Ukitaka kujua future ya Taifa lolote angalia vijana wake! Fikra zao na priorities zao! Yaani wana maarifa sahihi?
Leo nimejaribu tu kufanya kautafiti kadogo kuhusu tofauti iliyopo baina ya vijana wa Tanzania na wa Rwanda ili niweze tu kubashiri Taifa gani lina vijana hodari wanaolifanya liwe...
Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali.
Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa...
Kwa wenye akili, dalili si nzuri kuhusu mustakabali wa Taifa letu katika miaka michache ijayo.
It's obvious, tumezidiwa nguvu na maadui watatu aliotutangazia Mwalimu nyerere hasa ujinga. Kushindwa kupambana vizuri na adui ujinga kumeliweka Taifa letu kwenye hatari ya kupotea na kuangamia...
wananchi masikini wanahangaika ila mabeberu wapo bize kununua magari ya milioni mia nne ++ wakiendelea kula rushwa na kurundika madeni nchini, mwisho wa siku wanaachia ngazi na madeni yakushiba
Kwa heshima na taadhima naomba ushauri kwenu wadau.Mimi ni mwananchi katika nchi moja ya SADEC.Kwa hali ilivyo hivi sasa nchini kwangu,mwananchi yoyote anayeweza kusema siasa za taifa lake hazimhusu,huyo hajielewi kabisa.
Hapa nchini kwetu,Siasa ndizo zinazotupangia karibia kila kitu kuanzia...
Ndugu zangu Watanzania,
Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na Mambo yake yote.
Kwa kuwa ni wazi lissu anatambua na kufahamu wazi kabisa hawezi kupita na...
Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba,
Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa Tanzania, Lakini pia kukubalika zaidi kwa wanainchi kama mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, na...
Mimi ningependa Lissu ashinde ingawa simuungi mkono. Sababu zangu ni hizi:
1. Ushindi wake utaondoa dhana ya CDM kuwa ya mtu mmoja ambayo sio kweli
2. Najua Mbowe atakubali matokeo na kumpongeza mshindani wake. Hii itamuongezea yeye na chama chake sifa ya kuwa kweli ni cha kidemokrasia. Aidha...
Kuna Mambo mengi ya ajabu na ya hovyo Yana fanywa na viongozi wetu lakini wanainchi wapo kimya
Kuna mikataba ya hovyo Ina fanyika lakini wanainchi wapo kimya
Kuna billions zinaibwa zinafichwa na mafisadi lakini wanainchi wapo kimya
Watu wanauwawa watu wanatekwa nakutupwa wakiwa mahututi...
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo...
Watanzania na mitazamo
Shule za msingi na sekondari za serikali ...... wananchi response :rolleyes:
Hospitali za serikali ....... wananchi response:rolleyes:
usafiri wa umma ......... wananchi response:rolleyes:
AJIRA ZA SERIKALI NA MASHIRIKA YA UMMA ....... wananchi...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona vyaelea ujuwe vimeundwa.tupo hapa tulipo tukiwa na utulivu wa kisiasa kwa sababu kuna watu walijitoa kwa jasho na Damu kulilinda ,kulipigania na kulitetea Taifa letu.tupo hapa tulipo kwa sababu kuna watu walitimiza vyema sana wajibu wao na kutanguliza mbele...
Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto.
Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
biashara
biashara haramu
biashara haramu ya binadamu
binadamu
dalili
haramu
ndani
suala
taifataifaletu
tanzania
utekaji
uwepo
wadogo
watoto
watoto wadogo
Mataifa mengi sana yaliyo serious na maendeleo huwa walishawajengea watu wao wote kwamba ukiwa kwenye mataifa ya watu hakikisha kwa namna yoyote uwezavyo nufaisha taifa lako kwanza.
Nakumbuka nimewahi kufanya kazi na makampuni kutoka Africa kusini yaani walikuwa kila kitu kinachotumika kwenye...
Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Mchepuo wa Kiingereza, Chief Zulu mkoani Ruvuma wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan Sh1,800 kama zawadi.
Baada ya tukio hilo, Rais Samia amesema atawanunulia ng’ombe wawili, mchele kilo 500 na mafuta ya kupikia kwa ajili ya kula shuleni hapo.
Leo...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni lazima ifike wakati tukubaliane na ukweli mchungu ya kuwa CCM ndio Moyo wa Taifa letu,ndio Mapafu ya Taifa ,ndio damu ya Taifa na ndio OKSIJENI ya Taifa letu. Hakuna amani wala utulivu wala umoja wala mshikamano wala masikilizano wala upendo wala kuzungumza lugha moja...
Kesho siku ya jumatatu tar. 23.09.2024 yanatarajiwa kufanyika maandamano ya wananchi wakipinga serikali kutochukua hatua stahiki dhidi ya Utekaji, utesaji na mauaji ya watu ambayo yamekuwa yakifanyika hivi karibuni hapa Nchini. Maandamano hayo yanakwenda ama kuwamaliza kabisa kisiasa na...
Ukiangalia wengi wa wale wanaoishabikia CCM ni wale wanaolipwa au kufaidika kibinafsi na uwepo wa CCM. Labda ni viongozi, au wazazi na ndugu zao ni viongozi au wanufaika wa CCM kwa namna moja au nyingine.
Ni wakati mzuri sasa wa kuondokana na CCM na mfumo waliokwisha kuujenga kwa miaka zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.