tabora

  1. USHUHUDA: Raha na utamu wa mapenzi viko Tabora, hiyo mikoa mingine mnateseka sana

    Hakika mapenzi ya Tabora hawa wanawake wa kinyamwezi ni kiboko. Kuishi ama kufika ama kupita Tabora ni raha sana, mapenzi tele na raha zake na utamu wa mapenzi ya Tabora hakuna mkoa pinzani. Wanawake wa kinyamwezi na hata walofundwa unyamwezini ni watamu sana wanajua mpaka basi hadi wana utamu...
  2. Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

    Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa. Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
  3. TANZIA Mwenyekiti wa CCM Tabora Hassan Wakasuvi afariki dunia akiwa ofisini

    Hassan Wakasuvi enzi za uhai wake Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Hassan Wakasuvi kilichotokea Leo tarehe 22 Februari, 2024 Mkoani Tabora. Chama Cha Mapinduzi kitamkumbuka...
  4. Tabora: Mwenyekiti wa Chama cha Wauza Mikaa ashtakiwa kwa kujipatia hongo ya Tzs. 300,000

    Mnamo Februari 9, 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Uyui, mbele ya Mh. Tausi Mongi, imefunguliwa kesi ya jinai (Criminal case No. 20240209000003354) Jamhuri dhidi ya GEORGE FICHA MANYAMA (Mwenyekiti wa Chama cha Wauza Mikaa - UWAMUKU - Tabora). Kesi imefunguliwa na waendesha Mashitaka wa...
  5. M

    TFF mpo mpo tu mnazunguka kwenye viti, huu uwanja wa Tabora haufai kuchezea ligi

    Kwa wanaoangalia mechi ya Tabora utd vs Namungo watakubaliana na mimi. Hii mechi ni kama inachezwa kwenye jaruba la mpunga. Mbaya zaidi mashabiki wa timu mwenyeji hamna. Sasa si bora ligi ichezwe kwenye viwanja bora vinne tu.
  6. Mimi na washkaji zangu tuliugua homa ya tumbo wakati tuko Tabora

    Habarini wana jamvii Leo nimekumbuka hiki kisa tulichopitia na jamaa zangu miaka ya nyuma kidogo mkoani Tabora wenyewe wa kuita mboka manyema aisee ilikuwa hatari. Tulieenda tabora kuna mishe tulieenda kufanya kwa kipindi kile tulikuwa watu wa tatu tulifika tabora salaam kabisa kwa kuwa...
  7. Tabora United ndio hii iliyocheza na Yanga mpira wa nguvu na akili nyingi pale Dodoma ama ni wengine hawa?

    Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata? Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini nilichokiona Leo pale Aly hassani mwingi stadium ni kichekesho Cha kufungia mwaka! Wamefungwa magoli mepesi...
  8. Kwa 'Ndiki / Fabo' ya Leo huko 'Kwa Mwinyi' Mkoani Tabora nawaomba wana Simba SC tuelewane mapema kabisa kwa hili

    Ushindi kwa Simba SC leo nauona ni wa 20% tu (japo Wakishinda nitashukuru kwani Mechi hii ya leo ni Ngumu hasa kwa nje ya Uwanja), 25% ni Kufungwa na 55% naona ni Sare / Suluhu kwa Simba SC. Huyo huyo Kiongozi katumiiza kwa Mchezaji Shekhan wa Zanzibar, huyo huyo tena akaja Kutuumiza Mechi ya...
  9. FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

    Match Day. Leo Simba anatupa karata yake kwenye mchezo wa 12 wakiwa na Points 26. Nafasi ya 3. Anayeongoza Ligi ana points 34. Mpaka sasa Simba amepoteza Mchezo 1 Draw 2 na Ameshinda 8. Wapinzani Wao Tabora wako nafasi ya 12 kwenye msimamo wakiwa na points 15. Mchezo utafanyika Saa 10jioni...
  10. N

    Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji awajibishwe

    Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda...
  11. RC Batilda Buriani tatizo la umeme Tabora hulioni?

    Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita. Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili...
  12. M

    Natafuta shamba la kununua Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro

    Habari wakuu, Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu. Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti ni gharama sana. Natafuta kwanzia heka 100 kwenda juu. Asante.
  13. Uyui secondary tabora boys 1994....1996

    Bila kuwasahau Tabora girls...wakati wa joint mass.....mikusanyiko ya pamoja Disco la mchana ile saa nane nane kijua.....wapi chuo cha uhazili na Mirambo secondary...ya Kale dhahabu....good sweet memories....Tabora raha saanaaa. Pia ni mkoa uliokuwa na mabinti wazuri.
  14. Tabora wapi wanauza simu nzuri used na mpya?

    Habari za leo wakuu, Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu? Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia. Nikipata username za instagram ili...
  15. Wafanyakazi wa SGR, Dar, Tabora, Dodoma na Singida wagoma wakishinikiza kulipwa mshahara

    Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023. Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR...
  16. FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

    πŸ”° πŒπ€π“π‚π‡ DAYπŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Tabora United Vs Young Africans SC πŸ“† 23.12.2023 🏟 Jamhuri, Dodoma πŸ•– 1:00 Usiku Game yakufunga Mwaka hii. All the Best Young African SC. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza Kikosi cha Tabora United Kinachoanza Mechi ya leo. Mpira...
  17. N

    NHIF Tabora ni jipu

    NHIF mkoa wa Tabora wanasumbua sana wafanyakazi wanaongoza kwa kuomba rushwa, pia wanalazimisha na mwenza wake awe namba ya NIDA Huu mfuko tunauchangia lakini masharti yamekuwa mengi lakini kila mwezi mnachukua pesa
  18. M

    Ushauri: Jinsi ya Kufika Sikonge (Tabora) From Dar

    Wadau naomba ushauri njia rahisi ya kusafiri kwa basi kutoka Dar mpaka Sikonge Tabora na mabasi mazuri/kampuni ya kupanda. Shukrani
  19. Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Wakikagua Miradi ya Umwagiliaji Arusha, Tabora na Iringa

    Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti mkoani Arusha kufuatilia utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji kwenye mashamba ya utafiti- TARI na Mashamba ya Uzalishaji wa Mbegu- ASA. Pia, Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti ilifika kwenye shamba la Mbegu Kilimi Nzega, Tabora kufuatilia utekelezaji za mradi...
  20. Baada ya miaka 10 nimerudi leo Tabora, aisee Tabora imekuwa Toronto.

    Hongera sana Aggrey Mwanri. Nyumba kali za kisasa lami za kutosha katikati ya mji. Zimebaki nyumba chache za wazawa za udongo katikati ya mji bila shaka miaka 5 mbele watafika dau. Wahaya wakitoka Bukoba wakifika Tbora wanaweza kudhani wako mamtoni. Hongereni wana Tabora.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…