tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. endagulda

    Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

  2. B

    Natafuta machine ya kufanya voice over ( kama zile wanazo tumia ma Dj wanao tafsiri movies kwa kiswahili)

    Anae jua nitapata wapi hii machine pamoja na bei yake anijulishe tafadhali. With much thanks in advance
  3. M

    Tutaenda mahakamani kwa kupata tafsiri ya Mwenyekiti wa maisha Mzee Mbowe

    Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia...
  4. Surya

    Tafsiri ya ndoto: Kioo cha simu kupasuka

    Aina mbili za ndoto ni :- i. Symbolic dream (yenye fumbo) ii. Reality dream (isiyo na fumbo) Tangu nilipoanza kufatilia na kuandika ndoto zote ninazozipata ndoto hii ya simu kupasuka kioo ilikua ndio ndoto ya kwanza yenye fumbo mimi kung'amua kuwa napewa ujumbe gani. Kuna mambo mengi ambayo si...
  5. S

    Ukiona mpaka navaa Condom tafsiri yake sina imani na afya yako

    Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ??? Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba...
  6. S

    Makosa yatokanayo na tafsiri ya moja kwa moja (SISISI) katika Lugha ya Kiswahili

    Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
  7. S

    Tafsiri ya sentensi "Kuajiriwa upya check namba

    Habarini wadau, Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini. Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye mfumo HCMS na kuweza kupangiwa kituo Cha kazi. Swali je nikiomba tu psrs au mamlaka yoyote ya ajira...
  8. BARD AI

    Septemba 30, Siku ya Kimataifa ya Tafsiri ya Lugha

    Siku ya Kimataifa ya Tafsiri huadhimishwa Septemba 30 kila mwaka ikiwa na lengo la kuwaenzi Wataalamu wa Lugha, kuyaleta Mataifa Pamoja, Kuwezesha Mazungumzo, Maelewano na Ushirikiano, Kuchangia Maendeleo na Kuimarisha Amani na Usalama Duniani. Mei 24, 2017, Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa...
  9. R

    Kwanini matusi yasitungiwe sheria kuondoa hizi tafsiri binafsi za wanasiasa zinazoendelea?

    Kama kinachoendelea kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi nadhani ni wakati sasa nchi itunge sheria ya matusi ili polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria siyo maelekezo. Juzi Kingu kasema atawataja maawara wa Mbowe CHadema wakasema ni matusi; CHadema wamepigania bandari na issue ya...
  10. C

    Naomba tafsiri ya ndoto hii, imekuwa ikijirudia mara kadhaa

    Habari za asubuhi, naomba mnisaidie waungana kama kutakuwa na mtu ana uelewa na ndoto. Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikiota nimeibiwa hereni zangu, nahitaji kujua maana ya hii ndoto. Inasemwa kwamba kila ndoto mtu anayoota inakuwa na maana, naomba msaada katika hili Asanteni.
  11. I

    Naombeni tafsiri ya ndoto hizi

    Ni muda sasa nimekuwa napitia mazingira magumu sana ya kimaisha ajira ikiwa kwangu ni jambo lisilotatulika pamoja na kutegemewa na familia niliyonayo. Nimekuwa nikijitahidi sana kutafuta kazi kwa nguvu nyingi but naishia kuambulia patupu. Jambo ambalo limekuwa likinikosesha raha ni namna ya...
  12. Surya

    Ukikutana na Polisi au Mwanajeshi kwenye ndoto nini Tafsiri yake?

    Kati ya ndoto ambazo ni rahisi kupata tafsiri yake basi ni zile ndoto unapokutana na watu wa usalama katika ndoto. Mambo ni mawili, polisi anaweza kuwa upande wako (polisi mzuri) au polisi anaweza kuwa against na wewe (police mbaya). Police mzuri - Malaika. Police mbaya - Majini (roho chafu...
  13. comte

    Fahamu tafsiri sahihi ya kosa la uhaini na adhabu yake usije ukasema watu wanaonewa

    Uhaini ni kosa la jinai analofanya mtu dhidi nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti.Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini. kifungu 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo...
  14. kufanakupona

    Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa. 5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
  15. U

    Nipeni tafsiri sahihi ya I saw him leaving the house

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naombeni tafsiri sahihi kwa kiswahili ya sentensi I saw him leaving the house Aksanteni na karibuni
  16. mrdocumentor

    Tafsiri ya neno "Nimekubali kuolewa"

    Nimerudi tena kuzungumzia Suala la ndoa hususan pale mtu anapokiri kuwa "nmekubali kuolewa" anamaanisha nini? Inawezekana kuna kundi kubwa la wanawake sasa hivi wanatoa machozi majumbani na kujilaumu wenyewe kutokana tu na kutoelewa tafsiri ya hayo maneno machache, Leo tutaenda kuangalia hapa...
  17. Surya

    Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

    Nadhani hii ndio ikawa sababu kubwa ya kwanini watu wengi wanakua wagumu kuamini kuwa kila ndoto unayoipata inakuwa na maana na umuhimu wake. Lengo kuu la ujumbe wa ndoto ni i. Kupewa maelekezo nini cha kufanya (mawazo) ii. Maonyo (warning) iii. Kuoneshwa mambo ya mbele yatakayokuja kutokea...
  18. bongo dili

    Tafsiri ya ndoto niliyoota leo

    Tumsifu Yesu Kristo taifa la Mungu,Bwana Yesu asifiwe wapendwa, ndugu zangu upande wa pili ktk Imani Amani ya Mungu iwe nanyi. Ilikua mnamo saa Tisa usiku wa Leo niliamka ili niweke simu chaji na pia ni kawaida yangu kukagua mazingira nione Kama Pana ugeni wowote nje toka kwa mawakala wa yule...
  19. R

    Maneno 'Usalama wa Taifa' kutumiwa kwenye Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi bila kupewa tafsiri yanaweza kutumiwa vibaya kwa uonevu

    Kwa mujibu wa Kanuni za Usalama wa Taifa, Uhuru wa Kujieleza na Upatikanaji wa taarifa za Johannesburg 1996; zuio kwa misingi ya 'Usalama wa Taifa' haliwezi kukubalika endapo lengo halisi ni kulinda maslahi yasiyohusiana na Usalama wa taarifa. Zuio kwa misingi ya kulinda Usalama wa Taifa...
  20. matunduizi

    Hii ndio tafsiri ya kilichotokea katika jaribio la mapinduzi lililofanyika na Majeshi ya Wagner

    Kumuelewa Putin inabidi angalau uwe umesoma kakitabu kadogo kanaitwa Arts of War by Tsu Nzu. Siku ya jaribio la mapinduzi la mchongo lililofanyika Jana na Majeshi ya Wagner ilikuwa ni siku maalumu ambayo wameitumia kusogeza majeshi ya Wagner kilometer 100 kuelekea Kiev. Yaani kama kiev ingekuwa...
Back
Top Bottom