takukuru tabora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU-Tabora, toeni taarifa kwa umma juu uchunguzi wa mhakiki mali (Muuzaji wa minada ya serikali ya Tabora) kuhusu kuficha baadhi ya magari

    Siku ya tarehe 26 mwezi 5, 2026 mhakiki mali wa Tabora au dalali wa Serikali ambaye ni mtumishi wa Serikali chini ya hazina kaficha baadhi ya magari taktibani 5 ya mnada uliokuwa Tabora kama Land Cruiser ya OCD Tabora (lot no 4), Land Rover puma n.k zilizokuwa kwenye mnada ambayo ni kwa maslahi...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TAKUKURU Uyui - Tabora tunaomba mrejesho juu ya suala la rushwa la mkazi wa Kijiji cha Izumba

    Napenda kutoa pongezi na shukhurani za dhati kwa idara ya kupambana na kuzuia rushwa Tanzania na mkoa wa Tabora (TAKUKURU). Naomba maafisa TAKUKURU Wilaya ya Uyui, Mkoa wa Tabora, muweze kufuatilia na kuleta mrejesho stahiki na wa haki katika suala la yule mama mkazi wa Kijiji cha Izumba Wilaya...
Back
Top Bottom