tabora

  1. N

    DOKEZO Haya machinjio ya Nyama Wilayani Uyui (Tabora) ni hatari kwa Afya

    Huu ndio muonekano wa maeneo ya kuchinjia vitoweo katika Kata ya Goweko ambapo pia ni kwa ajili ya maeneo mbalimbali ikiwemo Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora. Taarifa ninazozijua ni kuwa Serikali ilitoa zaidi ya Shilingi Milioni 25 kwa ajili ya machinjio hayo kwa ajili ya kata hizo...
  2. blogger

    VIDEO :Huyu Mkuu Wa Mkoa Wa Tabora aliyeingilia Mamlaka isiyomuhusu na kuhamisha walimu kwa LAZIMA, ana akili timamu!??

    Ualimu.. Ualimu ..Ualimu...😞😞😞 Ifike mwisho. Hizi ni aibu. Na huu ni UPUMBAVU. I'LL BE BACK
  3. Msonjo

    Natafuta dalali wa mbuzi Tabora

    Habari wanajamvi Ninatafuta dalali/mfanyabiashara wa mbuzi mkoani Tabora kwa yeyote anayeweza kunisaidia kwa hilo nitashukuru sana. Tuwasiliane 0788303079
  4. Clark boots

    Kwa hili lililotokea leo kwenye mechi kati ya Simba na Tabora basi Tanzania na Africa hatuwezi kusonga mbele kwenye mpira

    Waamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo. Jambo hili lilionekana pia kule South Africa baada ya Vyura kukataliwa bao lao la wazi kabisa. Mechi ya Leo ni wazi kuwa Tabora...
  5. NALIA NGWENA

    TFF na Bodi ya ligi mlisema utafuatilia Rushwa kwenye michezo haswa kipindi hiki ligi ipo mwishoni. Je, mmeona goli walilonyimwa Tabora United?

    Kuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi. Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa Simba SC wametengenezewa mazingira ya kushika nafasi ya pili ili Azam FC ashike nafasi ya tatu TFF na...
  6. uran

    FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

    All the Best Mnyama 🦁 Updates za Mchezo wa Leo.. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Updates... Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo. Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora DK 5' Game on 0-0 DK 10' Mpira unaendelea 0-0 DK 19' Goooooooooooal Sadio Kanoute anatia goli wavuni...
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Kumbukizi: Viongozi Tabora CHADEMA walizichapa kisa uchaguzi

    Tukio hili lilitokea November 17, 2023, lakini limeibuliwa jana 4/5/2024 kama tukio jipya. Je, walioibua tukio hili na kusema ni ya karibuni walikuwa na nia gani? ===== Katibu wa baraza la vijana wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA BAVICHA Mkoa wa Tabora amezuiliwa kufanya mkutano...
  8. Roving Journalist

    Serikali kubadilisha Uongozi wa Hospitali ya Kitete Tabora kutokana na kutoa huduma duni

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Molel ameonesha kutoridhishwa na utendaji kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete - Tabora hivyo amesema watafanya mabadiliko makubwa ya Menejimenti kuanzia kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali na timu nzima inayosimamia Hospitali hiyo. Amesema haiwezekani...
  9. P

    Polisi Tabora mazoezi ya kufyatua risasi katikati ya mji si salama kwa Wananchi

    Milio mizito ya risasi inayo shtua inasikika hadi maeneo ya hospital ya mkoa. Kila mara imekua ni kawaida kabisa kwa jeshi la police kufanya mazoezi ya kufyatua risasi karibu kabisa na makazi ya wanachi hali inayopelekea kushtua sana watu. Na pengine ineweza leta athari hata kwa wagongwa au...
  10. McRobert Manoeuvres

    Shinikizo la kuongezewa ada katika chuo cha afya na sayansi Shirikishi Tabora (TCOHAS)

