tabora

  1. Mohamed Said

    Picha ya Hemed Mashaka Mdose na Mwalimu Nyerere Kura Tatu Tabora 1958

    PICHA YA BABA WA TAIFA YA MKUTANO WA KURA TATU 1958 KUTOKA MAKTABA YA MZEE HEMEDI MASHAKA MDOSE TABORA John Iliffe alipata kusema katika miaka ya mwishoni 1960 wakati akiwa mwalimu wa historia University of East Africa, Dar es Salaam kuwa historia ya TANU iko katika mikono ya watu binafsi...
  2. Roving Journalist

    Uyui, Tabora: Msafara wa Viongozi wa CHADEMA, wapata ajali wakiwa wanaelekea Kigoma

    Msafara wa Viongozi uliokuwa ukielekea Kigoma kwaajili ya maandalizi ya uzinduzi wa Oparesheni mpya ya Chama umepata ajali saa nane usiku wa kuamkia leo Aprili 27, 2023. Ajali hiyo imetokea wilaya ya Uyui Tabora, Kata ya Kigwa, Waliopata ajali Yohana Kaunya Kaimu Katibu Mkuu Bavicha, Nuru...
  3. J

    Natafuta dalali wa mazao Tabora

    Wakuu kwema, natafuta dalali wa mazao Tabora, nataka kununua karanga tani 16 na kuendelea Nichek inbox au reply uzi huu
  4. J

    Natafuta dalali wa mazao Tabora

    Wakuu kwema, natafuta dalali wa mazao Tabora, nataka kununua karanga tani 16 na kuendelea. Nichek inbox au reply uzi huu
  5. BigTall

    Barabara 3 zenye urefu wa Kilometa 238.9 zimejengwa kwa Tsh. Bilioni 321.24 Mkoani Tabora

    Tabora ni moja ya miji ambayo Serikali ya Tanzania imewekeza nguvu katika kuboresha miundombinu ya barabara ambapo kuna miradi kadhaa inaendelea na mingine imekamilika. Rwegoshora Michael ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Tabora, ameeleza kuwa kwa jumla mkoa huo una Kilometa 2,188.09 za...
  6. BARD AI

    Mhasibu wa Chuo cha Nyuki Tabora ashtakiwa kwa makosa 9 ikiwemo Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfungulia kesi Leonard Wilson Chishomi katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora mkoani humo kwa makosa ya kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri kinyume na Sheria. Makosa mengine ni Ubadhirifu na Ufujaji wa Mali ya Umma kinyume na...
  7. B

    Tabora: Utingo adaiwa kumuua dereva wake

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Benedicto Modest Mangi aliyekuwa dereva bajaji ya mizigo, Mkazi wa Mtaa wa Usule, Kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani kisha mwili wake kufukiwa kwenye shimo tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi linalodaiwa...
  8. MOSHI UFUNDI

    Hivi kuna basi inatoka Tanga kwenda Tabora?

    Msaada tafadhali anaefahamu.
  9. Stephano Mgendanyi

    Tsh Milioni 225 zimetolewa na Serikali Kuu Ujenzi wa Miundombinu ya Elimu Jimbo la Manonga, Igunga, Tabora

    MHE. SEIF GULAMALI: "MILIONI 225 KWA AJILI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU JIMBO LA MANONGA, TABORA Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mhe. Seif Khamis Gulamali amesema kuwa tayari wamepokea fedha Shilingi Milioni 225,000,000/= kutoka Serikali Kuu za Ujenzi wa Nyumba za Waalimu na kukamilisha...
  10. Roving Journalist

    Kwa mara ya kwanza Watoto Wenye Vichwa vikubwa wafanyiwa upasuaji Tabora

    Historia imeandikwa mkoani Tabora na mikoa jirani ambapo kwa mara ya kwanza watoto wawili wenye vichwa vikubwa wamefanyiwa upasuaji kupitia kambi maalum ya matibabu ya kibigwa na bobezi inayoendesha na Madaktari bingwa, Wauguzi, Mtaalam wa usingizi kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) kwa...
  11. benzemah

    Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

    Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka. Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na...
  12. M

    Tabora: Mume amuua mkewe na kumfukia chini ya uvungu wa kitanda.

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Salima Maulid mkazi wa Mtaa wa Mbilani Kata ya Kidogo Chekundu Manispaa ya Tabora, ameuawa na mtu anayedaiwa kuwa ni mumewe kisha mwili wake kufukiwa chumbani, chini ya uvungu wa kitanda. Mwili wa marehemu tayari umefukuliwa na Jeshi la Polisi...
  13. Mohamed Said

    Siku ya wanawake duniani/siku ya wanawake Tanzania: Nyange binti Chande wa Tabora

    SIKU YA WANAWAKE DUNIANI/SIKU YA WANAWAKE TANZANIA NYANGE BINT CHANDE MWANAMAMA ALIYEJITOLEA NYUMBA YAKE KUWA OFISI YA TANU KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Kuna mtu alipata kusema kuwa utafika wakati watoto na wajukuu wa wapigania uhuru wataingia katika makabati na masanduku ya wazee wao kutaka...
  14. Stephano Mgendanyi

    Kiongozi Mkoa wa Tabora apingana na agizo la timu ya Mawaziri 8 kuhusu Vijiji vya Kakoko na Usinga

    "Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anawapenda Sana ndio maana aliwaruhusu Mawaziri 8 kuja na kuwatangazia kuishi kwenye maeneo yenu lakini Kiongozi mmoja wa Mkoa anaonekana kuanza kupinga Agizo la timu ya Mawaziri...
  15. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Loyce Kwezi - Mbunge Jimbo la Kaliua, Tabora

    Mbunge wa Jimbo la kaliua Loyce Kwezi amendelea na ziara ya utatuzi wa kero za Wananchi Katika kijiji cha Kangeme Kata ya Zugimlole na amechangia shilingi milioni 5 kwa ajili ya upauaji wa Shule Shikizi. Akizungumza na Wananchi, Kwezi amewaeleza jinsi Serikali ya Awamu ya Sita Ilivyotoa fedha...
  16. A HUMBLE LEADER

    DOKEZO Prof. Mkenda, Tambua wanasemina walimu wa sayansi waliopo Butimba TTC tokea Tabora hawajalipwa siku ya nne hii

    Mheshimiwa Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini cha ajabu HII NI SIKU YA NNE TANGU JUMATATU HAWAJALIPWA CHOCHOTE NA HALI ZAO NI MBAYA SANA! Taarifa...
  17. C

    Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
  19. Stephano Mgendanyi

    Shukrani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora

    Kwa niaba ya Wananchi wa Jimbo la Igunga, Ninatoa shukrani kwa Chama chetu CCM Mkoa wa Tabora kwa kutupa heshima Wana Igunga kuwa wenyeji wa maadhimisho ya Miaka 46 ya Kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Maadhimisho yamekuwa hamasa na chachu ya kufanya kazi kwa bidii katika kuleta...
  20. Roving Journalist

    Huduma za kibingwa za MOI kuanza kutolewa Hospitali ya rufaa Nkinga - Tabora

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) iko mbioni kusogeza huduma zake za kibingwa kwa wakazi wa Mkoa wa Tabora na mikoa jirani katika Hospitali ya Rufaa ya Nkinga ili kuwaondolea wananchi usumbufu na gharama kubwa kufuata huduma hizo Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
Back
Top Bottom