Asalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
1. Mheshimiwa Kamishina kama kuna Askari pale getini tena wenye vifaa vya kukagua ili wajiridhishe nasi kwanini wakimaliza tukiingia ndani na mabegi yetu wanafulazimisha tuyabebe tu mkononi kwa kuyashika na kamwe tusiyaweke begani? Kamishina wa Uhamiaji nitaomba kujua logic behind hili...
Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters.
1. Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.
2. Ya pili MS in Finance and Economics.
3. Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science.
4. MS in International Business Finance and Economics.
Ipi kati ya hizo...
Kuna moja hiyo nimeisikia na Kabambe sana ( japo nakataa Kuiamini nikijua TISS si Makatili na Wapuuzi ) hivyo nawatahadharisha wale Wenzangu na Mie Wapenda Kugombea Mbunye za Baa kuwa ukigundua tu unayegombea nae Mbunye ni wa Kitengo ( TISS ) mwachie tu hiyo Mbunye na tafuta nyingine kwani...
Nisiwachoshe wadau niende Moja Kwa Moja kwenye maada.
Mimi ni mtumishi niliyewahi kunifaika na bodi ya mikopo elimu ya juu, nikiwa chuoni. Mara baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo nilipata kazi kwenye taasisi ya binafsi nilikokuwa nakatwa makato ya bodi Kwa Kila mwezi. Baada ya mkataba wangu...
Hellow, naombeni msaada wenu.
Nina shida kwenye namba yangu ya NIDA.
MAJINA yangu yalikosewa kwenye NIDA Jina la katikati likakaa mwisho na la mwisho likakaa katikati yakatofautiana na ya kwenye vyeti vyangu vya
taaluma
Nikafuatilia ofis za NIDA wilaya , nikaelekezwa cha kufanya nkafuata hatua...
Sijui hii hali kama kuna wengine Ishawahi wakuta, Umri wangu Niko kwenye late 20's miaka ya nyuma nilikua tongoza tongoza, aisee lakini sasa sijui nimekuaje, kama mwaka uliopita nimetongoza mdada mmoja tu, the whole year.
Mimi sio domo zege, sina stress kubwa/msongo wa mawazo, sina aibu ya...
Tunaomba msaada kwa mwenye kufahamu anayeweza kutuwekea hapa sheria ya fedha za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006.
Ninaona Halmashauri karibia zote hazijui sheria hiyo na fedha Za mfuko wa jimbo zitakuwa na kutumika na ukoo wa mbunge husika katika jimbo.
Ndugu zangu kwema,
Nilikuwa naomba msaada tafadhali, maana hili jambo linaniumiza kichwa sana leo.
Kati ya uzi hizi mbili kesho nivae ipi jamani?
Maana hapa nilipo nimepatwa na mkanganyiko sijui nivae ipi.
Naombeni msaada tafadhali.
GENTAMYCINE nimezoea kuona Rushwa na Makondakta wa Dala Dala kwa Matrafiki.
Ila hii Rushwa ya Kitaalam inayotolewa na Vilabu Viwili Police Tanzania na KMC vinavyopambana kutokushuka Daraja haivumiliki na itaharibu Mpira wetu.
TAKUKURU nawaombeni kamateni Simu za Viongozi wote wa Vilabu vya...
Habari wakuu,
Nimekwama tafadhalini. Naamini kila mtu humu ana talanta yake ambayo amebarikiwa, Naamini pia huku kuna wakina Yusuf walioweza kutafsiri ndoto kipindi cha utawala wa Wamisri kwa Israel na ndiyo maana sinaga tabia ya kudharau watu. Ni marefu kidogo ila nakuomba soma hadi mwisho...
Mdogo wangu Feisal Salum ( Fei Toto ) leo GENTAMYCINE nimeamua kukupa Ushauri wangu kama ambavyo pia nilimpa Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra Jonas Mkude hakuufuata na sasa yamemkuta hadi anakwepa hata Kuonana nami.
Fei Toto najua Sakata lako lote na labda leo niseme tu Ukweli kuwa Mpango...
Habari ya leo?
Naomba mnisaidie kuandika ushauri wenu juu ya hili.
Mm naishi mkoa X nina nyumba ambayo nimepangisha wapangaji na kupata pango la laki 5 kwa mwezi.
Sasa kuna eneo la shamba ekari nne eneo tambarare na karibu na barabara kuu linauzwa nami naona ni zuri na litanifaa kwenye miradi...
Hasa hasa nataka kujua ni lini Mwili wake unaingia kutokea huko Jijini Boston nchini Marekani alikokuwa na alikofia.
Na pia kama ukifika nataka kujua je, utapelekwa moja kwa moja Mortuary Lugalo au Kwake Masaki kwa taratibu zingine Kuendelea?
Tafadhali kama utapelekwa Kulala Mortuary ya Lugalo...
Mimi ni kijana mdogo wa miaka 19. Hivi karibuni nimekua nikipatwa na msukumo mkubwa wa kunywa pombe na kuvuta bangi. Kusema kweli najaribu sana kujizuia, lakini naona kama hizi jitihada zangu hazitozaa matunda.....
Kwa muda mrefu sasa, marafiki zangu nawaona wanachukulia hii ishu kawaida...
Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20)
Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imempandisha kizimbani aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Igunga (Iguwasa), Hussein Nyemba (34) akikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi.
Tabora. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.