    Wadogo zetu na ndugu zetu wanaosoma Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tabora TCOHAS hususa waliorudia masomo waliyofeli wanapitia changamoto ya ongezeko la Ada, tofauti na kiasi kilichokua kimewekwa mwanzoni. Wakati vyuo vingine vya serikali kama hiki hakuna ongezeko hilo la Ada, jambo ambalo...
  11. Hismastersvoice

    Mstahiki Ramadhani Kapera Meya wa Tabora usitumie ubabe wajibu wananchi wako

    Mstahiki Meya dhamana uliyopewa kuiongoza manispaa ya Tabora usiigeuze fimbo ya kuwachapia wakazi wako. Mkazi mtu mzima alikuuliza swali kuhusu wale mnaowaajiri kwa kujuana na kuwapa kazi mishahara na vifaa vya usafi wa mitaro wako wapi mpaka muwalazimishe wakazi kufanya kazi hizo pasipo na...
  12. Frank Wanjiru

    Msemaji wa Tabora United amvaa Jemedari Saidi

    Msemaji wa timu ya Tabora United FC, Christina Mwagala amemjia juu Mchambuzi wa Soka, Jemedari Said kufuatia kauli aliyoitoa juu ya kinachoendelea kwenye timu hiyo. "Nafikri wewe kibabu Jemedari Said kuna kitu unakitaka ndani ya klabu yetu ya Tabora UTD muda sio mrefu utakwenda kukipata, Ila...
  13. Nyendo

    DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    Wazazi wa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za Watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini. Ujumbe huo ulisomeka kuwa, Mkuu wa chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini anakutangazia nafasi za masomo mzazi wa...
  14. Determinantor

    Ni Aibu Tabora kushindwa kurejesha taa za barabarani zaidi ya miezi sita sasa

    Yaaani kila nikipita Tabora kuna zile taa za barabarani hazipo (zimeibwa/zimeondolewa) ila hio sio tatizo. Tatizo ni kwa namna gani mamlaka husika wanashindwa kuzirejesha Kwa kipindi cha muda mrefu hivi?? Nimejiuliza maswali mengi Sana kila nikipita hapa, hizi ni Kodi zetu sote; inakuaje...
  15. A

    DOKEZO Tabora: Hospitali ya Malolo Wafanyakazi wengi hawajalipwa mishahara tangu December 2023

    Hospitali ya Malolo (Reginal level) Wafanyakazi hawajalipwa mishahara tokea December 2023(Majority) huku wachache hawajakamilishiwa mishahara ya mwezi November. Uongozi wanasema NHIF hawajalipa claims since December maana zaidi ya 95% ya wagonjwa ni wanachama wa NHIF, hivyo hamna hela. Kadi...
  16. Roving Journalist

    Waziri Bashungwa: Ujenzi na uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora utakamilika Oktoba badala ya Machi, 2024

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi Oktoba, 2024. Bashungwa ameyasema hayo Machi 13, 2024 mkoani Tabora katika...
  17. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi Uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora Kukamilika Oktoba, 2024

    UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi...
  18. J

    Ujenzi na uboreshaji kiwanja cha ndege cha tabora kukamilika Oktoba, 2024

    UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi...
  19. Kindeena

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora apewa tano na Rais Samia

    DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amesema utendaji mzuri wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ndio sababu iliyompa nafasi ya kuaminiwa zaidi na kupandishwa cheo. Mkuu huyo wa nchi ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya uapisho wa viongozi walioteuliwa hivi karibuni uliofanyika Ikulu Dar es...
  20. Ghost Republic

    Natafuta ardhi ya kuanzisha Biashara ya Wanyama (Ranchi), mkoa wa Kagera na Tabora

    Natafuta Mashamba ya Bei Rahisi kwenye Mikoa ya Kagera na Tabora. Mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50, yawe na upatikanaji wa maji ya kutosha na hali bora ya hewa. Mwenye taarifa za kutosha au mawazo juu ya upatikanaji wa hayo mashamba, pamoja, tricks na ushauri, wanakaribishwa sana...
Back
Top Bottom