Koga - Mpanda (km 342.9) Sikonge, Mkoani Tabora leo tarehe 18 Mei, 2022. Rais yupo Mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi ya siku 3.
======
Rais apewa zawadi ya Ng'ombe
Hotuba ya Rais Samia Akifungua...
Rais Samia Suluhu Hassan yupo Mkoani Tabora kwa ajili ya kushiriki Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chany, leo Mei 17, 2022.
Rais Samia ameanza kuongea
=====
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Lengo la Serikali ninayoiendesha inalenga kujenga miundombinu ya barabara na madaraja ili kuiunganisha...
WATOTO WATUHUMIWA KUKODI MUUAJI WA MAMA YAO MZAZI TABORA: Jeshi la Polisi mkoani Tabora limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa mauaji ya mwanamke aliyefahamika kwa jina la Nyanzobe Bukangala mkazi wa Kijiji cha Chamwabo wilayani Nzega.
Kwa mujibu wa Polisi, chanzo cha mauaji hayo ni imani za...
Chongolo: aagiza uchukuaji fomu za uchaguzi ndani ya CCM urudiwe
===
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg Daniel Chongolo amewaagiza makatibu wa Wilaya zilizobainika kuwa na kasoro kwenye mchakato wa uchukuaji wa fomu katika uchaguzi ngazi ya shina kurudia uchukuaji huo maramoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.