tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Naomba kujulishwa tafsiri ya "Deni la Taifa ni Himilivu"

    Mungu ni mwema wakati wote. Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu" Kila zama na kitabu chake!
  2. M

    Mkalimani Wa Tanzania Ajaribu Kudanya Umati Na Tafsiri Mbovu

    Yaani kuna ujinga na UJINGA.
  3. K

    Waliozuia Biashara kariakoo ni chombo si wahuni, alichofanya RC nimaelekezo toka juu

    Ni vigumu wahuni wakaingia kariakoo nakufunga biashara za watu, waliofanya Yale Ni vyombo n walikuwa na maelekezo yakufanya hivyo. Kama ni wahuni Basi kamanda wa polisi ilala na hata kanda maalumu anafaa kutumbuliwa kwa kushindwa kusimamia ulinzi na kwa kutodhibiti uhalifu hata baada ya vyombo...
  4. THE FIRST BORN

    Nini tafsiri ya kifungu hiki cha sheria kutoka kwenye National Leaders' Funeral Act

    Ningependa kuomba ufafanuzi kidogo nipate kuelewa hapa maana naamini humu kuna wanasheria wazuri Je hiki kifungu kinamaanisha nini? Section 26(a) (b)?
  5. M

    Mama Janeth Magufuli awasili Dodoma akiwa amevaa Barakoa...

    Kwa mara ya Kwanza kabisa baada tu ya Kutua Mkoani Dodoma ( Makao Makuu ya Nchi ) ameonekana akiwa amevalia Barakoa na pia akiwa hataki kabisa Kupeana ( Kushirikiana ) Mikono na Watu. Maswali yangu ni kama yafuatayo.. 1. Kwanini Mumewe ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipokuwa Hai alikuwa...
  6. B

    Ugumu wa kutabiri anayefaa kuwa Makamu wa Rais ni tafsiri ya wanasiasa wa Tz kutegemea dola kujijenga?

    Majina yanayotajwa kupewa nafasi ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni majina yasiyo na chembe ya uhalali wa kushika nafasi hii. Si kwamba Taifa halina watu wenye uwezo la, watu wenye uwezo wapo wengi lakini hakuna aliyejengwa kusimama bila kusimamishwa na dola. Uimara wa kiongozi utokana na...
  7. isajorsergio

    Tafsiri ya zawadi ya nazi "Coconut"

    Habari, 👋🏽 Naomba kufahamu tafsiri ya zawadi inayohusu nazi (Coconut). Mtu akikupatia zawadi ya nazi inatafsiri nini katika maono au mitizamo tofauti?
  8. KMMS

    Nini ipi tafsiri ya maneno "Hadidu za Rejea"?

    Salaaam, salaam! Wakuu ni imani yangu kuwa nyote mu-wazima, shughuli za utafutaji wa mkate wa kila siku zinaendelea, wale wenye changamoto mbalimbali poleni na mungu awafanyie wepesi. Nije kwenye lengo la uzi huu, wakuu naomba mnisaidie maana ya maneno haya "hadidu za rejea" maneno haya...
  9. F

    Maendeleo Makubwa ya CHATO na tafsiri ya Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere kupata kura 5 na 2 respectively za maoni CCM 2020!

    Watanzania wenzangu heri ya Mwaka Mpya 2021. Nimewiwa kutoa mawazo yangu kufuatia kelele nyingi za " kijinga" zinazopigwa kuhusu maendeleo makubwa na ya haraka zinazopigwa Wilayani CHATO katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Tano. Fact kubwa ambayo hatuwezi kuipinga ni kuwa Wilaya hiyo...
  10. E

    Nini sababu ya jichi la kushoto kucheza?

