Si unajua tena gharama za kumuona dokta yaani consultation fee ilivyo kubwa? Kama kuna yeyote humu anisaidie ushari, mara kadhaa nimeenda hospitali sababu ya vidonda ndani ya mdomo pembeni, wakati mwingine mbele ya mdomo kwa ndani chini ya ulimi, wananicheki na kunipa dawa ya kupaka cream...
Ama kweli Binadamu tunapanga lakini na Mwenyezi Mungu nae pia anapanga lake / yake vile vile.
Kudadadeki Taarifa ikufikie popote pale ulipo kuwa Usiku huu kwa Aibu waliyoipata kwa Kufungwa na Ihefu FC huku kwa Kujiamini kabisa kuwa Unbeaten Record yao itaendelea wanapanga Kuchoma Moto Jezi zao...
Habari wana Jf
Naomba kusaidiwa kisheria.
Niliachana na mke wangu miaka miwili iliyopita, baada ya talaka aliamua kwenda mahamakani kudai mgawanyo wa mali za pamoja, na matunzo ya watoto.
Mahakama ikatoa hukumu ambayo binafsi sikuridhika nayo hivyo nikaamua kukata rufaa katika mahakama ya...
Ndugu zangu naomba kuuliza:
1.Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi?
2.inaweza endeshwa na wanahisa wenyewe bila wakili?
ASANTENI SANA.
1. Ruhusu mikutano ya Siasa iendelee maana iko Kikatiba na kisheria.
2. Heshimu Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
3. Waondoe akina Halima na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale na wewe unajua fika...
Wakuu poleni na majukumu!
Moja kwa moja naomba msaada kuunganishwa na mafundi wanaodeal na Simu na Computer jijini Mwanza, ili niweze kujishikiza maana life limenikaba au kama kuna mtu anaweza kutudhamini mimi na jamaa yangu Tufungue ofisi ya kurepair simu na Computer hapa Mwanza.....vitu...
Habari zenu wakuu
Namleta kwenu msichana umri wake miaka 24 elimu yake kidato cha nne ana experience ya kazi kama hotelia.
Yupo tayari kufanya kazi yoyote ya halali isipokua barmaid namfaham ni mwaminifu na ana muonekano mzuri (anaweza kupambia biashara kama za uwakala mikahawa) Naomba kwa...
Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina.
Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu...
Ndg members wote, habari za wakati huu? Ofcoz ni nzuri.
bila kupoteza muda, kama unafahamu chochote kuhusu tatizo hili, naomba neno lako la hekima ukinishauri;
Tatizo langu ni hasira za mara kwa mara!
ndg zangu, baada ya kugundua kuwa nina tatizo hili, nimejitahidi kufanya mazoezi ili...
Kocha gani Wewe muda Wote tu ni Kukenua Kenua Mimeno huku Timu yako ikiwa inabadilika mara kwa mara Kimfumo?
Wenye Simba SC yetu na Mafia wa Soka la Bongo (Tanzania) tunajua ni Juhudi gani zilifanyika ili Kocha Mgunda alipotua Simba SC akawa anashinda mfululizo mpaka Mechi za Kimataifa.
Hivyo...
Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya...
Ninahitaji kubadilisha Signature. Ambayo nimekuwa natumia miaka yote naona ipo complicated na mimi nimeanzisha kampuni natakiwa sometimes nisaini docs nyingi.
So nasign mpaka signature inabadilika na ninachoka sipendi kuwa nasign sana.
Nahitaji kubadili signature niwe nayo moja simple tu...
Wanajf , kila siku namtanguliza Mungu , na nikawaida kuwaombea KWA kile kidogo Mungu amenipa,
Naomba mwenye no ya mtumishi tajwa hapo juu ani inbox tafadhali kazi yangu itakua wasiliana naye pale atanipa kibali ,
Natanguliza shukrani wakuu
INTRODUCTION
Ni mdogo angu (family friend).
Kwao ni wa mwisho kuzaliwa (last born).
Ana miaka 26 na ana mtoto mmoja wa kike.
Yeye na huyo baba mtoto waliachana ila mtoto anatunzwa fresh.
SCENARIO
Huyu binti Wana JF ana hasira sana. Na hapo mwanzo nilishawahi kumuhoji akasema ""Muda mwengine...
Sensa huwa ina mambo na taarifa nyingi ambazo hawawezi kuzitoa uwanjani. Mfano idadi ya watu kwa kila mji na kila kata.
Naomba mwenye PDF yake anisaidie.
Habari wakuu,
Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa.
Mwenye ujuzi naomba msaada...
Tangu ulipomtelekeza kijana huyu hajawa sawa!
- mtoto wako sasa anachukia walimu wote na kukesha akiwazulia kila baya kwa lengo la kujitibu stress ulizomsababishia za kumtelekeza kwa mzazi wake wa kike. Bahati mbaya sasa, anaowashambulia ni mabingwa wa kuhangaika na akili za watu hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.