tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mugah di matheo

    Ushauri tafadhali Kutoka Jf,, mapenzi changamoto

    Habari za kwenu wadau. Kuna jamaa moja hivi rafk yangu ameniomba ushauri juu ya Hilo. Alimtongoza demu moja hivi huyo demu akamwambia "Sina shida na hilo but you know that my mom n mchepuko wa mzee wako? Na wamezaa watoto wa wili?".. but yeye demu sio miongoni mwa hao watoto,na kimila kwa kuwa...
  2. B

    Nani anamwelewa Naibu Spika Zungu? Ufafanuzi tafadhali

    Kwa heshima na taadhima ninalazimika kuuliza: Ni miye peke yangu nisiyemwelewa huyu ndugu ambaye anafahamika kama mwasisi kindaki ndaki wa tozo? "Gateway ya internet kuwa nje maana yake nini?" Nani aliipeleka huko? Inarudishwa vipi hiyo nchini? Au kwa nini anaumia mno makqmpuni ya simu...
  3. R

    Ni namna gani ya kuhamisha namba za simu toka line moja kwenda nyingine?

    Naomba anayejua namna ya kuhamisha namba za simu toka line moja kwenda nyingine anisaidie how to do it on my phone
  4. M

    Uongozi wa Simba SC tafadhali kama Matola ni Kocha Msaidizi wa kudumu, mtueleze sisi mashabiki

    Sina tatizo na Juma Mgunda (Guardiola Mnene) kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC kwani natambua uwezo wake ila tatizo langu ni kwanini Matola Yeye haondoshwi Simba SC kama wanavyoondoshwa makocha wengine? Uongozi wa Simba SC tafadhalini sana kama wenyewe kisirisiri kutokana na upumbavu wenu...
  5. M

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally tafadhali kama huna Taarifa za Kutosha kuhusu Ujio wa Manzoki acha Kututamanisha nae Mitandaoni Kwako

    Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing ( Unatutamanisha ) kuwa anakuja au utamtangaza muda Wowote. Ama ubaki na Kauli yako kuwa haji au...
  6. Lastmost

    Unawezaje kujua kuku kama amegongwa na nyoka baada ya kumchinja?

    Unawezaje kujua kuku kama amegongwa na nyoka baada ya kumchinja? Wakuu leo asubuhi bandani kwa kuku nilisikia kuku wakirukaruka, kelele kama wanapigana na vurugu, baada ya kufungua Banda nimemkuta kuku mmoja akiwa taabani,ikabidi nimuwahi kisu kabla hajakata Moto. Sasa sijajua ni nini...
  7. Brown Kwacha

    Kwa mwenye msaada wa kupata hiki cheti tafadhali

    Kwa mtu yeyote anayeweza kunisaidia kupata hiki cheti msaada wako unahitajika zaidi ya unavyofikiria. Kama ulishawi kuomba ukiwa nje ya nchi pia naomba unishauri nawezaje kukipata ingali nikiwa nje ya nje.
  8. peno hasegawa

    Mwenye Katiba ya Kenya tafadhali

    Uchaguzi wa kenya matokeo yameanza utata mkubwa mitandaoni. Mwenye Katiba ya Kenya tunaomba tafadhali Ili wengine tutafute suluhu kwenye hiyo Katiba.
  9. The Clinical Pharmacist

    Msaada tafadhali wa chaguo la ujenzi wa nyumba

    Habari za kwako mpenzi msomaji na mwanachama wa Jamvi la hoja mchanganyiko. Mie ninahitaji kuanza kujenga kibanda changu na mimi, hebu naomba mnisaidie katika ya Nyumba hizi ipi ni nafuu katika gharama za ujenzi. Nyumba A Nyumba B
  10. GENTAMYCINE

    Naweka Utani wangu pembeni tafadhali wana Yanga SC wawapige Stop kwa muda Viongozi wao Kulizungumzia Sakata la Juzi la Haji Manara

    "Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC. Taarifa: EFM Sports Headquarters leo. Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
  11. L

