Baada ya Mharagande wa ACT-WAZALENDO kuripoti mauaji ambayo yametokea (W) ya Kaliua Rc Tabora ataka ajieleze au kueleza alichokisema ni sahihi .
Je serikali bado inaendelea kutisha watu?
Na je Maharagande akithibitisha kweli watu wameuwawa, wamebakwa, na akaleta ushahidi serikali ipo teyari...
Habari za muda huu wakuu,
Kwa wenyeji au waliowahi kufika Tabora mjini,
Ni ukumbi upi unafaa kwa ajili ya semina itakayokuwa na idadi ya watu wasiopungua 150 mpaka 300 hapo,
Nimepewa jukumu la kutafuta ukumbi kwa ajili ya shughuli fulani.
Natanguliza shukrani wakuu🙏
Nimeona mashabiki na wanachama wa Simba wakifurahia kupitia kiasi ushindi wao wa mechi 2 dhidi ya wagonjwa TABORA united na singida FOUNTAIN GATE lakini Kuna wengine wanaoujua mpira Wala awakufurahi Bali wanasema Simba bado aijaanza ligi kulingana na aina ya timu walizokutana nazo kuwa ni dhaifu...
Ujenzi ukiendelea
Wiki mbili iliyopita niliandika kuhusu Shule ya Kamama iliyopo Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama, Wilayani Uyui kuwa ni hatarishi hasa Vyoo na madarasa, hatua zimeanza kuchukuliwa.
Kama hukuona andiko langu la awali, lipo hapa ~ Hali ilivyo Shule ya Msingi Kamama (Tabora)...
Mjumbe hauwawi. Nimeikuta sehemu wadau wa Tabora UTD wakiilalamikia TFF kuwa wamekuwa wakichelewesha leseni za wachezaji hasa wa kigeni kwa makusudi kwa maslahi yao.
Hili limeikumba Tabora UTD kwani wachezaji wao tegemezi mpaka muda huu hawajapewa leseni na TFF. Inawesemekana ni makusudi ili...
TABORA - MWALIMU Dotto Elias (29) wa Shule ya mchepuo wa Kiingeza ya Mtakatifu Doroth iliyopo maeneo ya kidatu Manispaa ya Tabora anayedaiwa kumnajisi mwanafunzi wa darasa la pili chooni amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Tabora.
Akisoma mashtaka hayo jana Agosti 15, 2024...
Wakuu Naomba mnisaidie kupaza sauti kwa Serikali ifanye marekebisho kwenye reli ya Tabora-Mpanda hali ni mbaya mno, Yaani treni imekuwa na huduma za Hovyo Mno, unaandikiwa kwenye ticket treni litafika saa tisa mchana ila cha ajabu treni linafika saa Tatu usiku.
Kwa ufupi wananchi wa huku...
Hivi karibun hii timu ilishiriki kujinasua kubaki NBC
Ghafla mkuu wa mkoa akahaidi mil 50
Wengi sana wakashangaa kwanini hawakupatiwa wakati wakiwa kwenye ligi wakijipambania
Wamejitahidi wamerudi nauliza
Hivi walizipata zile hela?
Jeshi la Polisi linamshikilia mwanamume kwa tuhuma za kumuua kwa kumnyonga mkazi wa Mtaa wa Maselele, Kata ya Cheyo B Manispaa ya Tabora, Juliana Mbogo (40) kisha mwili wake kuuficha uvunguni mwa kitanda, chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao...
Nawaasa washabiki na wanachama wa Simba, suala la usajili limekwisha na sasa tuunge mkono chama letu.
Simba itakaa sawa baada ya mechi tano au sita, huyo Mukwala mnayedhani sio striker atawanyamazisha muda c mrefu.
Kama wewe umekuja kwenye football kama Baba levo au Mwijaku tafadhali jitoe...
Baadhi ya wanawake waliopata huduma ya kujifungua kwenye Zahanati ya Isevya iliyopo Manispaa ya Tabora wameiomba Serikali kujenga uzio mrefu kuzunguka zahanati hiyo ili kukomesha watu wasio na maadili wanaowachungulia.
Wanawake hao wanasema wakati wa wakijifungua kuna baadhi ya watu wenye rika...
Baada ya JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui mnamo Mei 2024 kuwa Serikali haijawalipa malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR, imeripotiwa wahusika hao wamelipwa.
Hoja la malalamiko ya awali...
Juzi kati nilikuwa Tabora, Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama niliendea kumtembelea ndugu yangu wa karibu pande za Uyui mkoani hapo, kuna kitu ambacho nilikiona na nikajiambia hii sasa ni hatari.
Nimekuta Wanafunzi na shule nzima ya Msingi Kamama iliyopo Wilayani hapo ina changamoto nyingi...
Utangulizi:
Kituo cha Hosiana mission dispensary kinapatikana katika Manispaa ya Tabora.
Kituo hiki cha afya kimekuwa ni kimbilio kwa watu wenye matatizo mbalimbali ndani na nje ya manispaa ya Tabora. Kituo hiki kina madaktari, wauguzi na watumiahi wengine wasiopungua 10.
Baada ya maelezo...
Leo tarehe 18/7/2024,
Mkoani Tabora yamehitimishwa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki kwa ajili ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.
Huku zoezi rasmi la uandikishwaji likitarajiwa kuanza siku ya jumamosi tarehe 20/7/2024 na...
Nitashangaa kusikia MTU analalamika kuhusu njaa wakati mchele umeshuka Sana bei.
Nunua chakula cha kutosha uweke ndani itasaidia kuishi vizuri wewe na familia yako.
Tuwe Kama wazungu sio kila siku MTU unawaza chakula na kodi tujitahidi kuishi kwa mipango na mikakati ya Muda mrefu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya barabara katika Mkoa wa Katavi ambapo sasa barabara ya kutoka Tabora hadi Mpanda (km 352) ni ya kiwango cha lami.
Rais Dkt. Samia ameeleza hayo leo Julai 13, 2024 wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.