tafakari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Tafakari point moja baada ya moja ya utabiri wa neno la Mungu wa nyakati za mwisho.

    Mtasikia kuhusu vita vinanavyopiganwa na pia matetesi ya kuwapo vita vingine. Lakini msiogope. Mambo haya lazima yatokee na mwisho wenyewe hautafuata palepale. Mataifa yatapigana na mataifa mengine. Falme zitapigana na falme zingine. Utakuwepo wakati wa njaa ambapo watu watakosa chakula. Na...
  2. S

    Somo kupitia Kwame Nkrumah na ndoto za United State of Africa na tafakari ya hatma ya EAC

    Habari za leo wana JF, Kama kichwa Cha habari kinavosema ngoja nianalyse mtazamo wangu Kwa kuangalia connection iliopo ktk past event baada ya uhuru wa nchi za Africa, current events tulipo na mtazamo wangu tunapoelekea. Nikiwachambua iconic hero's Kwame Nkuruma na Julius Nyerere Je! nani ni...
  3. Doctor Mama Amon

    Ujumbe wa Askofu Niwemugizi Krismasi ya 2023: Muhtasari, maswali na tafakari

    I. Utangulizi Askofu Severine NiweMugizi ni miongoni mwa Maaskofu wa Kanisa Katoliki machachari sana. Huwa hataki kulala na dukuduku moyoni mwake hata siku moja. Pia historia yake kama Askofu inaonyesha kwamba ni mtu asiyependa wala kuvumilia ukaidi dhidi ya mamlaka halali. Hata hivyo...
  4. GoldDhahabu

    Tafakari na mwimbaji

    Sijui kama ni Mtanzania au ni Mkenya, wala simfahamu hata jina, lakini ujumbe wa wimbo wake umenibariki. Uusikilize na wewe!
  5. Mkyamise

    Tafakari ya kabla ya sherehe za mwisho wa mwaka

    Ukiona yafuatayo yanakuandama jitafakari: 1. Kutumwa tumwa na hata uliowazidi umri, 2. Kuombwa kuchinja, kukata kuni, kuosha magari, kutafuta ng'ombe/mbuzi wa kitoweo, n.k 3. Kutoshirikishwa kwenye maamuzi ya familia/ukoo, 4. Vikao vinaendelea wewe unawekwa busy kuandaa maakuli, 5. Kuombewa lift...
  6. Wakili wa shetani

    Tafakari yangu juu ya Wasomi-Masikini wa JF

    Juzi kati nilikuwa nazungumza na madogo fulani wawili kuhusu Jamiiforums. Wale madogo wakasema kuwa hawajawahi kuisikia Jamiiforums!! Nilishangaa sana, ni madogo wenye kazi na wako active kwenye mitandao ya kijamii. Yaani mtandao upo tokea mwaka 2006 hawajawahi kuusikia!!? Licha ya hayo...
  7. Hyrax

    Tafakari: Kila sekunde moja inaenda sambamba na tukio fulani mahali fulani

    Leo nimekaa na kuwaza jambo fulani fikirishi sana sijui kama na wewe ulishawahi kufikiria nilichofikiria; Kila sekunde inayokwenda kuna tukio mahali fulani duniani kama ifuatavyo; Kila sekunde moja kuna watu lukuki wanakufa Kila sekunde moja kuna watu wanaambukizana ukimwi mahali fulani Kila...
  8. robinson crusoe

    Waziri Bashe tafakari uwezo wako kabla hujaharibu kabisa sekta ya Kilimo

    Bashe anawaambia vijana wakalime, yeye anajenga vituo vya mafuta njia nzima ya kibaha. Sijui katoa wapi mtaji huo! Ni hizo milioni 16 kwa ekari. Yaani kazi ya milioni 5 yeye anatumia milioni 16! Hebu tuongelee tabia na maelezo ambayo aliyatoa juu ya kilimo. Huu ni uchafu tu! Yaani waziri...
  9. F

    Tafakari ya babu

    Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe "Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda." Tafakari ya babu... "Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu akamuuliza, "kwa nini wewe mjinga unajipaka mate? "mtoto akamjibu,"jana...
  10. VUTA-NKUVUTE

