tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kilamba lamba

    Ishawahi kukutokea hii? Msaada tafadhali

    Habarini wana Jamvi. Natumai mu wazima sana. Bila kupepesa maneno .Niende moja kwa moja kwenye point. Ewe mwanaume, ishawahi kukutokea upo faragha na ukashindwa kupata hisia kabisa na mtu uliyekuwa nae? Huyu Ni mpenzi wangu kabisa. Lakini cha kushangaza mashine ilikuwa vizuri tu imejiandaa...
  2. J

    Msaada: Matokeo yatu hayaonekani NACTE. Tuchukue hatua gani?

    Nimehitimu diploma katika chuo cha kati cha private fani ya mifugo mwaka 2022. Baada ya matokeo kutoka mimi pamoja na wenzangu (classmates) tukiangalia verification zetu NACTE tunaonekana tumeishia kusoma mwaka wa 1 semister 1. Tukiulizia chuo tunaambiwa wao chuo matokeo tayari walishapeleka...
  3. Mpatuka

    Kuna uwezekano wa kuomba kupandishwa cheo kupitia cheti cha degree kabla ya muda uliowekwa wa kutumikia cheo kimoja

    Habar members, Tangu nimeajiriwa yapata mwaka mmoja kazini, niliajiriwa kwa kupitia cheti cha diploma lakini wakati huo tayari nilikuwa mwaka wa mwisho masomoni kwa level ya degree. Hivyo kwa maana hiyo nilipata ajira kipindi nipo masomoni. Swali langu la msingi, ni kuwa kuna uwezekano wowote...
  4. GENTAMYCINE

    Rais kusema hatoacha kufanya Mabadiliko katika Serikali yake ni Udhaifu usiovumilika na wenye Akili

    Na kwa wenye Akili tukiona Mabadiliko ya mara kwa mara tunathibitisha kuwa huenda kuna Watu wako mahala kwa bahati mbaya / Fluku. Ngoja tuendelee Kunywa Mtori taratibu na huenda Nyama tunazozitaka tutazikuta chini.
  5. M

    Wale tuliotaka Sawadogo atolewe jana na aingie Kipenzi chenu Mkude naomba Analysis yenu tafadhali

    Mpaka Sawadogo anatolewa Simba SC ( kama sijakosea ) ilikuwa imefungwa Goli Moja ila baada ya kuingia Mkude Simba SC ikaongezwa Magoli mawili. MINOCYCLINE sijui Mpira hivyo nawaomba Mashabiki wa Simba SC mliokuwa mnataka Sawadogo jana atolewe na aingie Kipenzi chenu Mkude mje na Uchambuzi wenu...
  6. M

    Kutokana na Umuhimu wa Mechi ya leo dhidi ya Horoya FC tafadhali Wachezaji hawa Waambiwe ukweli ili tusije Kulaumiana baadae

    1. Golikipa Aishi Manula Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno. Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga Mabeki wake ila na Yeye ajitahidi mno kupanga vyema Ukuta wake kukitokea Faulo eneo la Jirani. 2...
  7. John mungo

    Waalamu wa taa zamagari naombeni msaada terch tafadhali

    Habari ,Kijana mwenzenu nipo katika kupambana na life katika sekta ya ufundi taa za magari .Bado sija iva sana,na ndio kisa cha kuomba msaada wa ujuzi .Nina katakana ya kusafisha taa za magari,sasa nimekutana na changamoto ya ile chrome ndani ya taa imekufa kabisa kiasi cha kufanya taa isiwe na...
  8. gimmy's

    DOKEZO Kuna kifo cha kizembe kimetokea juzi Msoga Hospitali, Chalinze. Tafadhali Mbunge Ridhiwani acheni siasa

    Wandugu Salaam, Juzi pale hospitali Msoga Madaktari wamepokea mgonjwa aliekuwa anatapika na kuharisha Damu sana na haraka walipomchukua maelezo wakabaini jambo. Huyu mgonjwa alipata tatizo wakati anatafuna mfupa wa kuku na bahati mbaya kipande cha mfupa chanye ncha kali kilimkwama kooni...
  9. peno hasegawa

    Mtanzania mwenye kuelewa ilipo Mahakama ya Qadhi Mkoani Mbeya tafadhali

    Niko mbeya eneo la Tukuyu ninaomba mwenye kujua ilipo Mahakama ya Qadhi anipe uelekeo wa kufika hapo tafadhali
  10. Kyambamasimbi

