A
Anonymous
Guest
Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika.
Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa mishahara yetu ya mwezi Disemba mwaka jana na Januari mwaka huu licha ya kusaini mkataba unaoonesha kuwa tutapokea malipo kila mwisho wa mwezi kwa mujibu wa utaratibu wa kawaida.
Hali hii imeathiri maisha yetu na familia zetu.
Tunaomba uongozi utoe maelezo rasmi juu ya sababu ya kuchelewa huku na lini malipo yatatekelezwa.
Lengo si kuchafua taasisi bali kuomba suluhisho na uwazi.