Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40.
https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7
Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema...