Viongozi walioteuliwa kuingoza TAHLSO wengi wao si wanafunzi wa vyuo washamalza masomo wapo mtaani jambo ambalo ni kinyume na katiba ya TAHLSO.
Kuna matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji mwingi wa fedha za TAHLSO...
TAKUKURU wanatakiwa kuliangalia hili kwa ukaribu sana