Katika safari ya maisha, kuna nyakati tunajikuta tukihisi kama tumekwama mahali fulani—bila mwelekeo, bila maendeleo, na bila matumaini. Ni hali inayoweza kukufanya ujisikie kama dunia inasonga mbele bila wewe. Unafanya kazi kwa bidii, unafuata ratiba ile ile, lakini hakuna dalili za maendeleo...
Binafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo.
Galatians 5:22-23
Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Jaribu kutafakari hili siku ya leo.
Dunia ina maisha ya watu ya aina tatu tu.
(Kundi A wazee wa tabu)
1. Kuna watakaopata taabu duniani na wakifa wanaenda kupata tabu tena,
2. Kuna watakaopata taabu duniani na wakifa wanaenda kupata raha.
3. Kuna...
Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
Soma kichwa cha habari cha video, halafu tazama na sikiliza wanachokiongea hao jamaa. Halafu, tafakari kwa kina.
https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=XxVL8cS2tKG4IkHv
Kama muda wako hautoshi au MB chache anzia hapa.
https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=SGqFhc3PLBRo94Gi&t=788
Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili.
Siku ya ukomo wa uongozi wenu inakaribia, siku ambayo mtaweka chini mzigo wa kuiongoza nchi na kuwaachia wengine waubebe kwenye...
Kwanza kabisa jana sijaona burudani ya mpira zaidi ya ubabe na makandamizo kwa walima alizeti wa singida.
Hamnza anatoa kona refa anaweka goal kick, kibu anatoa mpira alafu wanarusha wao wenyewe tena, kibendera anaelekea kwake refa wa kati naye anaelekea kwake, umakini mdogo sana.
Azam tv nao...
Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English.
Karibu
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
If we don't change, we don't...
Moderators please, can you spare this clip for the benefit of democracy and strong opposition parties!
Makosa ya NCCR Mageuzi wakati wa MREMA LYATONGA yasirudiwe kamwe na upinzani.
https://www.youtube.com/watch?v=ZkYXvbAX0mY
Erythrocyte ,
Katika uhalisia wa maisha ya Watanzania, kuna aina tatu za watu ambazo zinaonekana waziwazi — “wajinga,” “wenye ukabila,” na “raia.” Aina hizi za tabia zinatufundisha mengi kuhusu jinsi tunavyoishi, jinsi tunavyoona ulimwengu, na hata jinsi tunavyopima thamani ya uadilifu na utulivu wa kijamii...
Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
WAISLAM WANASEMA UKRISTO NI DINI YA UONGO.
WAKRISTO NA WAO WANASEMA UISLAM NI DINI YA UONGO.
WAKRISTO NA WAISLAM WOTE WANASEMA DINI YA KIYAHUDI NI YA UONGO.
NA WAYAHUDI WANASEMA DINI ZOTE 2 HAPO JUU NI UONGO.
NA MIMI NIMEAMUA KUKUBALIANA NAO WOTE KUA NI WAONGO👈
Baada ya kuelezwa Kuwa Kifo ni Kifoo, na hiki cha Mzee Kibao ni Kifo Tu, Kwa nini hicho kina kelele Sana.
Na tukapewa mlinganisho wa Mtoto wa Shule Kwa walioendelea kapiga risasi na kuua wenzake.
Lakini hicho hakina kelele kama cha Mzee wetu.
Sasa tutafakari mazingira ya hayo matukio na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.