Habar wakuu,
leo nimeota karibu na ninapoishi nyumba karibia na kwa jirani yangu kuna sehemu ambayo kuna majani majani pamejificha, sasa hapo kuna mayai mengi kweli na mengine hadi yamechafuka na udongo, ya muda mrefu sana mimi nimeenda nikawa nayachukua naweka kwenye chombo ili nikapike nile...