Napenda kutoa pongezi na shukhurani za dhati kwa idara ya kupambana na kuzuia rushwa Tanzania na mkoa wa Tabora (TAKUKURU).
Naomba maafisa TAKUKURU Wilaya ya Uyui, Mkoa wa Tabora, muweze kufuatilia na kuleta mrejesho stahiki na wa haki katika suala la yule mama mkazi wa Kijiji cha Izumba Wilaya ya Uyui, ambaye askari polisi Kituo cha Polisi Kigwa na Mwalimu Shule ya Sekondari Kigwa walimlaghai na kuchukua pesa zake ili mume wake aachiwe huru baada ya kukaa Kituo cha Polisi Kigwa kwa zaidi ya wiki moja.
Suala hili lilielekezwa na Kamanda TAKUKURU Mkoa wa Tabora lishughulikiwe na Kamanda TAKUKURU Wilaya ya Uyui lakini limekwama vipi? Mbona waathirika wa rushwa hawapati haki yao?
Pia soma ~ TAKUKURU yasema inafuatilia tuhuza za rushwa zinazotajwa kuhusisha Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Kigwa - Tabora