Sasa kama Dangote anaweza kuwa namba 191 duniani kwa utajiri wakati ndio namba moja Afrika, huyo tajiri namba moja duniani si anaweza kununua Afrika yote akiamua?
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu...
UPEMBUZI YAKINIFU WA KITABU CHA MTU TAJIRI ZAIDI BABYLON
"THE RICHEST MAN IN BABYLON"
Na LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA.
KWAMBA,
THE RICHEST MAN IN BABYLON ni kitabu kilichoandikwa na GEORGE S CLASON, kinachoongelea siri ya utajiri iliyokuwa ikitumika na ustaarabu wa kale kabisa...
Kuna rumours that Msuva amesign youn Africans baada ya kutemwa na js kabylie. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu.
yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga.
Kaisha timu ya taifa pia tumteme time is up. Afcon pelegrino ndani Msuva hapana. Hamna...
SERIKALI YAKATAA KURUDIA UCHAGUZI LICHA YA WAANGALIZI KUDAI KUNA UDANGANYIFU
Kauli ya Serikali inakuja huku kukiwa na shinikizo la Wafuasi na Viongozi wa Upinzani kutaka Uchaguzi huo ufutwe kutokana na madai ya kuwepo kwa ukiukwaji wa Sheria na Uwazi ikiwe baadhi ya Vituo kutopiga Kura.
Ripoti...
Huku magari mengine kama katarama, allys star, isamilo, Abood, happy nation, dar lux (sijui kapotelea wapi) wakikimbizana kupandisha nauli ya Mwanza to dar kwa Sasa ni 78,000/= huyu jamaa zuberi yeye kaishia hapo kwenye 60,000/= yaani huyu Mwamba hajaanza Leo, tokea miaka hiyo yeye nauli zake ni...
Matajiri wengi wanaishi zaidi zaidi bafuni na chooni kuliko kuishi kukaa sebuleni na chumbani.
Miundombinu ya vyoo vya matajiri au hata hotel kubwa imewafanya matajiri kuishi chooni bila kujua .
Chooni wanakaa, wanamaji ya moto, wana jakuzi, vifaa vya kunyolea , marashi nk. Hivyo ni jambo la...
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
====
Pauline...
Ukweli mchungu sana kwamba katika nchi za kishenzi ili uwe tajiri, basi uingie kwenye siasa.
Lakini katika nchi zinazojielewa kama Marekani na nchi za Ulaya, ili uwe kiongozi wa kisiasa lazima uwe vizuri kiuchumi, yaani ni lazima uwe tajiri.
Hii hali huwa na athari mbaya kwa nchi zetu kwa...
Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika!
Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba.
Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada.
Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji...
Mtu anayemuamini Mungu kuwa ombaomba ni kumdhalilisha Mungu.
Wakristo wengi kupinga utajiri kama aliokuwa nao Baba yao wa imani Ibrahim kumewafanya kuwa ombaomba. Wao na wachungaji wao.
Ushauri wa leo, ikiwa hutaki kupambana kuwa huru kifedha na upate fedha nyingi za kubaki kugusa maisha ya...
Sote tunajua nchi inamadeni mengi, miradi mingi tunayojipamba nayo kwamba tumetekeleza ni madeni ya kuja kulipa baadae na kiasi kidogo cha misaada, mikopo bado inatukimbiza kwa mbali dhidi ya mapato.
Hivi ni wakati muafaka kweli wabunge kujadili sheria ya pensheni ya wenza wa Marais na mawaziri...
Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali.
Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia.
Hii ni fursa kwetu sisi...
Mungu alipumba binadamu wa kwanza alikuwa tajiri sana.
Walipewa dunia nzima kama shamba. Na alimuwekea hazina ya dhahabu safi bustanini eden ya thamani ya matrillion mara trillion.
Adam na eva walikuwa matrillionea.
Umasikini uliingia kwa sababu ya dhambi. Hapakuwa na binadamu masikini kabla...
Mimi sio Mchambuzi wala Kocha, natoa maoni yangu kwa uzoefu ninaoona kwa kile kinachofanywa na makocha wengine.
Katika mchezo wa jana Ahly na Simba, Sub ya Kenedy ilikuwa sub muafaka kwa wakati sahihi, lakini nimeona makocha wengi wakitaka kuzuia, nasi option ya kwanza ni kumiliki mpira.
Sasa...
Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!
Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha?
Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa...
Jamani dunia Ina Mambo na vijimambo.
Tajiri mmoja nchini Uganda amewashangaza wengi.
Tajiri huyo alikuwa na wanawake 4 kama ipasavyo Suna ya kiislam.
Zamu ya mke mdogo ilipofika akaamua kuwa awadanganye watu kuwa amefariki ili awajue marafiki wa kweli.
Alimpa simu mke mdogo awapigie simu...
Nchi ya Rwanda inajitapa kuwa Ina uchumi mkubwa na maendeleo makubwa baada ya vita ya 1914 kumbe wanaenda kuua na kuiba madini DRC.
Soma makala hii hapa chini
====
Rwanda is the ‘Wild West’ and should be removed from the mineral supply chain
Mining industry elites use...
Mpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa.
Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu.
Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.