    Je, waliooana wanakula bata sana kuliko sisi tunaolala kama baiskeli imepaki? Uzoefu wenu tafadhali

    Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
  11. MR.NOMA

    Dada kanifananisha au anataka nimtafune. Ushauri tafadhali

    Wakuu! Heri ya Mwaka 2023. Mwenzenu mwaka Jana umeisha Kwa kufananishwa na dada mmoja mrembo ambaye anauza duka la bidhaa za jumla na rejareja jirani na ninapokaa. Huyu dada siku nimekaa Kwa Hilo duka Kuna ka pub jirani take,na yeye ni mtu asiyetumia kilaji kabisa na amenyooka katika Imani...
  12. R

    Nieleweshe tafadhali: Mikutano ya hadhara ya kisiasa unaomba kibali polisi au unatoa taarifa tu polisi?

    Kwa tamko la Rais, ili kufanya mkutano wa hadhara wa siasa, utalazimika kuomba kibali cha polisi au unatoa taarifa tu na unakwenda jukwaani kufanya mkutano wako? MY observation: Kama kuna kuomba kibali, basi tatizo bado liko pale pale! Polis kwa mazoea yao ya chuki za upinzani, hawatatoa...
  13. Komeo Lachuma

    Msijemwambia Pele kuwa anafananishwa na Messi

    Jenga picha Pele Mchawi wa Mpira, Huyu katika Biblia ya Soka ni Moses. Ni nabii mkubwa sana. Just imajini akiwa kitandani aambiwe Lione Messi anafananishwa naye. Atakata roho hapo hapo kwa uchungu. Msije mwambia jambo hili. Please sisi tuliokuwepo toka zamani tunao heshimu mpira na watu wake...
  14. S

    Rais Samia, hata siku moja mwekezaji habembelezwi kuja kuwekeza nchini, tafadhali zingatia yafuatayo watakuja wenyewe

    Huwa naziona jitihada nyingi za raisi Samia kubembeleza wawekezaji kuja kuwekeza nchini, hadi namuonea huruma kwa sababu naelewa anapigia debe kitu ambacho sio rahisi kufanikiwa. Napenda kumwambia Raisi Samia kwamba wawekezaji hawavutwi au kushawishiwa kwenda kuwekeza kwenye nchi fulani, huwa...
  15. Munguwetu

    Necta, Kidato Cha pili na nne tafadhali toeni halmashauri bora nchini 2022

    Nakumbushia tu. Hii inamaana kubwa Kwa taifa
  16. R

    Msaada wa matibabu ya ugonjwa wa kutoka malengelenge kwenye ngozi

    Pemphigus Vulgaris Nina ndugu yangu ana tatizo la ngozi kutoka malengelenge,tumetumia dawa nyingi lakini mafanikio ni madogo. Nomba kama kuna mtu alishakutana na mgonjwa wa hii hali na kutibiwa akapata nafuu/kupona anisaidie alitumia dawa gani? Kuna mtu kaniambia kuwa injection hii "RITUXIMAB"...
  17. J

    Uhamisho wa uonevu TRA, Kamishna Mkuu tafadhali ingilia kati

    Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa. Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho. Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...
  18. D

    Simu yangu inabadilisha SMS kuwa MMS

    Habari zenu wana jamii Naomba msaada tafadhali, simu yangu kila meseji ninayoituma hata ikiwa nataka kufowadi namba au meseji ndefu na fupi ina convert to MMS, nimehangaika nimeshindwa nimekuja hapa tusaidiane hili suala Natumia Samsung A02
  19. Chendembe

    Wizara ya Elimu tafadhali chunguzeni ratiba za masomo katika Vyuo vya Kati na Juu

    Nawasalimu kwa kutoa maoni yangu katika upangaji wa ratiba katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Naomba Wizara ya Elimu na wahusika kupitia ratiba za masomo vyuoni. Imekuwa kawaida sasa kuona ratiba hizo kupangwa kutokana na nafasi za walimu wa masomo vyuoni kuelekea vipindi vingine kuanzia...
  20. Mabange

    Ninahitaji mwenyeji USA jimbo lolote ila Texas ni much preferable

    Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ. Nimeamua kuliweka hili humu jf...
Back
Top Bottom