Najua nyie mpo loyal KWA taifa hili,mmelilinda tangu kuasisiwa kwake,
Najua nyie Ndio mmeiruhusu ccm kuwa Chama Tawala tangu kuanzishwa kwake hadi leo,bila nyie CCM isingekuwepo madarakani Hadi leo!
Najua mmewapenda upinzani na mmeulea KWA Namna Moja au nyingine Lakini hamkuweka wazi hisia...
MCHANGO WA UTALII KATIKA MAENDLEO YA TAIFA LETU. "TUUTHAMINI BASI"
Utalii una mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu la TANZANIA, hivyo basi ni jukumu letu sote kuuthamini utalii huu ili uendelee kuleta tija ndani ya nchi yetu na katika nyanja na idara mbalimbali, kama vile, miundo...
Ni ukweli kabisa usiopingika kwamba serikali na mashirika ya siyo ya kiserikali yamejikita mno katika kuongeza fursa za wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi. Jambo hili ni faida kubwa kwa nchi yetu, kwani takwimu zinasema kampeni hizi zimepunguza umaskini Tanzania kutoka 34.4% kwenda 26.4%...
Uongozi ndiyo kiini cha mafanikio au anguko la jamii yeyote ile. Hakuna jamii, tasisi, kampuni hata taifa ambalo mafanikio yake au anguko lake halihusishwi na uongozi wake uliyopita au uliyopo sasa.
Wengi wetu tunakubalina na dhana hii, na ndiyo sababu tunakuwa wepesi kuwaanyooshea vidole vya...
Kwa jina naitwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa kitanzania nina umri wa miaka 28 kwa sasa leo ningependa nizungumzie mambo mbalimbali yanayo weza kufanyika ilimradi kuweza kufanikiwa kufika mbali katika timu yetu ya taifa.
Mpira ni mchezo wenye washabiki wengi sana duniani kote na...
Mimi ni kijana wa Tanzania mwenye umri wa miaka 28. Nimeona leo nizungumzie masuala yanayousu taifa letu au nchi yetu ya Tanzania kwa utafiti wangu nilioufanya ndani ya miaka 6 kwenye mikoa ipatao 7 ndani ya nchi yangu ya Tanzania.
Ninaposema mwanga wa Taifa kuna baadhi wa watu wanaweza...
UTANGULIZI:
AFYA:Ni hali kujisikia vizuri kimwili,kiakili,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Afya ya binadamu itakua njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya.Afya inajumuisha mambo yafuatayo.
1. Chakula chenye virutubisho vyote vikiwemo protini,wanga,na...
Utangulizi.
Zaidi ya miaka 50 Tanzania imekuwa ikipiga hatua katika kuhakikisha wananchi wake wanapata elimu iliyo Bora.Baada ya Tanganyika kupata Uhuru mwaka 1961 serikali ilianza kutengeneza mazingira ya kuwasaidia wananchi kutokomeza changamoto kuu tatu zilizokuwa zinalikabili TAIFA ambazo...
UTANGULIZI:
ELIMU ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga Akili, Tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Jamii hutumia Elimu kupitisha Maarifa, Ujuzi na Maadili kutoka kizazi kimoja hadi kizazi kingine.
MAADILI ni mafundisho yanayotolewa katika nafasi mbalimbali hasa...
Kwa wafatiliaji wengi wa Habari za ulimwenguni swala la mporomoko wa kiuchumi wa dunia utakua haujakupita. Unaweza usiwe mfatiliaji wa Habari hizo lakini mathwahibu yake ukayasikia hata unapokunywa kikombe cha chai asubuhi.
Chanzo chake
Kwa kawaida uchumi unakua na mzunguko, ambao tunasema...
Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salamu...
Katiba ya sasa ipo wazi kabisa kuwa ni wananchi ndio wana mamlaka kutawala taifa lao la Tanzania na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT. Sasa mbona hawana mamlaka hayo na wanabaki wanalialia hovyo?
Mbona wanalalamika juu ya tozo za ajabuajabu? Mbona wanalalamika kuwa pesa zao...
Bila kuwa na katiba yenye meno haya yanayotokea huko Loliondo yatakuwa kama jambo la kawaida.
Kutafuna pesa za walipa kodi kwa safari za viongozi zisizo na tija au manufaaa kwa umma zitakuwa ni jambo la kawaida.
Wananchi kutozwa tozo za ajabu ajabu na zenye uonevu mkubwa itakuwa ni jambo la...
Hali iko hivyo, tunaelekea kule 7kule tulipotoka, sasa ni rasmi twiga wetu wataanza kupandishwa ndege tena kwenda Ughaibuni.
_______________
Wafanyabishara sasa huru kusafirisha wanyama Pori kutoka Tanzania
Marufuku hiyo imeondolewa kwa muda wa miezi sita ambapo wafanyabiashara watakuwa...
Mimi ni mmoja wa watu ambao wamekuwepo kwenye ulimwengu wa habari kwa muda mrefu, siyo mkongwe lakini nakaribia kwenye Dunia ya wanahabari wakongwe.
Moja kati ya nyakati ambazo zimekuwa zikitawaliwa na matukio ya ukatili kwa binadamu hasa ubakaji, ulawiti na udhalilishaji kwa Wanawake na watoto...
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme.
Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha...
Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya.
Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa...
MAANDAMANO YA WATANZANIA NCHINI MAREKANI;JE SUALA LA KATIBA MPYA NI MUHIMU KWA TAIFA LETU LA TANZANIA!?
Leo 12:15pm 24/04/2022
Leo tumeamka na video,picha za maandamano ya Watanzania diaspora,katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,wakiwakilisha madai mbalimbali ikiwemo ya mabadiliko ya...
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini?
Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
👇...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.