    Nimekuwa mtu nisiyejiamini na sipendi "kushobokea" watu. Nimeamua kufanya maamuzi haya

    Habari zenu humu wadau. Ninahitaji msaada wenu katika mawazo na ushauri. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28 mkazi wa jijini Dar es salaam(Sinza). Sijao wala sina mtoto, nina kazi ambayo huniingizia zaidi ya milioni moja kwa mwezi. Nimekuwa mtu wa nisiyejiamini kabisa na kuona dunia au watu...
  12. system hacker

    Wale wa Geography msaada wenu hapa tafadhali

  13. MamaSamia2025

    Wale wanaume wanaoonyesha jitihada kwa wanawake wao lakini wanaambulia kuumizwa, someni hapa tafadhali

    Beberu mmoja asiyejulikana aliwahi kusema hivi; "Young man: no matter how well you treat a lady, if you are not the man she has feelings for she will never appreciate your efforts. Ladies are loyal to their feelings, they do not care about your sacrifices. You have heard." - Anonymous Kwa...
  14. GENTAMYCINE

    Mwekezaji Mo Dewji tafadhali Simba SC ikirejea agiza lile 'Tambiko' letu alilotuachia Marehemu Mzee 'Bamchawi' lifanyike kwa Viongozi na Wachezaji

    Kutokana na GENTAMYCINE kutokuwa na Imani kabisa na Watu kama CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Kocha Msaidizi Matola, Meneja Rweymamu, Mjumbe wa Bodi Mulamu Ng"ambi na Wachezaji akina Mkude, Kipa Manula, Beki Kapombe na Kiungo Chama naomba kabla ya...
  15. peno hasegawa

    Mwenye orodha ya Wakuu wa Idara za Halmashauri na Majiji nchini Tanzania

    Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali. Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au...
  16. peno hasegawa

    Mwenye journal aliyoandika Waziri wa Madini, Dotto Biteko (PhD) inaomba aiweke hapa tafadhali

    Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali. Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake kwenye Orodha ya mafisadi wa Elimu.
  17. kyagata

    Mwenye CV ya IGP Camillus Wambura aiweke hapa tafadhali

    Kwema wakuu? Naomba mwenye cv ya Afande Camillus Wambura aiweke hapa tafadhali.
  18. T

    Tafadhali sana NBS msishiriki dhambi inayopangwa na hawa watendaji na Halmashauri, naombeni muwe waamuzi wa mwisho kwenye ajira za sensa

    Nimejaribu kupitia maoni mbalimbali ya wadau mbalimbali kuhusu ajira za sensa na zaidi maoni yao wengi yamejikita katika hofu walinayo juu ya mwisho mbaya unakaoenda kutokea ikiwa zoezi hili litakuja kukamilishwa na usaili utakaosimamiwa na watendaji. Nausema ni mwisho mbaya kwa Sababu zoezi...
  19. GENTAMYCINE

    Refa Aragije kuwa makini sana tafadhali, kwani Kesho ukifanya Mzaha unaweza kujikuta unaishia ICU Meru Hospital

    Hizo Simu ambazo kila mara unapokea pokea tu kuwa nazo makini na Kesho chezesha kwa Haki sasa haribu ukione. Wenye Akili na Mapenzi na Mkoa wa Tanga tunajua kuwa Coastal Union FC ya Kesho itakuwa si ile Watu waliyoizoea bali ya Kesho itakuwa kama FC Barcelona au PSG FC kwa itakavyoupiga mwingi...
  20. GENTAMYCINE

    Nikiwa nasema kuwa Simba SC kuna matatizo na huwa 'nikiwananga' hapa JamiiForums huwa sikosei muwe mnanielewa tafadhali

    Ahmed Ally: Suala la Morrison tunasubiri kocha mpya akija ndio atoe maamuzi kama anatakiwa kubaki au aondoke. Babra: Morrison hakuwa kwenye mipango yetu ndio maana tumempa ruhusa akatafute timu nyingine Kauli za viongozi wa Simba kuhusu mchezaji Bernard Morrison. Chanzo: Darmpya Blog Leo...
Back
Top Bottom