Ofisi zetu Tanzania zipo kariakoo mtaa wa Ndanda na Muhonda
WhatsApp/Call +255 697 692 507
Rate yetu Kwa normal goods (mizigo isiyo na sumaku battery au majimaji ) ni USD 11.5 Kwa kilogram
Nimecheza mpira na naujua mpira na nauchambua mpira pia Saido Kanoute si Mchezaji wa Hadhi ya Simba SC yetu.
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya...
Mwenye uelewa wa neno "uchumi wa buluu".
Nimekuwa nikisikiliza wenzetu,wa visiwani wakisema hili neno.
Mwenye uelewa wake kwa kina,na ushiriki WA Hilo neno wa watanganyika
Unaacha Kufanya Kazi kwa bidii huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu Wewe unachowaza ni Kumroga fulani ili Afe Ajalini ili uchukue nafasi yake. Na ninachofurahi Warogaji wengi wa Wenzao ili Wafe ( hasa Ajalini ) ikitokea kweli waliowalenga Wamekufa huko Ajalini baadae wala hawazipati hizo Nafasi...
Wale wenzangu wenye zile NIDA zetu za 2014 ambazo mwenda zake alizikataa zimesha anza ku-expire, naomba kujua kama kuna mtu amesha renew, utaratibu upoje?
Je naweza kwenda ofisi yoyote ya NIDA au lazima niwe mkoa niliojiandikishia? Na maelezo yoyote ya ziada ni muhimu sana.
Asante sana🙏
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini unatarajia kumsafirisha kwa ndege Mtanzania Kulwa Hassan Twalibu, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Sterkfontein iliyopo Johannesbug- Afrika Kusini tangu mwaka 2018.
Balozi James Bwana amesema Twalibu anarejea Tanzania ili akaungane na familia yake...
Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na Wapenzi wao au wana Hasira ( Usununu ) na Sisi Wanaume kuwa tunawapa Mimba Wanawake na Kukimbia...
Yaani kabisa Mwanamke wako ( Mtoto wa Watu ) umempenda Mwenyewe na kuamua kuwa nae lakini cha Kushangaza uko nae Kwako Dar es Salaam ila Maelekezo yote ya Kuishi na Mkeo au Mpenzi wako ( Mchumba ) yanatoka Kijijini ( Mkoani ) aliko Mama yako Mzazi au Mlezi wako. Huu ni Ujinga wa Kiwango cha...
Dogo namuona ni Hatari sana na ndiyo Animateur ( Rapa / Mghani / Atalaku ) ambaye namuona anakuja kuwa Tishio kwa Atalaku bora kwa sasa Congo DR Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ) wa Bendi ya Wenge BCBG yake Jean Bedele Tshituka Mpiana na kwakweli ametokea Kunivutia na ana Sauti ya...
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii...
Nianze Kwa kumuunga mkono Mbunge wa Viti maalum Iringa Jesca Msambàtavangu juu wa utendaji wa wizara ya Jinsia na watoto pamoja na Idara zake jinsi zilivyojikita kutetea upande mmoja WA wanawake na watoto wa Kike pekee.
Afande IGP, ugonjwa huu umelikumba Kwa kiwango kikubwa Dawati lako la jinsia...
Ukisikia kukurupuka ndio huku sasa.
Watu washashindwa sasa unafafanua kitu gani?
=======
"Katika mzunguko wao (CHADEMA) hapa nchini wamekuwa na hoja zifuatazo, hoja ya kwanza (1) wamezungumzia juu ya Katiba, hoja yao ya pili (2) wamezungumza sana juu ya sheria ya uchaguzi, hoja yao ya tatu...
Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me.
Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne.
Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri.
Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.