Wiki hii nilikuwa kwenye matembezi yangu mtaani mzazi fulani akiwa hoi anatoka shamba akakimbiliwa na mwanaye mtoto akamwambia mzazi,kule shule wameagiza traksut mzazi akaonekana kuzidi kuchoka mana hali ngumu ya maisha inampiga na mtoto ndiyo hivyo.Ukimuangalia mtoto kavaa yebo ametoka shule...
Hii ni tafakuri ya wazi kufahamu tunasimama wapi.
Zanzibar kunazidi kunoga. Bila shaka uchumi wao ukiwamo wa mtu mmoja mmoja kwa sasa unazidi kupaa kwa kasi kuliko popote duniani.
Washukuriwe marais Mwinyi na Samia wana shupavu wa kitanzania.
Uvuvi wa majahazi unaondoshwa na wavuvi sasa...
Wasalam!
Hii habari ni mwendelezo wa matukio yangu halisi.
Ni muda sasa kama mwaka tangu nitengane na mke wangu kutokana na swala LA uzinzi ambapo aliamua kuondoka kuishi maisha yake na hawara wake.
Muda haukuwa mrefu aliomba kurudi kwangu kienyeji enyeji ila hali swala lilishafika kanisani...
Anaandika mdau kutoka Facebook, Sibezi upendo wa serikali yetu chini ya mh.@Samia Suluhu lakini hatua ya serikali kutangaza kugharamia matibabu ya ndugu Prof. Jay ni aibu kwa taifa.
Ndugu yetu Joseph Haule
1. Amekuwa msanii mkubwa hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 basi tuseme hakukosa 1DOM...
Waziri wa Afya leo ametoa msisitizo kuwa ni marufuku maduka binafsi ya dawa kuwa karibu na viunga vya hospitali za umma hivyo yanapaswa kuwa umbali usiopungua mita 500 kutoka hospitali ilipo. Sababu kuu ni kuwa, huenda maduka hayo ya dawa yanahusika katika kuchochea upungufu wa dawa na vifaa...
Baada ya kusafisha na kupanga nyumba yangu, kaka yangu alinipigia simu na kuniambia, "Mimi na mke wangu tunakuja kukutembelea."
Nilienda jikoni kuwaandalia kitu, lakini sikuweza kupata chochote cha kuandaa. Baada ya kufikiria sana na kupekua, nilichoweza kukiona ni machungwa machache. Kwa...
Nimesema mara nyingi sana humu JF, kwamba namna ya utendaji wa Polisi wa Tanzania ni ile ambayo inazalisha chuki na wananchi badala ya kukuza uhusiano mzuri. Watu wengi sana wana chuki na Polisi kutokana na vitendo vyao, iwe suala la rushwa, kubambikiwa kesi, matumizi ya nguvi isivyostahili...
Je, COVID-19 ni nini?
COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
biashara
chanjo
chanjo ya corona
corona
covid 19
fursa
korona
kuhusu
kupima
kutumia
mabeberu
macho
mafua
maoni
matarajio
mawimbi
mipango
mjadala
mtazamo
nje
pesa
risk
tafakari
tanzania
ukweli
uongo
utoaji chanjo
uviko
uviko 19
wako
world
Ukichanjwa bado unaweza kuambukizwa, kwa Mujibu wa ushahidi sehemu mbalimbali duniani.
Bado itabidi uendelee kujilinda na amshambulizi ya vijidudu hivyo kama yule ambaye hajachanjwa.
Leo covid 21 tunaiita Delta, akibadilika akija mwingine labda Covid Dec 21 siamini kama kinga itamtambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.