    Leo siku 26 mboni ya juu ya jicho la mkono wa kushoto linacheza cheza sana. Naomba tafsiri kwa wajuvi wa mambo haya. Enzi na enzi.
  11. Millionaire Mindset

    Tafsiri mpya ya kufeli(kushindwa)

    Hivi unajiskiaje unapoambiwa umefeli au umeshindwa? Au pale unapopata habari kwamba mtoto wako, ‘jembe lako unalolitegemea’ amefeli yaani amezungusha “O”?. Ninaanza kuhisi jinsi mapigo yako ya moyo yanavyoanza kwenda mbio bila sababu, bila kusahau kijasho chembamba kilichoanza kuchungulia...
  12. Replica

    Spika Ndugai asema Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama pekee wanaweza kumuambia kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

    Leo jijini Dodoma wameapishwa wabunge wapya wawili walioteuliwa na Rais Magufuli kwenye nafasi zake za wabunge walioteuliwa na Rais, miongoni mwa waliohutubu kwenye hadhara hiyo ni naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dkt. Tulia Ackson ambaye ameelezea umuhimu wa Bunge kuwa karibu na...
  13. Replica

    Zanzibar 2020 Rais Mwinyi amuapisha Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Maalim Seif asema haukuwa uamuzi rahisi

    Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa. PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
  14. Matope

    Wataalamu wa lugha tunaomba tafsiri ya neno PISI

    Wakuu samahani naomba kujua tafsiri ya neno PISI linatumiwa sana Mawingu studio na Millard kwa walimbwende wa Mashindano ya Taifa! Na kama haijakaa sawa kutumiwa kwa walimbwende hawa inakuwaje baraza la sanaa wamekaa kimya? Kama Taifa ndio tumefikia kutumia maneno ya mtaani kwenye mambo ya...
  15. waco1920

    Je, tafsiri nyingine ya sheria inayoongoza Bunge letu, ni ipi nje ya hii iliyotumika kumuadhibu Sophia Simba?

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha...
  16. B

    Hotuba ya Kenyatta: Maana na tafsiri yake

    By Bright, Political Analyst Rais Kenyatta alipokuwa anahotubia Bunge alizungumza maneno mengi ila kwa sasa nitafanya uchambuzi kwenye maneno machache tu aliyo yatamka kuhusiana na kile kinachoendelea nchi jirani na Kenya. 1. Rais Kenyatta hajamtaja mtu na haja point specifically nchi husika...
  17. A

    Tafsiri sahihi ya ubeberu

    Wanajamvi, Kumekuwa na Upotoshaji mkubwa Kuhusu ubeberu na mabeberu wenyewe. Hili huenda linafanywa makusudi au kwa kutokujua. Nilipokuwa shule ya msingi nilifundishwa kuwa ubeberu (imperialism) ni ubepari uliokomaa na kuvuka mipaka. Watu waliosoma kipindi changu wanakumbuka hili. Tafsiri hii...
  18. Stephano Mgendanyi

    Nini tafsiri ya Megawatts 2,115 za umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler's Gorge)?

    NINI TAFSIRI YA MEGAWATTS 2,115 ZA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE (Stiglers Gorge)? Wengi tunaona na kusikia kuhusu habari ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji umeme wa maji wa Megawatts 2115 kutoka kwenye Mto Rufiji, mradi uliobuniwa na Mwalimu Nyerere toka mwaka 1975 na sasa...
  19. GENTAMYCINE

    Kwa 'Tafsiri' tu ya haraka haraka 'umegundua' nini kati ya haya 'Matukio' makubwa Mawili dhidi ya hawa Wasanii?

    Msanii Nandi alipopanda Jukwaani wala Mheshimiwa Rais 'hakushoboka' nae mpaka pale Nandi Yeye kama Yeye alipoamua 'Kujipeleka' Kwake ili avalishwe 'Kofia'. Lakini kwa Msanii Zuchu Yeye alipopanda tu Jukwaani Mheshimiwa Rais hakusubiri hata muda uchelewe ambapo aliamka na Kuelekea alipokuwa Zuchu...
Back
Top Bottom