TAESA
Unataka kuifahamu taesa, basi jua kwamba ni agency iliyo chini ya ofisi ya wazir mkuu inayotoa nafasi ya ajira kwa graduates wa muda mfupi na mrefu, unaweza pia pata internship ya mwaka mmoja.
Unataka kujua zaidi
Njoo pia tupashane moto akili juu ya hizi kero za hawa jamaa TAESA
TAESA...