Moja ya Jambo ambalo wanasiasa na Viongozi wengi wameshindwa ni "KUISHI".
Watu wengi wanaopata nafasi au uungwaji mkono wamekuwa wepesi kukengeuka na kuacha kuthamini waliochini Yao matokeo yake wanawageuza wenzao kuwa tambara bovu (kifutio Cha uchafu)
Nimeangalia mwitikio wa wananchi kwenye...
Kuna ndoto inajirudia rudia mara ya tatu sasa .
naota niko uwanjani nasakata kabumbu,mpira ninaocheza humo ni hatari,n aupiga mwingi sana
sijawahi kucheza mpira kwa kiwango cha ushindani nikiwa kijana,sasa umri wangu siwezi kusajiliwa timu yoyote nimeshazeeka,
Hii ndoto ina maana gani wakina...
Hivi majuzi nimeota ndoto ambayo bado inanisumbua sana.
Hii ndoto ilikuwa inamhusu mwendazake Rais Magufuri. Niliota ilikuwa siku ya uzinduzi wa reli ya Chini kwa Chini au unaweza kuziita treni za kutumia umeme. Hivyo na Mimi nikaenda kwenye ufunguzi wa reli hiyo pamoja na wananchi wengi. Kama...
Habari zenu wakuu.
Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja.
Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...
1.Wabobezi Wa sheria naomba mtupe tafsiri kati ya kusamehewa mashtaka na kufutiwa mashtaka....
2.Kati ya kusahewa mashtaka na kufutiwa mashtaka ni njia ipi inamsafisha mtuhumiwa mbele ya macho ya jamii....
3.Ni njia gani ya kuondolewa mashitaka inamtofautisha mtuhumiwa alietenda kosa na...
Niko kwenye bus la Mwendamseke natoka Iringa kwenda Mafinga, kuna mzee sijui kaharibu nini alipokaa maana watu wamemkata jicho baya naye alipogundua wenzake wamekwazika akasema "...hee nyela, mpyanilage nde muyenyo guhumwike..."
Kwa utafiti niliofanya kuhusu Taifa kutokuwa na Dini au Taifa kutofata dini yeyote, maneno haya yanapatikana katika katiba iliopo ile ya kiswahili pekee.
Bali sijaona maneno hayo ktk katiba ya kiingereza. Nilitatajia nikute katiba ya kiingereza ikitamka maneno haya;
Our state has no official...
Wanabodi,
Mengi yametokea katika kinyang'anyiro hiki cha kudai tume huru na katiba mpya na mengi yatazidi kutokea. Hatujapata uamuzi wowote ila ni vyema kama tungetupia jicho kwenye katiba tuliyonayo sasa hivi kupata tafsiri ya yanayoendelea.
Zimepita siku chache tangia mwenyekiti wa baraza...
Tujue kwanza tafsiri ni nini?
Tafsiri ni uhawilishaji wa maudhui kutoka lugha moja kwenda nyingine. Tafsiri inakupa maana iliyolengwa katika lugha ya kwanza kwenda lugha lengwa.
Kuanzia tarehe 24 septemba ni wiki ya tafsiri ambayo kilele chake ni 30. Kwa nini tarehe 30? Ni kwa sababu ilikuwa...
Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa kutoka kwa wale wanazoziendesha nchi zao kiimla na kujitetea kuwa demokrasia siyo sawa sawa na kinywaji cha coca-cola ambapo radha yake itakuwa moja Dunia nzima.
Tafsiri sahihi ni kuwa demokrasia ni moja Dunia nzima na ni serikali ya wananchi, iliyochaguliwa na...
Leo tujionee hili jina maarufu sana kwa watoto wa kike wa kichaga.
Manka ni jina la asili la kichaga analomiliki mtoto wa pili wa kike kuzaliwa.
Hata kama hatolitumia lakini huwa linajulikana tu baada ya kuzaliwa wa pili kwa watoto wa kike.
Jina Manka uchagani(kote kwanzia Rombo hadi...
Natumai mnaendelea vyema na majukumu yenu.
Leo ni mara yapili naona paka wakifanya mapenzi. Nilikuwa room mapema leo nikasikia kelele za paka kwa nje, kucheck kupitia window naona paka wakifanya yao juu ya ukuta wangu.
Baada ya kumaliza paka jike akajilamba mwili mzima then akaondoka.
Mara ya...
Kama kichwa kinavyo jieleza, ningependa kujifahamu jinsi maneno haya yanavyo tumika katika lugha ya kiingereza
Katika kiswahili matumizi ya O-rejeshi (o,ye,lo,po,ko,mo,zo n.k) kama
ataka-ye- kuja
Ana-cho-pata
Wali-o-fika
Zili-zo-mo
Swali, Je?
O-rejeshi katika lugha ya kiingereza...
Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano.
Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa...
Tarehe 21 Agosti ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kukumbuka wahanga wa ugaidi. Umoja wa Mataifa uliichagua siku hii kwa makusudi, kutokana na changamoto ya ugaidi kuwa kubwa na kuathiri watu wengi duniani. Mwezi Aprili mwaka huu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Gutiérrez...
Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine.
Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda...
Habari wakuu kwema?
Nataka nijue kama kuna app ambayo naweza nkapaste stori au makala fulani ya Kiingereza halafu initafsrie nataka nitafute ujuzi tofaut tofauti tatzo lugha nayo inakua ngumu naomben msaada kwa anaeijua hyo app
#yesbishoohaswaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.