tabora

  1. Mbunge Kainja na Wanawake wa Manispaa ya Tabora

    MBUNGE JACQUELINE KAINJA NA WANAWAKE WA WILAYA YA TABORA (KATA YA MPELA) MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 16 Julai, 2023 amefanya Mkutano wa Hadhara Kata ya Mpela Wilaya ya Tabora ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kukabidhi Milioni...
  2. Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya wasichana Loleza (Kombi ya HGL) usiku wa kuamkia Julai 11, 2023 walilazimika kulala darasani ikidaiwa kuwa ni baada ya mwalimu wa bwenini kuondoka na funguo za bwenini kwao. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera...
  3. Mbunge Kainja ajikita kuwainua Wanawake kiuchumi mkoa wa Tabora

    MBUNGE KAINJA ATOA MILIONI 81 KWA WANAWAKE (UWT) KUWAWEZESHA KIUCHUMI KATIKA MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ametoa fedha kiasi cha Shilingi Millioni 81 kwa Kata 206 za Mkoa wa Tabora yenye lengo la kuwawezesha wanawake wa Jumuiya ya...
  4. Mbunge wa CCM (Tabora) amdhalilisha mkewe hadharani

    Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi. Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana. Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues...
  5. Tabora: Mgomo wa Wafanyabiashara waondoka na Watumishi 3 wa TRA, DC awaripoti Makao Makuu

    Watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Tabora sasa kuondolewa mkoani humo kwa madai ya kulalamikiwa na wafanyabiashara wa Soko Kuu Tabora. Wafanyabiashara hao wamefanya mgomo kutokana na madai ya mwenzao kuchukuliwa mali zake na watumishi wa TRA usiku wa kuamkia leo...
  6. K

    Shule za sekondari wilaya Uyui upande wa ulyankuru tabora Kuna shida kubwa

    Shule zilizipo tabora wilaya Uyui Zina shida kubwa sanaya kiongozi kutokana walipoewa uongozi kutokuwajibika jinsi inavyotakiwa, Kuna shule za upande wa uelekeo wa ulyankuru Kuna shida kubwa sana kitaaluma na za kiongozi Kuna wakuu wa shule wapya wanawake wamehongwa nafasi za ukuuu wa...
  7. DOKEZO Serikali itusaidie kumaliza tatizo la vibaka Ipuli, Tabora imekuwa too much sasa

    Kumekuwa na sintofahamu ya matukio ya wizi uliokithiri maeneo ya Ipuli hapa mtaani Mrenda Mkoani Tabora, matukio ambayo yanayofanywa na watu ambao bila shaka ni vibaka kulingana na aina ya wizi wanaofanya. Tabia hiyo ilianza mdogomdogo lakini sasa inazidi kukomaa, vibaka wanakata madirisha ya...
  8. Mapokezi ya Mhashamu Askofu Mkuu Protase Rugambwa aliyeteuliwa na Papa Francis kuwa Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora

    Ifucha, Tabora Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Leo tarehe 25 Juni, 2023 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki kushiriki adhimisho la Misa Takatifu ya kumpokea Mhashamu Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa alieteuliwa na Baba Mtakatifu , Papa Francis kuwa Askofu Mkuu...
  9. Protase Rugambwa: Askofu Mwandamizi Anayeripoti Kituo chake cha Kazi Jimboni Tabora 25 Juni 2023

    Jumapili ijayo Juni 25, 2023, jimbo la Tabora linampokea askofu mkuu Protase Rugambwa akitokea Roma alikokuwa kwenye jopo linalomsaidia Papa kuongoza kanisa duniani. Jopo hili linaitwa "Roman Curia" lina idara zinaitwa "dicastery" na moja ni ya "Uenezaji Injili Duniani". Akiwa bado padri...
  10. Wanne wahukumiwa kunyongwa hadi kufa Tabora

    Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa wanne wakazi wa Kata ya Usunga Wilaya ya Sikonge kwa kosa la kumuuwa Alfred Lusamalo aliyekuwa Diwani (CCM) miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020. Waliohukumiwa kunyongwa ni Nelson Mlela (37), Masemba Lusangija...
  11. Naibu Waziri Hamis Mwinjuma (Mwana FA) afungua mashindano ya UMISSETA Tabora

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma leo Juni 15, 2023 mkoani Tabora amefungua mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSSETA) kitaifa katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo Mhe...
  12. Update: Muuguzi mlevi aliyetuhumiwa kumbaka mjamzito wodini aachiwa huru

    .......................................................................................... TABORA: Muuguzi daraja la pili, Rayson Duwe aliyetuhumiwa kumbaka Mjamzito wa Wiki 32 aliyekuwa amelazwavkatika Hospitali ya Wilaya ya Sikonge, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilayani humo...
  13. B

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Tabora Mjini apinga kustaafishwa

    Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw. Komanya Erick Kitwala apinga uamuzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumstaafisha bila kumpa sababu . Kesi aliyofungua Komanya Erick Kitwala ilisikilizwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo pia Komanya Erick Kitwala anataka arudishwe...
  14. Mahakama yaruhusu Mkuu wa Wilaya kumpinga Rais Samia kumstaafisha kabla ya muda kisheria

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma. Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini. ---- Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
  15. Hii hapa Picha nyingine bora ya Wiki hii, Imepigwa Tabora

    Kitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru, Amani , furaha na Upendo, kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui. Kumbe Uhuru, Upendo na Amani vinazalisha Furaha. Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako.
  16. Uchunguzi wa mapacha njiti waliochunwa ngozi ya uso wakamilika. Wanne kufikishwa Mahakamani kwa Uvunaji wa Viungo vya Binadamu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian @batilda.burian amesema jalada la uchunguzi wa tukio tata la Watoto pacha waliozaliwa kabla ya muda katika Kituo cha Afya Kaliua na mmoja wao kunyofolewa jicho la kulia na ngozi ya paji la uso, limekamilika na Watumishi wanne wa Kituo hicho...
  17. Dawa za mapenzi ya kibatari mlipuko na utambi wa sanda na Karatasi ya kupepea kwenye mti. Tabora ni baba lao

    Niende kwenye mada wanyamwezi ni nyoko si mwanaume si mwanamke mapenzi yao wote ya kichawi, mvuto na wito wa kutumia dawq kumuita unaemtaka. Hivi mkoa wa tabora sikonge wanyamwezi huu upuuzi wameutoa wapi. Kizinde changu kimewashinda kila walichojaribu wapi mwamba nimeiva. Leteni visa...
  18. Hakuna Hasara Ujenzi wa Reli ya SGR Tabora - Kigoma

    MHE. ATUPELE MWAKIBETE: HAKUNA HASARA UJENZI WA RELI SGR TABORA - KIGOMA SERIKALI kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Fred Mwakibete imefafanua kuwa hakuna hasara yoyote iliyosababishwa na ununuzi wa mkandarasi wa ujenzi wa njia ya reli ya Tabora-Kigoma, kwa kuwa ulifuata taratibu...
  19. Natafuta nyumba ya kupanga Tabora Mjini au apartment

    Msaada jamani, Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka. Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
  20. Tabora: Aliyekuwa Mkurugenzi Iguwasa kizimbani kwa uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imempandisha kizimbani aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Igunga (Iguwasa), Hussein Nyemba (34) akikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi. Tabora. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…