S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili ujijengee taswira njema katika jamii?
Kuna siku moja mwezi wa August mwaka huu wa 2020 nikiwa nimemaliza mizunguko yangu huko Kariakoo...
Umofia kwenu wakuu,
Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao...
Kama kuna jambo ambalo Rais John Magufuli atakumbukwa sana na vizazi vya sasa na vijavyo ni kuamua kuendelea na ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa maji katika Mto Rufiji, mradi ambao ulipingwa sana na mabeberu.
Hata hivyo, baadhi ya Watanzania wanasikia kuhusu habari ya utekelezaji wa mradi...
Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC.
Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
Wakuu habari,
Nimetafakari leo viapo vya utii na maadili kwa mfano ikatokea ukatoa siri za kambi nini kinatokea?
Kwa mfano Bwana Paul Makonda akaamua kutumegea nini kipo huko akatoa siri za mabaya yote ya ofisi ya mkoa na aliyoamrishwa kufanya inakuwaje?
Kuna Sheria inayombana au kumfunga kabisa?
Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
Mtu wangu anapenda sana vazi la dera; akitoka ni dera tu na mara chache ni sketi au gauni.....anasema kanga au kitenge haviwezi kuvaa kwa maana hajavizoea na huwa vinampa shida sana anapovaa safarini ikiwemo kutomshika vizuri hali inayopelekea kutaka kumvuka hivyo kumkosesha utulivu.
Katika...
Hapo vipi
Kuna kitu cha ajabu huwa kinanitokea kwa muda mrefu sasa, nikawa nachukulia kama jambo la kawaida ila sasa naona..sio jambo la kawaida kabisa.
Iko hivi kipindi nasoma kuanzia secondary mpaka university, nikichua daftari au paper kusoma mara mara japo sio kila siku inajitokeza kitu...
Leo nimepitia vitabu tofauti vikizungumzia maisha na mafanikio ya Nick Vujicic, mlemavu asiyekuwa na mikono Wala miguu na Jesca Cox mwenye ulemavu pia wa mikono( Picha zao nimeambatanisha mwisho wa hili andiko)
Nick Vujicic, Hana mikono Wala miguu lakini ana uwezo wa kuogelea, kuchora na...
Tanzania kuorodheshwa kati ya nchi zenye kipato kidogo cha kati kwa kutumia taarifa za mwaka 2019 ni kuonyesha kuwa kipato cha Mtanzania kimekuwa kati ya dola 1,036 hadi dola 3,045 kwa mwaka kutokana na ripoti ya uchumi wa nchi kwa mwaka 2019.
Hii inamaana kuwa sasa mtanzania ana uwezo wa...
MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI
Wizara ya Afya inathibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 Tanzania bara.
Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88 na wote wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalam afya.
Wagonjwa wapya leo ni 29 kwa bara na 6 kwa Zanzibar.
Kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa wale wazoefu, nadhani wengi wetu tunapokuwa katikati ya faragha kuna haka kamsemo kanatokaga upande wa pili Baby chukua vyote ni vyako.
Sasa ni kitafsiri neno "vyote" lina wingi ndani yake, na tafsiri hasa ni kipi na kipi naambiwa ni vyangu? Maana unaweza...
Habar wakuu,
leo nimeota karibu na ninapoishi nyumba karibia na kwa jirani yangu kuna sehemu ambayo kuna majani majani pamejificha, sasa hapo kuna mayai mengi kweli na mengine hadi yamechafuka na udongo, ya muda mrefu sana mimi nimeenda nikawa nayachukua naweka kwenye chombo ili nikapike nile...
Jamani mimi nimeota ndoto "namuingilia msichana, ambae nina urafiki nae wa kawaida tu & wakat nafanya ivyo kulikuwa na kama vitu vyeupe vinatoka kwenye uke wake but mim sikujali nikawa naendelea tu na yng na nlipomaliza nkamuingilia pia na nyuma bila uoga wala hofu" .. Hii ndoto imenitia hofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.