GENTAMYCINE tayari nimeshawahi na nimekaa zangu Siti za mbele mbele kabisa nikitanguliwa na Kwaya yetu nzuri yenye Nyimbo za Kukufanya uwe karibu zaidi na Mwenyezi Mungu na akupunguzie Dhambi zako japo hatozifuta zote ili Akakuadabishe vyema Mbinguni Siku ya Hukumu.
Leo Makanisani ( kwa wenye...
Natumai ni wazima kabisa, nina jambo moja ningependa kushauriwa hapa, naamin kuna watu wenye uzoefu na hili na kujua ufumbuzi wake kiujumla. Nakuomba usipite bila kutoa ushauri wako.
Je, kuna mtu yoyote ambaye katika maamuzi ya kuoa aliamua kuoa mwanamke ambaye ilionekana kwenye familia yake...
Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World.
Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo nimeshindwa kuelewa kabisa kwa huyu mwanamke ambaye nimetangaza nia ya kumuoa. Nataka ushauri wenu...
GENTAMYCINE naomba baada tu ya Tamasha Kubwa la Simba Day tarehe 6 August, 2023 mambo haya Mawili muhimu sana yafanyike kabla Timu haijaenda Tanga kwa Mechi za Ngao ya Jamii na kuanza kwa Ligi Kuu ya NBC na Michuano Miwili ya Kimataifa.....
1. Waitwe Wazee Wetu wa Kikwajuni Zanzibar na Wazee...
Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world.
Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda Mwanza kwa ndege ilikuwa hadi laki 9 one way.
Tulikuwepo wakati TRC linabinafshishwa likabakia chumba...
Nimekua nikipata changamoto kwenye mahusiano na mzazi, kuna kuwa hamna maelewano kati yetu, tunagombana sana, hatuwezi kukaa sehemu moja tukazungumza usitokee ugomvi kati yetu. Kinachonishangaza zaidi, nikijaribu kuangalia sababu sielewi, hii hali imekua ikiendelea kwa muda mrefu sasa na inanipa...
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
Hello JamiiForums,
Hii itakua thread yangu ya pili humu Jukwaani toka nijiunge kama member June, 2020. Mimi ni Producer, Composer & Songwriter. Ndani ya miaka mitatu nimekua nikijaribu kuendeleza craft yangu kiujumla na ningependa muweze kuipitia na kunipea genuine feedback, your support and...
Habari ndugu
Nakuja hapa naomba mnisaidie
Nilikua na Yahoo adress ambayo imeshikilia vitu vingi lakini kikubwa kikiwa ni attached credentials zangu ambazo ni vyeti vyangu na docs nyingine za muhimu
Original hard copy ya vitu vyote hivyo nimepoteza
Nimejaribu kwenda kwenye help desk za yahoo...
Habari za uzima ndugu zangu,
Naomba kuuliza kuna kozi za afya ambazo ukiwa na degreee sio rahisi sana kupata kazi tofauti na mtu mwenye diploma???
Au ni rahisi kupata kazi ukiwa na degree tofauti na mwenye diploma???
Sorry wakuu wana Jamiiforums wenzangu..
Ninaomba msaada kama kutakuwa na muhusika humu mwenye mitihani ya leseni ya miaka nyuma anaweza kusaidia..nitatoa chochote kwa sababu natambua duniani hakuna cha bure zaidi ya pumzi..
Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa dharura nyingi
Ilibidi niwe nawasiliana na mumewe mshua hakua na shida lakini kila nikipanga ratiba...
Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa.
Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili.
Natanguliza Shukrani.
Hello wapendwa! Nina ujuzi wa kutengeneza mkaa mbadala wa kupikia!
Lakini tatizo sijui wapi nitapata wateja!
Naomba mawazo nifanyeje ili nipate wateja ili nianze kuzalisha bidhaa hii.
Ujuzi ninao, vifaa na mashine zipo lakini shida ni wapi nitauza hii bidhaa!
Kwasasa napotaka kuanza...
Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.