    Tafakari: Uvamizi wa shamba la Kenyatta na shambulio la Lissu

    Jana Machi 27, shamba la familia ya Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta lilivamiwa na uharibifu pamoja na wizi kufanyika. Shambani humo moto mkubwa uliwashwa; miti ya mbao na nguzo ilikatwa na wizi wa mali mbalimbali wakiwemo mamia ya kondoo ulifanyika. Tundu Lissu, mnamo Septemba 7, 2017...
  11. Mwande na Mndewa

    MWAKA 2023: Mwaka wa Tafakuri na Katiba Mpya - 3

    Hali ngumu ya maisha inayosababishwa na mfumuko wa bei za bidhaa masokoni,wazo la katiba mpya litatawa mwaka 2023 nguvu kutoka kwa wananchi,trade unions,NGO'S,wataalamu wa elimu ya siasa na uraia na vyama vya upinzani bila kusahau Media za Tanzania.Tunaweza ku-adopt mapendekezo...
  12. Mwande na Mndewa

    MWAKA 2023: Mwaka wa Tafakuri na Katika Mpya - 2

    Mwalimu Julius Nyerere alisema kuwa mpinzani wa kweli ni lazima atokee ndani ya CCM, Je maono ya Mwalimu yalimlenga Hayati Rais John Pombe Magufuli, kwa namna anavyochukuliwa sasa hivi ndani ya CCM,ni kama alikuwa mpinzani ndani ya CCM. Au je kauli ya Mwalimu ilimlenga Ndugu Edward Lowassa baada...
  13. Mwande na Mndewa

    MWAKA 2023: Mwaka wa Tafakuri na Katiba Mpya - 1

    Mwaka 2023 ukawe mwaka wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, Ukawe mwaka wa utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi cha Rais kuhusu Demokrasia nchini. Heri ya mwaka mpya Watanzania, hongereni sana kwa kufika mwaka 2023 pamoja na changamoto zote za Nchi yetu, vikiwemo maji, umeme kukatika...
  14. willpower

    Tafakari: Miezi 9 ya mahusiano na mke wa mtu pasipo kujua

    Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa kawaida. Nikaamka na kukutana na watu wanne, mzee mmoja, vijana wawili wakiwa na askari. Swali lilikuwa...
  15. Mtawa Leon

    SoC02 Tamani kuwa unachokitaka. Badili Mtazamo wako

    Kati ya maswali mengi ambayo watu wengi wanaweza wakawa wanajiuliza kila iitwapo leo ni; Je ni nini siri ya kupata kile unachokitamani ikiwa hauna uwezo wa kipata? Je ni kweli kwamba kuna watu wamezaliwa na nyota zao za bahati zinazowawezesha kupata chochote wanachokitaka bila hata kuhangaika...
  16. Lady Whistledown

    Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
  17. Sky Eclat

    Hali ngumu ya uchumi imenifanya nitafakari tulikotoka na tunakokwenda

    Ile miaka yetu wahenga mama zetu wengi walikuwa wake na mama wa nyumbani. Wengi walifika kuanzia darasa la nane na kuendelea. Enzi za elimu ya mkoloni cookery na needle work yalikuwa masomo compulsory kwa mtoto wa kike. Mishahara ya wazazi haikuwa mikubwa sana lakini wengi tulibahatika kuishi...
  18. Marumeso

    Tujipe Muda wa Kufanya Tafakari (reflections) Binafsi

    Japo kwa uchache jitahidi kupata private moment ya kufanya tafakuri wewe mwenyewe (saivi wanasema wewe kama wewe), ukiwa kwenye utulivu mbali kabisa na makelele ya binadamu mwingine awaye yeyote yule not even your wife, michepuko or even your kids. Inasaidia kuipa akili utulivu stahiki wa...
  19. L

    Tafakari ya Muungano

    Sina mengi Ila chati hii inaonyesha jinsi muungano wetu ulivyo wa kipekee
  20. S

    Kama wewe mrefu na una demu mmoja tafakari

    Hakuna mtu mrefu anakataliwa na mademu labda uwe mchafu yani hujipendi la sivyo jihakikishie mademu wanakupenda ukiona wanakukataa hao mademu sitaki nataka yani wanakupima tu ila uwezo wa kukukataa hawana. Wanaume wanaokataliwa na mademu ni vijeba yani wafupi na ukiona mfupi kakubaliwa uyo...
Back
Top Bottom